realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,335
- 18,410
Wewe ubarikiwe sana 😜Hahahaha
Wewe ubarikiwe sana 😜Hahahaha
Hahahaha, Tubarikiwe sote ,🙏🙏🙏Wewe ubarikiwe sana 😜
Hahahaha,nawe pia Huna BAYAHuna baya!😂
KabisaaaMimi najua ukweli... Hakuna mwanamke duniani asiyetaka huduma. Imo ndani ya bailojia yenu. Ila tu nabisha kwasababu ni nyie wenyewe ambao mnalilia usawa wa 50 kwa 50 tena linapokuja swala la nafasi yenu katika jamii
Mwache mzee Kiranga ujue ni kama baba yako huyo? Na aliyosema ni yale yanayo endelea kwao huko, na ila pia hata wazungu wenyewe hawasemi tu ila usipo hudumumia anakutema
Kupata mwanamke anaye jua nafasi yake sasa ndo balaa linalo anzia... Unakuta mwingine sio mwombaji ila anajiona na yeye dume, mwingine ni mwombaji ila bado hana upendo wa kweliKabisaaa