Salaamu kwa Wanaume.

Salaamu kwa Wanaume.

Naona Vita Hii Inaanza Kuchukua Sura Mpya Hasa Upande Wa Makombora
ICBM Intercontinental Ballistic Missile ]🔥🔥
 
🤣🤣🤣Hamna kiumbe namuamini kama huyo Lamomy kanyoooka sana kwenye Blue ni Blue,kwenye black ni black so ukiniambia nisimwamini unanipa tabu sana
Mom,
Nashauri kumuamini Mungu pekee.



hawa wengine ni trojan horse tu, na ni vizuri utathimini upya na uchunguze vizuri kwa makini na bilashaka yoyote, utakuja kunishukuru.

Na sio kwamba nawachonganisha, la hasha, bali dhamira yangu ni kuwaimarisha zaidi katika roho na kweli 🐒
 
Mapadri hasa katoliki nyinyi siti ya mbele mbinguni maana mnajua kuhonga na kutunza michepuko yenu hadi mnajenga,na mnajua kufanana na watoto wenu aiseee!mbarikiwe
Duuuuhhh umepigaje hapo, je ulikuwepo au ndio ww mwanetu😀
 
Back
Top Bottom