Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Hakuna kitu kinasababisha chuki katika nchi kama MATABAKA, yaani kuna wanaoachwa hata wakiwa na kosa gani na kuna wanao hukumiwa hata kwa kosa dogo, Haya yanayotokea nchi zenye machafuko ni kwa ajili kuna watu wamekinai manyanyaso.
 
Mkuu si alisema aliwafanyia vetting ya hali ya juu wateule wake ,tena alikuwa anakesha anapitia mafaili ndio maanatunaona kazi mzuri ya sabaya ,matunda mazuri ya vetting ya Jiwe .
😆😆😆😆😆
 
Mbongo mpe picha au video, caption ataweka mwenyewe, na lazima avumishe tu. Ukweli huchelewq fika, ila Utafika tu.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba baada ya huyu mzee wa Chato kuondoka magereza yatajaa kwa watu kama hawa, they have to pay a price for what they are doing
 
Kama ni swala la kodi angenda na TRA na Regional na District Manager wangekuwa informed. Kama ni issue ya wahamiaji haramu basi Uhamiaji wangekuwa pia informed. So Sabaya alienda kufanya fujo
Ni aibu kubwa sana kwa aliyemteua na ni aibu kwa uvccm
 
Back
Top Bottom