kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,337
- 7,756
sisikii sauti ingependeza kama maongezi yana sikika,lengo sio kumtetea sabaya,nikuondoa any doubts ambazo anaweza kuzitumia kutudanganya,Tunataka kumtundika lakini tujue hatujaacha chembe au mwanya wowote wa sabaya kujitetea!umechelewa sana mkuu , More videos to come , mtakimbiana kudadeki ! washamba ni washamba tu