de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,614
- 21,149
Mmh yaani kama ni hivyo mpaka leo baada ya kupewa uhuru na usawa wa 50 kwa hamsini mnatazamia huduma?Acha kupenda bure kijana,bure ni gharama...mtoto mzuri msafiiii ananukia kasuka nywele kaliiiii halafu we unakula bure kwa kujifanya ni upendo?au sio mwanetu?kuna aliyegharamia
Mna soma shule za nini, mna ajiriwa kwa nini?
Yaani nikiona mwanamke anatoa kauli kama yako na kasomeshwa huyo ni bado hana akili tu