Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Siyaoni maunu ya kina coco jinga na....Awamu hii kuna wizi kuliko awamu nyingine zote.
Wanachofanya wateule wa rais ni kupitia kwenye ukali wa rais kujinufaisha. Huu ni ujambazi wa wazi kabisa.
Majizi yanajisifia uzalendo!!!