chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,652
- 2,146
Hiz ndo type za kin makonda
Kama mpaka leo bado unamuamini Jiwe, utamuanini milele.Ngosha akimwacha huyu jamaa, .
Atatupa stress sana wale tunaomwamini.
UpcomingWateule wa "MFUNGWA MTARAJIWA" Sijui wanakwama wapi.
Hahahahaahaa angeomba msaada kwa Kada Mwenzake Wema Sepenga ampige "TAFU".kuna kinachoitwa domo zege
una akili mno !Nilishakuwa na mashaka na awamu hii muda mrefu sana, kitendo cha dc mnyeti kupandishwa cheo licha ya kukiri kuwapa rushwa madiwani kilinikatisha tamaa kiasi naanza kuamini hakuna userious wa vita dhidi ya rushwa
Na pombe hiyo imeshamlevya sabaya chakari![emoji481]madaraka ni pombe kali sana !
Itamtokea puani dk yoyoteNa pombe hiyo imeshamlevya sabaya chakari![emoji481]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ikulu ni mzigo - JK NYEREREMi naona magufuli hana haja tena ya uraisi!nadhan anafanya haya kumsafishia njia membe!!!!ni mpango wa ccm huu !wamesuka ili wamuondoe jpm aje membe!ili membe apate uungwaji mkono na wapinzani kuwa ni mpenda demokrasia!!hizi ni chenga za mwili!!
Huwenda wakawa wanamrudisha ShukraniKwa bahati Mbaya Rais wetu hawa ndio watu anaowapenda
Hili jambo wengi hawajaliona. CCM imemchoka kiranja wao hivyo inampotosha kumjengea chuki katika jamii na azidi kuonekana kituko.Mi naona magufuli hana haja tena ya uraisi!nadhan anafanya haya kumsafishia njia membe!!!!ni mpango wa ccm huu !wamesuka ili wamuondoe jpm aje membe!ili membe apate uungwaji mkono na wapinzani kuwa ni mpenda demokrasia!!hizi ni chenga za mwili!!
Eeee bhana eeee !!!Hili jambo wengi hawajaliona. CCM imemchoka kiranja wao hivyo inampotosha kumjengea chuki katika jamii na azidi kuonekana kituko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je imetendeka ?Kumekucha
Haki tu itendeke katika hili.