PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,328
- 3,189
Blaza si wanasema as above so below. Hayo hayo ya mbinguni ndo hayo ya duniani 😂Kwa hiyo huo mstari unazungumzia mwanamke kwenda kwa mwanaume? 😂😂
Ama umeamua kufosi bro? 🤣
Blaza si wanasema as above so below. Hayo hayo ya mbinguni ndo hayo ya duniani 😂Kwa hiyo huo mstari unazungumzia mwanamke kwenda kwa mwanaume? 😂😂
Ama umeamua kufosi bro? 🤣
It's chai man 😂🙌Achana na Mimi braza 😃
Huwezi kunichonganisha na Lamomy huyo ni mzaramo mwenzangu wa mwanalumango,hana bayaMom,
Nashauri kumuamini Mungu pekee.
hawa wengine ni trojan horse tu, na ni vizuri utathimini upya na uchunguze vizuri kwa makini na bilashaka yoyote, utakuja kunishukuru.
Na sio kwamba nawachonganisha, la hasha, bali dhamira yangu ni kuwaimarisha zaidi katika roho na kweli 🐒
😃Khalas,😃It's chai man 😂🙌
Mwandiko wako🤣🤣🤣mimba imeingiaje tena hapa
Wewe si ulinikazia muda ule kunikumbusha jina lake 🤣Aah mmekutana tena 😃
Blaza si wanasema as above so below. Hayo hayo ya mbinguni ndo hayo ya duniani 😂
Machawa wote nna hasira nao 😹Mom,
mbona daima mimi hua naeleza ukweli mtupu tu jukwaani, tena ni kwenye mambo ya msingi tu?
Labda kuna watu wanakupotosha hasa Lamomy maana saa zingine hua ananikasirika bure tu. kua nae makini sana huyu akieleza chochote kunihusu 🐒
hasira hasara 🦬Machawa wote nna hasira nao 😹
naona kamba zimeanza sasa, maskini Mama yangu dah!🤣Hiyo chawa hana akili usimsikilize sis 😹
Wewe inatakiwa tukuchape viboko unazingua sana na tabia za kichawa..!!naona kamba zimeanza sasa 🤣
nikukazie hicho kichwa Razor siwezi mkuu😃😃😃Wewe si ulinikazia muda ule kunikumbusha jina lake 🤣
Kajileta sasa 😂
nadhani sihusiki na hiyo dhana potofu kwa namna yoyote ile 🐒Wewe inatakiwa tukuchape viboko unazingua sana na tabia za kichawa..!!
Fuatilia maneno yangu tu na sio kunifuatilia mimi bro😂Bro hii umeniingiza chaka
Lakini....nitakufuatilia 😂