AbsolutelyNdo mentality ya wanawake wa sasa
Wanapenda hela ila watakucheat kama kawaida tuu.. Huyo provider wanamuita sponsor
Mapadri hasa katoliki nyinyi siti ya mbele mbinguni maana mnajua kuhonga na kutunza michepuko yenu hadi mnajenga,na mnajua kufanana na watoto wenu aiseee!mbarikiweUkimaliza hilo kundi la pili utuletee salamu zetu na sisi mapadri mkuu😃
Nature hairuhusu hayo mambo,ATASIMANGWA TU!Wanaume siku zote wamekuwa wanawalea wanawake waliowakuta ukubwani bila masimangi huyu mwanaume mmoja tu au wachache wanaolelewa na wanawake wao wasisababishe masimango kwa wanaume wanaojitafuta wanaopewa pesa
Makopa mengi kwako!
Aseee😃😃😃Mapadri hasa katoliki nyinyi siti ya mbele mbinguni maana mnajua kuhonga na kutunza michepuko yenu hadi mnajenga,na mnajua kufanana na watoto wenu aiseee!mbarikiwe
Sawa. Tena next weekend nitakuwa na helaWewe salamu zako bado mkuu next weekend!
Naunga mkono hoja Wallah wa billah🔥🔥 ngoja tuendelee kua strong woman mpka siku tukutane na Mwana -mumeila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Uzi hapa
cc ShesRise_1