Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
ha haaaaa, ulimfanyia roho mbaya tu mwenzako, labda msingenichanganya akili isingerudi...... ungekuta muda huu najivinjari na TANMO, lol!
sasa hii val inakuja itakuwaje? ila sasa mwaka huu imeangukia ndani ya Kwaresma........ na ni siku moja tu baada ya majivu, hivi watu hawatatoa udhu wao kweli? mfungo wa mwaka huu sijui itakuwaje......
hapa umeniacha hoi kabisaaaaaa
umeona eeeh!issue VIWANGO!VIWANGO!VIWANGO dada mkubwa!HILO TU!NDO LINATUPA KIBURI MUJHINI HAPA!
issue VIWANGO!VIWANGO!VIWANGO dada mkubwa!HILO TU!NDO LINATUPA KIBURI MUJHINI HAPA!
hapa unaruhusiwa mlongo wangu.......dada mkubwa mi huku si ulinikataza nisiwe naona au hii umeniruhusu?
ha ha haaaaa, tatizo lenu vijana wa siku hizi bila hayo mambo yenu kila kitu kinaonekana kimesimama......Duh kwanza nilishasahau kuwa kesho ni kanisani lol
Ndio maana kesho kuna ishu ilikuwa iwe mchana wameiweka pembeni!
Duh huo mtego aisee ila kwani valentine hadi yale mambo yetu?
Si mnapendana kawaida then utamu baada ya kwaresma oooh
he he heeee..... ungejua zumbemkuu wala si mshindani wako.... yupo winner mwenyewe katulia tu na anakusoma kila unachoandika...... niko naye hapa anatabasamu tu maana anakuonea huruma unavyotwanga maji kwa kinu
hofu kwako rafiki......Hujambo katotooo!
Umeamkaje?
Hivi sisi hatunaga vunja Jungu?
he he heeee..... ungejua zumbemkuu wala si mshindani wako.... yupo winner mwenyewe katulia tu na anakusoma kila unachoandika...... niko naye hapa anatabasamu tu maana anakuonea huruma unavyotwanga maji kwa kinu
Hahahahaaaa hao walikuwa wanadata lolhofu kwako rafiki......
Namshukuru Mungu ni muzima wa afya......
vunja jungu niliwahi kuona sehemu fulani, huwa inakuwa kuanzia Ijumaa wakitoka kazini mpaka J5 ya majivu asubuhi wanapoenda kanisani kupaka majivu. yaani siku zote hizo ni kulewa, kula, kucheza, hakuna hata kurudi kwao wala kufanya kazi, ni oficially siku za mapumziko....
huku kwetu nadhani kila mtu anavunjia upande wake, unataka kuvunja jungu?
hivi unafikiri ukishakuwa teja kunakuwa na nyumba nyingine kweli? hayo mawazo ya kuwaza kwingine utayatoa wapi?
now you are talking..........Hahahahaaaa hao walikuwa wanadata lol
Mi jungu sivunji aisee naogopa linaweza kunivunja then nikashindwa la kujibu kwa Mungu aloniumba nimtumikie then nikakimbilia kuvunja majungu yasiyo na maana oooh
Sijui siku yangu so lazma niwe tayari tayari best maisha mafupi na hizi raha zipo tu kila siku!