Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

bora CCM chama cha watanzania wote ila CHADEMA CHA UKOO.

Please mama 5Js tuheshimiane....... mimi ni Mtz haswa (kwa definition yeyote ile)...lkn sina hisa yeyote CCM......! Usituharibie siku bure hapa.........!Lol
 
Dr Slaa, Zitto watofautiana na viongozi wenzao



Kauli hiyo ya Zitto akwenda tofauti kabisa na kauli zilizotolewa na Maafisa wenzake David Kafulila- Afisa Habari na Danda Juju Martin-Afisa wa Bunge wa chama hicho.

Gazeti la Majira lilimnukuu Bwana Kafulila akisema “ kwamba habari hizo amezisoma kwenye vyombo vya habari na kwamba kama kuna kikao ambacho Mbowe amekifanya Dodoma basi kitakuwa ni kikao cha geto. Kwa upande wake gazeti la Mwananchi lilimnukuu Kafulila akieleza amesikia taarifa kuwa amejadiliwa Dodoma na kufukuzwa uanachama na anasubiri barua rasmi”. Kwa upande wake Bwana Danda alinukuliwa na Mwanachi ameeleza kwamba anaamini taarifa za kuwa amefukuzwa uanachama kwa kuwa anajua kuwa Mbowe alikuwa na kikao kisicho rasmi Dodoma.

Hata hivyo, Katibu Mkuu- Dr Slaa na gazeti la leo la Mwananchi na vyombo vingine akifafanua kwamba hakuna kikao kilichokaa kufukuza mwanachama yoyote kwa sababu taratibu za kikatiba za CHADEMA yanapokuja masuala makubwa kama hayo zinajulikana. Ameeleza kuwa Dodoma palifanyika retreat ya chama iliyoitishwa na viongozi wakuu wa chama kwa ajili ya kutafakari mikakati ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Ameeleza kuwa ni kawaida kwa chama hicho kuitisha vikao hivyo kila mwaka ambavyo hufuatiwa na vikao vya sekretariati na kamati kuu. Dr Slaa ameeleza kuwa kikao hicho kilitishwa na Mwenyekiti kikihusisha viongozi wakuu- Makamu Mwenyekiti Arfi Said na yeye. Ameeleza kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe hakuhudhuria kutokana na kuwa safarini kikazi.

Ameendelea kufafanua kuwa Wakurugenzi wa chama waliakwa katika kikao hicho. Katika kikao hicho maafisa wa chama hawakualikwa. Kafulila ni Afisa habari ambaye mkurugenzi wake ni Erasto Tumbo ambaye alihudhuria. Mkurugenzi wa Bunge ni John Mrema, ambaye afisa wake Danda Juju ni mmoja wa waliolalamikia kikao hicho. Wakurugenzi wengine waliohudhuria ni pamoja na Benson Kigaila, John Mnyika na Antoni Komu. Kikao hicho kilihusisha pia wabunge wote wa CHADEMA waliokuwepo Dodoma wakati huo wakiwemo Ndesamburo, Charles Mwera, Susan Lyimo na Grace Kiwelu. Wabunge Halima Mdee, Lucy Owenya na Ana Komu ambao wametajwa na magazeti yote mawili kuwa walihudhuria kikao hicho Dodoma hawakuwepo Dodoma wala kuhudhuria kikao hicho kutokana na kuwa safari nje ya nchi.

Dr Slaa ameeleza kuwa katika kikao hicho hakujajadiliwa wala kutajwa jina la Mama Zitto, wala kafulila wala Danda Juju, sembuse kufukuzwa uanachama. Kauli ya Dr Slaa imeendana na kauli ambayo Zitto kabwe kwenye mtandao wa Jamii Forums akieleza kwamba hakuna suala hilo la mwanachama kufukuzwa uanachama.

Ni vizuri Dr Slaa na Zitto wakaja kutupa maelezo ya kina ya nini kinaendelea humo ndani ya chama chao.

.......ndiyohiyo
 
Samahani wdau huyu Kafulila ndio nani? katika Chadema.Na kafanya madudu gani mpaka uteuzi wake utenguliwe.
naomba datas.
 
Baada ya kusoma post yako nimejisikia tofauti kidogo kuwa nikuulize kuwa ulimaanisha kweli?

Kumbe ccm ni chama cha watanzania wote! Mie nilidhani watanzania wapo kuwapigia kura, ila wenye chama wapo!

Hiyo.....jibu ni hili:
CCM ni chama cha Mafisadi
 
Kwi kwi kwi,

Yaani kama vile nimemshamjua mwandishi wa hii habari.
JF ni hoja tuu, huna haja kumjua mwandishi wa habari hiyo ila chambua hoja zake, chambua kama ni pumba pepeta mchele au chenga zitabaki na kama ni pumba tupu, then kwenye kupepeta, zote zitamwagika zenyewe.

Hii ya kumjua mwandishi utajaishia kwenye calling names.

