wakitoa mtoe pia sio mlie mfumo dumeMungu awabariki wanaume watoaji.🙏
Wabahili Vyuma viendelee kukazaa 😝
wakitoa mtoe pia sio mlie mfumo dumeMungu awabariki wanaume watoaji.🙏
Wabahili Vyuma viendelee kukazaa 😝
Mke hapewi hela. Apewe hela apewe ngapi na utajuaje atahitaji ngapi?kwahiyo wewe mkeo or manzi wako unampea hela au humpi
zawadi unampa au humpi ?
unasubiri akuombe au unampa ukijskia?
Hakuna niliposema nimelazimishwa kuhudumia.Hujalazimishwa kuhudumia,Wewe baki na mindset yako ya kitajiri acha wana -mume wahudumie wanawake zao,nilishasema leo hizi salamu ni kwa wanaume na sio wenyeume...
Mara mwanamke hapewi hela,mara mwanamke anapewa kadi ajipimie ...TUMEKUELEWA!,,,,Dj Ally B akulete na Singeli tukupokee wewe mbinguni moja kwa moja siti ya mbeleMke hapewi hela. Apewe hela apewe ngapi na utajuaje atahitaji ngapi?
Mke hapewi hela.
Anapewa kadi ajipimie mwenyewe. Na yeye wala hana mapepe na hela na mambo ya material kwa sababu yeye mwenyewe ni Trust Fund Baby.
Unajua Trust Fund Baby ni nini?
Ila hizi habari zenu za kupenda kupewa na kuona hayo ni mapenzi ni poverty anxiety.
Na unaweza usielewe hili. Kwa sababu unatika katika jamii inayomlipia mwanamke mahari, mwanamke ni kama bidhaa ananunuliwa kwa mahari.
You are like a fish that is so used to water you don't even know you are in water.
Ukiwa hujapata Mwanaume wa kueleweka unajitia Strong Woman kumbe ni vile Tu " Sizitaki mbichi hizi"Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Kwanza kabisa,nikisema nina salamu za wanaume sio wanaume wote,huu uzi ni kwa wanaume wapambanaji wenye uwezo wa kutafuta na kutunza familia na jamii yake,wanaume ambao sio wachoyo,wanaume wanao sacrifice kwa ajili ya wengine Mungu awabariki sana na awatie nguvu unapohisi kuchoka,
Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!
Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri
Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu.
Heshima kwenu wapambanaji!...!
Joanah ndio mdada pekee jf nzima asiyependa kuhudumiwa na hela ya mwanaume,nyie wengine acheni uongo😂
Mkuu mbona lugha Kali Sana hii?Hakuna niliposema nimelazimishwa kuhudumia.
Na mimi mke wangu namuachia kadi ajipimie mwenyewe simpi hata pesa. Naona nikimoa pesa ni kama nampangia matumizi na sinui atahitaji nini.
Kwa sababu sina mentality za kimasikini.
Ika nyie wanawake mnaotegemea kuhudumiwa na wanaume bila hata kujaki reciprocity zaidi ya kujimanua mna mentality za kimasikini.
Hamko productive zaidi ya labda ku zaa watoto tu. Mna mentality za kudanga.
Huo ndio ukweli wenyewe.
Hakuna mwanamke hadangi,huyo mkeo ndio kajipatia danga maji ya kwanza!angekuwa ana mentality za kitajiri asingegusa kadi yako angeendelea na kadi zake na sio za mume wakeHakuna niliposema nimelazimishwa kuhudunia.
Na mimi mke wangu namuachia kadi ajipimie mwenyewe simpi hata pesa. Naona nikimoa pesa ni kama nampangia matumizi na sinui atahitaji nini.
Kwa sababu sina mentality za kimasikini.
Ika nyie wanawake mnaotegemea kuhudumiwa na wanaume bila hata kujaki reciprocity zaidi ya kujimanua mna mentality za kimasikini.
Hamko productive zaidi ya labda ku zaa watoto tu. Mna mentality za kudanga.
Huo ndio ukweli wenyewe.
Huwezi kunielewa kwa sababu hujaelewa reciprocity ni nini.Mara mwanamke hapewi hela,mara mwanamke anapewa kadi ajipimie ...TUMEKUELEWA!,,,,Dj Ally B akulete na Singeli tukupokee wewe mbinguni moja kwa moja siti ya mbele
Cha ku offer sina zaidi ya hicho kipapa,na sina mpango wa kuprove eti ili unihudumie niletee sijui salary yangu haipo....Huna cha mtoto wa mjini wala nini wewe una roho ya UMASKINI inayopelekea kuwa MchoyoHuwezi kunielewa kwa sababu hujaelewa reciprocity ni nini.
Wewe unayependa kuhudumiwa na mwanamme, zaidi ya kipapa ambacho kinaweza kupatikana kwa wanawake kibao, ambacho watoto wa mjini hatuzuzuki nacho kwa mwanamke mmoja kwa sababu tunajua kipo tu kwa wanawake kibao, una offer nini kwa mwanamme ambacho kipo unique?
Yeye ni Trust Fund Baby. Hana ulimbukeni nanm pesa kazikuta zimeandaliwa kabla hajazaliwa.Hakuna mwanamke hadangi,huyo mkeo ndio kajipatia danga maji kwanza!angekuwa ana mentality za kitajiri asingegusa kadi yako angeendelea na kadi zake na sio za mume wake
Hata Mimi amenishangaza sanaWatu wenye roho ya umaskini ni wakali sana inapokuja mada ya kuhudumia,msamehe bure
Hapana, lugha si kali wewe ndiye nyoronyoro.Mkuu mbona lugha Kali Sana hii?
Roho ya umasikini unayo wewe unayetegemea mwanamme.Cha ku offer sina zaidi ya hicho kipapa,na sina mpango wa kuprove eti ili unihudumie niletee sijui salary yangu haipo....Huna cha mtoto wa mjini wala nini wewe una roho ya UMASKINI inayopelekea kuwa Mchoyo
Hakuna namna utakwepa kumuhudumia mwanamke,huyo mke wako na u trust fund wake bado anakomaa na kadi zako utakwepea wapi kuhudumia mwanamke?pamoja na roho yako ya umaskini na uchoyo ila kuna mmoja kakuotea anakula kiulaini bila jashoYeye ni Trust Fund Baby. Hana ulimbukeni nanm pesa kazikuta zimeandaliwa kabla hajazaliwa.
Ana pesa ipo katika fund inaingiza interest tu. Na mimi nina zangu hivuo hivyi.
Hapo kuna recipricity.
Card lazima nimpe kwa sababu ananunua chakula cha nyumbani, analipa bills za nyumbani, anajaza mafuta ya magari ya familia. So that is not an issue. Mimi siwezi kumtegemea yeye tu kwa sababu ana hela, mimi ni mtu productive na napenda reciprocity si mambo ya mtu mmoja kuwa tegemezi anataka kuhuduniwa jatika mahusiano ama ndoa.
Issue kwangu ni nyie mnaotaka kuhudumiwa kwa poverty anxiety.
Mshamuona mwanamme ni mtu wa kuhudunia tu.
Mmejishusha utu wenu sana.
ok. Mom 🐒Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!