Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Enzi zetu mtu kama wewe 'ungehasiwa' kama wale ng'ombe wa kulimia ili ubaki ukinenepa makalio na hips vzr ukatumike ktk shughuli nyingine za wana-nzengo.
Mtu akishindwa kutetea hoja huwa anatukana,unapaswa kuachana naye ukafanya shughuli nyingine.Mtu kama wewe humu jf ingekuwa bungeni believe me ungeonyesha udadisi mdogo sana.
 
Kwa tabia za huyo dogo inawezekana hajatumwa ni njia zake za kuhalalisha uovu, ni boss gani atamtuma mtu wa hovyo kiasi hicho akadai rushwa hotelini saa kumi alfajiri na mapolisi na bunduki
utashangaa atapandishwa cheo na kuwa RC na hapo ndiyo utaamini kuwa huwa anatumwa na boss wake kukusanya rushwa.
 
Mtu akishindwa kutetea hoja huwa anatukana,unapaswa kuachana naye ukafanya shughuli nyingine.Mtu kama wewe humu jf ingekuwa bungeni believe me ungeonyesha udadisi mdogo sana.
Kama wa lusinde na musukuma vile.
 
Kama wa lusinde na musukuma vile.
Ninachojua kwa uelewa wangu wewe ni mpinzani sana,na umeathirika kisaikologia.Kila kitu unakijadili kiupinzani !Wazungu wanasema let me agree to disagree!
 
Mkuu si alisema aliwafanyia vetting ya hali ya juu wateule wake ,tena alikuwa anakesha anapitia mafaili ndio maanatunaona kazi mzuri ya sabaya ,matunda mazuri ya vetting ya Jiwe .
 
Hili genge ni untouchable

Hutaona disi akifanywa kitu..

zaidi huyu mfanyabiashara ndiye atakayepaswa kumsafisha disi.

iwe kwa kufilisika au kuanza kuishi kama digidigi.

Nandy mwenyewe hatoi ushirikiano hata pale alipohojiwa na clouds FM.!

INA maana DAB na genge lake wameshamtisha na mapicha yake ya uchii
 
Awamu hii serikali inafanya ujambazi kwa matajiri,Kwa vitisho vikubwa vya kuwaadhibu
 
...nimemkumbuka sana huyu mzee. RiP alikufa kishujaa sana kwa kuukataa unyanyasaji wa hawa walevi wa madaraka.
Hata Mimi namkumbuka sana huyo Mzee, tunahitaji mashujaa wa hivyo 10 tu nchi ishike adabu!
 
Sijui huyu jamaa wa wilaya ile wanampendea nini? Hana sifa wala weledi wa kuwa kiongozi wa umma
1564149887251.png
1564149887251.png
 
Back
Top Bottom