Salaamu kwa Wanaume.

Salaamu kwa Wanaume.

Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Kwanza kabisa,nikisema nina salamu za wanaume sio wanaume wote,huu uzi ni kwa wanaume wapambanaji wenye uwezo wa kutafuta na kutunza familia na jamii yake,wanaume ambao sio wachoyo,wanaume wanao sacrifice kwa ajili ya wengine Mungu awabariki sana na awatie nguvu unapohisi kuchoka,
Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!

Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri

Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu.

Heshima kwenu wapambanaji!...!
Joanah ndio mdada pekee jf nzima asiyependa kuhudumiwa na hela ya mwanaume,nyie wengine acheni uongo😂
Naomba tafsiri isiyo rasmi ya mwanaume mchoyo ikiwa mwanaume huyu ameoa ana provide kila kitu muhimu kwa familia yake lakini ni mzito kutoa pesa kwa mabuzi.
 
Wewe kujitegemea ni lazima, wewe ni binadamu mwenye jinsia ya kiume,unatakiwa ukaze,acha kujifananisha na na ke!imagine mkeo unayemuona ni tajiri leo kwenye pochi yake yupo na kadi za mwanamme ambaye si baba yake si angeacha?wewe ni mchoyo na ni MASKINI.....Mimi hata ukiniona maskini sijali wala nini maana hakuna tuzo ya mwanamke shujaa eti asiyependa kuhudumiwa
Roho ya umasikini unayo wewe unayetegemea mwanamme.

Mimi najitegemea utaniambiaje nina roho ya umasikini?

Wewe hata utu wako umeushusha kwa kutaka kuhudumiwa na mwanamme.

Huo ni umasikini, tena wa fikra wala si mali tu.

Maana mtu anaweza hata kuwa masikini wa mali lakini angalau ana fikra za kitajiri.

Wewe ni masikini wa fikra, umeishia kutaka kuhudumiwa tu.

Ila naelewa kimsingi si kosa lako hili ni tatizo la jamii uliyokulia imekulea uwe
 
Hakuna namna utakwepa kumuhudumia mwanamke,huyo mke wako na u trust fund wake bado anakomaa na kadi zako utakwepea wapi kuhudumia mwanamke?pamoja na roho yako ya umaskini na uchoyo ila kuna mmoja kakuotea anakula kiulaini bila jasho
Issue si kumhudumia mwanamke.

Kila mwanamke anatakiwa kuhudumiwa. Kila mwanamme anatakiwa kuhudumiwa.

Issue ni kwamba wewe ni mwanamke golikipa. Hujui reciprocity.

Una mentality ya "Chako changu, changu changu".

Poverty mentality.

Wewe ni mwanamke golikipa unayetaka kuhudumiwa halafu zaidi ya kipapa huna cha ku offer.
 
Umekazana na reprocity,reprocity mbona nimeshaweka wazi tangu mwanzo mimi sio STRONG WOMAN!Mimi siamini katika huo Usawa nimeshastaafu huko,mimi sio feminist mimi ni mwanamke soft,na enjoy kuhudumiwa na mume wangu,take it or leave it ila huo ndio ukweli,na sio mimi peke yangu naongea kwa niaba ya wanawake wenzangu akiwemo na mke wako aliyehold kadi zako zote ili miamala iwe rahisi.
 
Wewe umekubali kuwa mtumwa kwa kupenda kuhudumiwa.
 
Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Kwanza kabisa,nikisema nina salamu za wanaume sio wanaume wote,huu uzi ni kwa wanaume wapambanaji wenye uwezo wa kutafuta na kutunza familia na jamii yake,wanaume ambao sio wachoyo,wanaume wanao sacrifice kwa ajili ya wengine Mungu awabariki sana na awatie nguvu unapohisi kuchoka,
Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!

Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri

Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu.

Heshima kwenu wapambanaji!...!
Joanah ndio mdada pekee jf nzima asiyependa kuhudumiwa na hela ya mwanaume,nyie wengine acheni uongo😂
 
Attachments

  • IMG_0643.jpeg
    IMG_0643.jpeg
    86.2 KB · Views: 6
Nashukuru, wiki hii naona umepunguza ujinga first born wangu
Mom,
mbona daima mimi hua naeleza ukweli mtupu tu jukwaani, tena ni kwenye mambo ya msingi tu?
Labda kuna watu wanakupotosha hasa Lamomy maana saa zingine hua ananikasirika bure tu. kua nae makini sana huyu akieleza chochote kunihusu 🐒
 
Mom,
mbona daima mimi hua naeleza ukweli mtupu, tena ni kwenye mambo ya msingi tu?
Labda kuna watu wanakupotosha hasa Lamomy maana saa zingine hua ananikasirika bure tu. kua nae makini sana huyu akieleza chochote kunihusu 🐒
🤣🤣🤣Hamna kiumbe namuamini kama huyo Lamomy kanyoooka sana kwenye Blue ni Blue,kwenye black ni black so ukiniambia nisimwamini unanipa tabu sana
 
Back
Top Bottom