Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Sawa asante
Umesikia Papa anajiuzuru trh 28 Feb?
Nimesikia, kwa sababu ya kiafya.... uzee umechanganya anatembelea fimbo na macho yanagoma kusoma sawasawa.....
kuna jingine rafiki?
Mimi namtakia mapumziko mema
 
wee Erickb52 nilikuwa nimeahirisha kukugeuza chura ila sasa naona ntakugeuza paka mweusi,
(ngoja kwanza niwaache na huyo binti maringo hadi jioni, kazi na dawa)
 
Last edited by a moderator:
Nimesikia, kwa sababu ya kiafya.... uzee umechanganya anatembelea fimbo na macho yanagoma kusoma sawasawa.....
kuna jingine rafiki?
Mimi namtakia mapumziko mema
Yeah ni kweli mwache apumzike!
Sina jipya zaidi ya kumuombea heri na kumshukuru kwa kutumikia vema!
 
wee Erickb52 nilikuwa nimeahirisha kukugeuza chura ila sasa naona ntakugeuza paka mweusi,
(ngoja kwanza niwaache na huyo binti maringo hadi jioni, kazi na dawa)
Hahahahaaa haya musee piga kazi mi ndio namalizia chai nianze kujenga taifa kwa kasi ya 3G
 
We we weeeeeeee! Mlikumbatia nani? Halafu wewee! Shauri yako kama hujawa jiwe la machimbo salasala! Mnh!

hahahah hili ni jiwe la mwadui paseee jiwe waliloliogopa waashi, unaogopa Bitaa maranya asijue kilichotokea whitepatty? mbona anajua ila tu hana roho ya nyama.
 
wee Erickb52 nilikuwa nimeahirisha kukugeuza chura ila sasa naona ntakugeuza paka mweusi,
(ngoja kwanza niwaache na huyo binti maringo hadi jioni, kazi na dawa)

aaahh babu si umgeuze kenge tu ili awe anafaidi mayai....

mambo ya kugeuzana paka soo babu watamtumia kwenye uchawi mara kukamata panya...
Erickb52 mkuu utakubali??
 
sijui huyo mwanamke amekupa niini jamani hata sisi ndugu zako kuttutumia salamu umeshindwa? heee! ama kweli nashangaa mie Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Inaniuma sana aise
Ngoja nimtafute sweetlady nimuonyeshe haya mnayoyafanya
Na Kipipi namwambia kuwa una macho juu juu sana
Heheheheee uzuri unanisemea kwa nyumba ndogo so wala siogopi heheheheee akikasirika ale kona kwani nini bhana Amyner wangu si yupo tu wala sina tatizo.
 
Last edited by a moderator:
hahahah hili ni jiwe la mwadui paseee jiwe waliloliogopa waashi, unaogopa Bitaa maranya asijue kilichotokea whitepatty? mbona anajua ila tu hana roho ya nyama.

Ngoja ninyamaze maana najua wewe kwa ligi hauwezekani.
 
Back
Top Bottom