Mwafirika:
Jibu hoja hapa, hilo ndilo kubwa ili utueleze pumba ni zipi na mchele basi!
Hoja ni ipi mkuu wangu mongoiwe?
Nikiiona hoja nitaijibu bila kusita. Kwa sasa, unataka nijibu kitu kilichoandikwa JF na kikapatiwa majibu na wana JF?

Mwafrika;
Samahani tena samahani sana. Baada ya kukusoma nimeona upeo wako au namna ya kujadili mambo ni sawa na Mama Sophia Simba wa CCM. Nimetanguliza samahani kama nimekutafsiri visivyo.
Hapa kinachojadiliwa ni kuwa, Je Mbowe hawezi kukaa meza moja na wanaotofautiana naye kimtizamo na kumaliza tofauti hizo?. Kwanini vikao vya siri visivyo rasmi?. Laiti angeitisha kikao rasmi yoote haya yasingekuwapo.
Pia kwanini useme kuwa siwezi kufanya kazi na mtu?, Chadema sio kampuni ambayo lengo ni kutengeneza faida, hapa ni mitizamo tu mnakaa mezani mnayamaliza, tena ikibidi mnakaa ONE on ONE.
Hebu nakuomba tena fikiria OBJECTIVELY kwa manufaa ya TAIFA na si ya chama chenu.
Mwafrika akielezwa huwa mjuaji wa kila kitu, the best thing ni kuwa ameshakuwa marked na credibility yake ime slump down accordingly.
anatapatapa, hizi post atazijibu tu upende usipende
wait and see!
Du!!!!!!!!!!!!!!!!!
Matapishi ya CUF hayo..hana jipya..no other personalities besides him lol.Jamani lazima tuwe dynamic, mabadiliko ni jambo la msingi. Danda na Kufulila ni maafisa wadogo tu ktk chama, kama wameonyesha kiburi na kukosa nidhamu ni haki kuenguliwa ili kupisha wengine waendeleze chama.
Suala la kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba mwenyekiti ameitisha kikao cha kumfukuza kazi inaonyesha kuwa alikuwa na matatizo makubwa. Heko Dr. Slaa, chama lazima kiwe na watu serious. Akijirekebisha mrudisheni, kwasasa wapeni wengine. Bw. Lwakatare yupo hapo apewe cheo, tuufaidi utumishi wake.
Sasa tunataka utekelezaji wa operation sangara kwa ajili ya uchaguzi. Go chadema.
Mkuu, sometimes ushindi si lazima uwe umepata kura zote. Unaweza kushinda tu kwa kuwa hakuna aliepata kura nyingi kama wewe.Kwanza hiyo 80% ya sample ya % ngapi? ukichaguliwa na watu sita kati ya watu 20 waliotakiwa wapige kura unasema mbele ya watu wenye akili timamu kuwa umeshinda?? labda udanganye kenge.
VIongozi wengi wa chadema wanasoma kinachoandikwa humu. Kumbuka kuwa hata Mbowe alikuwa anakuja humu kabla hajaanza kutukanwa matusi ya nguoni na kina GT, mswahili na mafundamentalist wenzake.
Asante kwa ushauri mzuri mkuu.
Now i get it, its not frustrations tu kumbe kuna mengine mengi.......
KULA TANO BABA, NIMEMWELEZA JANA ZITTO KWENYE POST MOJA , the very same ideas
KWA NINI TUSIANZISHE CHAMA CHA VIJANA kitakacho hit kila kona na kuleta mwanga na matumaini ya kizazi hiki na kijacho
why kung'ang'ania chama kinachoongozwa kwa misingi ya CCM na uzee uzee, vimekaa ki NGO NGO, familia familia, n.k
Vijana ni taifa la leo na ndio tuko wengi
Magezi that idea is superb
Wakuu Magezi, Paintruth na wengine wenye misimamo kama yenu.
Mkishaunda hicho chama, baada ya miaka kumi mtakuwa vijana bado eeh? Au mtawafukuza vijana watakaokuwa wananakuja? Hakuna sumu mbaya kama ya kuunda makundi ya umri ambao unapita kwa kasi ya ajabu, bora makundi ya jinsi, angalao itahitajika operesheni kubadili lol
JF wakati mwingine tunasikitisha sana. Yaani kuanzia page ya 1 mpaka ya 12 ni malumbano ambayo hayana kichwa wala miguu. Huwa tunaanza ku-react kwenye mada kabla ya kupata full information.
Ninadhani ni mapema sana kutoa mchango kabla hatujajua kwanini Kafulila kavuliwa madaraka? Barua yake ndiyo inaweza kutoa sababu na based on the reasons za kutenguliwa uteuzi huo, ndipo tunaweza kuweka maswali na hoja za kueleweka.
Je, utenguzi huo umefuata Katiba ya Chadema?
Je, wamefuata taratibu na kanuni zao?
Je, tuhuma alizotuhumiwa nazo zina ukweli?
Je, walitumia njia gani kuzithibitisha ama ni yeye mwenyewe alikiri?
Je, alipewa nafasi ya kujitetea? Na mengineyo mengi.
Michango yetu hapa ni muhimu sana kwa vyama vyote vya siasa. Huwa kuna vingunge wa vyama vyote wanakuja kuchukua madesa na hoja. Tukianza kuleta ushabiki tutashusha hadhi ya JF.
JF ina jina kubwa sana kwenye politics za Tanzania.
Samahani wdau huyu Kafulila ndio nani? katika Chadema.Na kafanya madudu gani mpaka uteuzi wake utenguliwe.
naomba datas.