Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,530
Hizi AK_type 56 zinazomilikiwa na hawa wahuni tutaenda kuwageuzia wao wao, hawataamini macho yao
Hizi AK_type 56 zinazomilikiwa na hawa wahuni tutaenda kuwageuzia wao wao, hawataamini macho yao
safiHizi AK_type 56 zinazomilikiwa na hawa wahuni tutaenda kuwageuzia wao wao, hawataamini macho yao
angalia device yakoWakuu mbona hazifunguki?
Lakini bado Sirro na watu wake wamelala fofofo.Dunia hadaa ulimwengu dhujaa Uzi umefukuliwa?
Tutajichukulia sheria mkononi!Lakini bado Sirro na watu wake wamelala fofofo.
Hadi cocochanel umekubali hahah ngoja niangalie tena vizuriKumekucha
Haki tu itendeke katika hili.
Walinyimwa pesa ndio hufanya hivyoHadi cocochanel umekubali hahah ngoja niangalie tena vizuri
Kumekucha !
Ngoja tuone upepo wa bi mkubwa!Nchi hii ingekuwa inafuata sheria huyu kijana angekwisha fungwa kitambo
Kweli mkuuAwamu hii kuna wizi kuliko awamu nyingine zote.
Wanachofanya wateule wa rais ni kupitia kwenye ukali wa rais kujinufaisha. Huu ni ujambazi wa wazi kabisa.
Kaachwa solombe na baba yakeHuyu atapandishwa cheo
Swai kaibuka tena, movie ndio imeshika kasiNampongeza sana Swai kwa kitendo chake cha ujasiri. Bila yeye kufanya hivi hawa majinuni wangeendelea kunyanyasa wafanyabiashara.
Hata makonda kafanya sana michezo hii.
Walionewa na makonda hawakuwa na uthubutu wa kukusanya ushahidi.
Tulishaona hadi gari la drug dealer likiwa nyumbani kwa Makonda.
Mtetezi wa wanyonge endelea kukaa kimya
ukitaka kuua nyoka piga kichwaSwai kaibuka tena, movie ndio imeshika kasi
CCM ni chama chenye unyama mwingi mno !Ngoja tuone upepo wa bi mkubwa!