Usijali ntakupigigia kampeni ummu kulthum usijali aiseehahahaaaa!nilikuwa siasani kule kuna mijitu inajazba we acha tu najifunza njinsi ya kumtoa Baba V kwenye kiti chake uchanguzi ukikaribia, nataka kuweka gender equality na historia cc.af kule sijaenda muda goja nikacheki kuna lawama gani mpya maana lawama hazikwishi
Hahahahaaa yule muoga wewe!We usifanye mchezo na mkurya wa Tanzania, wanajua kuzipiga. Muulize Mwema hadi akaamua Tarime iwe mkoa maalumu wa kipolisi. Usifanye mchezo na watu wangu!
Ngoja Dark City aje ajibu hii
Asante kwa salamu Erickb52. Ukimwona my huzbend Mwita Maranya mwambie kama hatoonekana nyumbani wiki hii asirudi tena. Pia wasalimie msiri wangu Kaizer na na binti Maranya Zion Daughter. Salamu za pekee zimfikie mzee wa ISO Allien huko space town!
Hehehehee mwaJ tena namwambia asipoonekana hizo wiki mbili nakuja mimi kukaba nafasi lol
Kma una uwezo wa kupambana na mkurya njoo!
Mkurya wako ni wa TZ mi ni mkurya wa Kenya ooooh
Nimechanjiwa mwaJ
Hahahahaaa KakaKiiza kama kawa backup muhimu ila big hausi ndio mambo yote Amyner kwanza then Kipipi hawa akina mwaJ ninawasaidia kuondoa upweke wa kuachwa na akina Mwita Maranya lol
Tushirikiane kutoa misaada unaonaje kati ya hao kama naweza kutoa mchango wangu??
Hayaaa
Vip valentine wako hajambo?
Cijamuona long time.
Copy kwa @c6
We usifanye mchezo na mkurya wa Tanzania, wanajua kuzipiga. Muulize Mwema hadi akaamua Tarime iwe mkoa maalumu wa kipolisi. Usifanye mchezo na watu wangu!
smiling........Yeah kiukweli nilikumiss sana coz chitchat ina wenyewe ukiwemo wewe
Mmh my wife mwaJ we nae una wivu mzuri sijapata kuona, yani masaa manne tu tayari ushayageuza wiki?? worry not bebi me love u sana.
Thubutuuuuuu... Erickb52 we huogopi manundu? shauri yako Kipipi atakula valentine na asiyetarajiwa!!
Bora umwambie ukweli mapema asije akakulilia bure majanga yatakapomkuta.
Ah wapi hakuna mkurya wa design yako arifu anayependa mke wa kaka yake.
Naona bado unalazimisha kupata maumivu karibia kabisa na siku ya valentine. Nimeshakuonya kaa mbali na mke wangu mwaJ!!!
Mkuu KakaKiiza huu ushirika wa kuvizia wake za watu ni mbaya sana. Sikushauri kabisa kujaribu hiyo kitu isije ikakuletea balaa mtu na heshima yako.
kumbe Erickb52 ndo mpango mzima?ha ha haaaaaaaaaaaaa, kwa hisani ya watu wa mfaranyaki, lol!
wapi zumbemkuu
utamwonea tu huyo Erickb52 wala siyo mpango, mpango wenyewe upo kimyaaaaaa unawasoma tu....kumbe Erickb52 ndo mpango mzima?
ngoja nirudi visiwa vya shelisheli, asaiv nipo ndani kwenye kilindi cha bahari tunapewa semina hapa namna ya kujikinga na ajali za angani, nikirudi naanza na huyo umpendae, namgeuza chura tuone utafanyaje.
kumbe Erickb52 ndo mpango mzima?
ngoja nirudi visiwa vya shelisheli, asaiv nipo ndani kwenye kilindi cha bahari tunapewa semina hapa namna ya kujikinga na ajali za angani, nikirudi naanza na huyo umpendae, namgeuza chura tuone utafanyaje.