Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,373
- 3,586
ndio hako sabaya kakapiga teke la punda kwa nyuma ?? au nimeona vbaya sio tekeHako kadogo nyegu ni hako nyuma ya sabaya...
Nishawahi kukalamba makofi kwa mrombooo.. kakanifanya nikimbie ATown
ndio hako sabaya kakapiga teke la punda kwa nyuma ?? au nimeona vbaya sio tekeHako kadogo nyegu ni hako nyuma ya sabaya...
Nishawahi kukalamba makofi kwa mrombooo.. kakanifanya nikimbie ATown
Funga jambazi kibaka huyoooAngalia device yako mkuu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sijui kwa nini watu hawachukuliwi hatua. Lakini bado maandalizi yanafanyika ya kutafuta viroba.Awamu hii kuna wizi kuliko awamu nyingine zote.
Wanachofanya wateule wa rais ni kupitia kwenye ukali wa rais kujinufaisha. Huu ni ujambazi wa wazi kabisa.
Inashangaza sana hadi sasa Mteule wake yuko kimya.
Sabaya alipaswa kutolewa kwenye nafasi ya DC hadi muda huu.
Makonda style lazima iwe na mwanzilishi wake.
Yetu macho , huyu kijana ni mdogo sana lakini ametengeneza maadui kwa wingi mno !Jambazi...
GaidiYetu macho , huyu kijana ni mdogo sana lakini ametengeneza maadui kwa wingi mno !