Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,514
- 14,238
Nahisi utakuwa na uelewa mdogo sana aiseeMbona sioni jambo la kutia mtu hatiani....kwenye clip hizi !!
Nahisi utakuwa na uelewa mdogo sana aiseeMbona sioni jambo la kutia mtu hatiani....kwenye clip hizi !!
Nilikafatilia haka ka cocochanel siku flan ili nikaone... duh!! Kazee kweli ndo mana jiwe anakapotezeaHahahaha hicho ww size yako kbs
Hakuna camera inayoonesha muda huo
Iko cku tutaelewana tu cku Utakapokuja gundua kuwa anae watuma ni bwana Mkubwa mwenyeweKumekucha
Haki tu itendeke katika hili.
Ha ha ha aa ! Hivi ndiyo umemaliza hivyo...?Nahisi utakuwa na uelewa mdogo sana aisee
Hahahaha ni aibu sana sanaYani Sabaya pamoja na kula rushwa za mamilioni umeshindwa kumtongoza Nandy insta na kumtangazia dau mpaka meneja wa hotel akakuitie bila appointment ?
Hii inchi ina watu wa hovyo sanaInashangaza sana hadi sasa Mteule wake yuko kimya.
Sabaya alipaswa kutolewa kwenye nafasi ya DC hadi muda huu.
Makonda style lazima iwe na mwanzilishi wake.
Awezi kufanywa kitu.....ni aibu kubwa sana!! Mtu analipa kodi zaidi ya 150million kwa mwaka lakini bado ananyanyaswa na vitoto na bado serekali ipo kimia.Aje akanushe na hii sasa
Uiamini Serikali Ya ViwandaKumekucha
Haki tu itendeke katika hili.
Dakika 90 Sasa Acha TuoneHakuna siri itakayodumu chini ya jua.
Wateule wa "MFUNGWA MTARAJIWA" Sijui wanakwama wapi.Hahahaha ni aibu sana sana
Nitakuja kumaliza usiku hapo kitandaniHa ha ha aa ! Hivi ndiyo umemaliza hivyo...?
kuna kinachoitwa domo zegeYani Sabaya pamoja na kula rushwa za mamilioni umeshindwa kumtongoza Nandy insta na kumtangazia dau mpaka meneja wa hotel akakuitie bila appointment ?
Pole sana. Hata hivyo, nakupongeza kwa 'kujionyesha'.Nitakuja ....
Kwani kamera za cctv huwa zinalala mkuu?Hakuna camera inayoonesha muda huo
Mama Anna Mghwira anakwenda kutumbuliwa na huyo DC anakwenda kupandishwa cheoKwani kamera za cctv huwa zinalala mkuu?