Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
Kuna watu wengi wanaona sifa kubeza na kutoa dhihaka kwa kuwa kilichotakiwa kutokea 9 Dec haikuwa kama ilivyotarajiwa lakini hawajui kuwa wanachofanya ni kurusha cheche kwenye ghala la petroli na ikitokea imewaka this time itakuwa mbaya zaidi maana watu wametulia lakini eleweni bado wana hasira, majonzi na maumivu ni kama puto linalosubiri kupasuka sasa nyinyi endeleeni kulijaza upepo.
Na pia si ajabu na viongozi wakafuata mkumbo huu kwa kauli zao za kibabe na za majivuno za kuwaona wananchi ni wajinga kama walivyozoea. Tulipofikia ni inahitajika cheche ndogo sana kutengeneza mlipuko wa nyuklia usiozuilika na tena ni hawa hawa viongozi na machawa ndio wanaenda kutengeneza hii.
Mark my words niko paleee.