Mimi binafsi nimeipenda hii habari haswa JF inapokuwa source ya JF yenyewe.
 
watakumegea mke wako manake baada ya mda mashine itakuwa lazzy itakuwa haina nguvu ukiweka tu malngoni kitu pwaaaaaaaaa halafu chali.acha mwana huo ni upuzi halafu unajiua seriousa watu watakuja kukumegea BELIEVE ME
 
FP,

Kwa kweli, waliokupatia majina (kwa hali yoyote ile) wamekosa. Binafsi, mimi nimekujibu vyema (natumaini hili) na sikukuita jina lolote kwa vile mimi nakufahamu (kupitia mitandao hii) kwa muda mrefu.

Wakati mwingine, huwezi kucontrol kila kitu kinachoandikwa hapa. Watu wamekuwa very angry na kilichofanywa na ccm kwenye kamati ya Mwinyi na kile kinachofanyika Chadema wakati huu.

Watu wanakata tamaa so wakati mwingine hizi flairs zitakuwepo. Cha kufanya ni wewe kuendelea kufanya vile umekuwa unafanya miaka yote. Kuendelea kujadili hoja.

Hayo mengine achana nayo - ingawa mimi nitakuwa nawajibu kipuuzi wale wote wanaokuja kipuuzi kwangu. Kwangu mimi hakuna high road kwa mtu ambaye hana high road to begin with.

Mwafrika you are right,

lakini umeanza kuni attack mimi wakati nilikuwa nauliza maswali na kuleta hoja, rudi nyuma angalia post yako ya kwanza kunijibu hukutakiwa kunijibi vile

Lingine, napenda na ninatamani CCM waondoke hata kesho, lakini lazima tujenge chama kizuri.There is no life in CCM

wapigaji kura hawamo humu JF, wengi wetu kwanza tuko nje, na hata hizo kura mwakani hatutapiga

Makosa yoyote ya Chadema ndiyo yanayotumika na CCM kuwakosesha kura chadema! hivyo kwa hali ya sasa chadema lazima wawe waangalifu katika kila wakifanyacho ili adui zao CCM wasipate mwanya wa kuwazidi

Wapiga kura hawana upeo wako MWAFRIKA, wao wakiimbiwa nyimbo na Komba au na khadika kopa wanavutika tu.

Tuhuma za chama za kiukoo, kikabila n.k ni ishu ambazo ama kwa hakika wewe na mimi tunajua hazipo, lakini wapiga kura ambao ni waamuzi wa mwisho ndio wafungaji magoli

Tunaposema humu na kupose challenge kwa chadema is for good, maana hawatapita bila hizi challenge.

Nisemapo mimi sina chama jamani na matumaini yangu ni Chadema, angalau kuna mwanga

Tukidanganyana humu na kupakana mafuta as if hatujui field kuko vipi tunapoteza muda.

Nimewafanyia kampeni chadema jimbo la ubungo, sikuwa na kadi na nilipiga kura yangu kwa mbunge mtarajiwa,

na katika kupiga kampeni tulielezana sana umuhimu wa kwenda ndani zaidi 'ubungo vijijini' amani usiamini ubungo kubwa ile

Tulizani tutashinda kwa matumaini ya usoni(superficial) ukiona

to be honest tangu muda ule nimevunjika sana moyo, kushangiliwa hakutoshi

MWAFRIKA nimelala na njaa na kukosa chips mara mbili usiku nikiwa napiga kampeni ubungo

Nilikaa chini na kutafakari nikagundua kosa liko wapi

tunaongea mno vitabuni na kwenye e-mail mikutano n.k lakini kule kwa watu hatuooneani CCM wakizusha chochote kile wananchi kuamini ni rahisi

Niko nje na natarajia kuchukua kadi rasmi ya chadema , lakini katu sitapoteza muda kama matarajio yangu naamini kabisa ni zero!

Mkuu wwe chadema, lakini mimi nimeifanyia kazi, kwa mapenzi sikuwa mwanachama simply kwa sababu ya sababu nisizoweza kuandika hapa.

sitakujibu tena, ila furaha ya watanzania wengi ni kuona chama kipya kinaingia madarakani, tusiubebe unafiki na kujipa moyo kuwa ukiwashinda kwa hoja watu humu basi NDIO UMEPATA KURA, my friend things there are different.watanzania hawa mtu unamweleza ubaya wa CCM baada ya kumaliza mazungumzo anakuambia nitaipigia CCM , nimevishuhudia hivi vitu ndugu yangu, people are hard there than you can imagine


wanaosema CCM itachukua muda mrefu wako sahihi kabisa, thats is the facts and to change it is not easy, truth ni kuwa kila kitu kinawezekana!

uwezekano huo ni chadema kufanya move za uhakika, undisputable and clean!

Hii ni reality

I will write to you after election marks this words,

sehemu ambazo chadema wanashinda, jamii ya hiyo sehemu wameshalishwa uchadema na siyo rahisi kuwabadilisha hawa watanzania ndugu, kuwabadilisha maeneo mengine ni kazi sana, ushahidi unao

Chadema inaweza, tunapondika post humu wakisoma akina mbowe, slaa na wanapata picha ya kujipanga field, tukiwapa moyo na matarajio hewa, tunapoteza muda humu kaka

kazi njema
 
Kama kweli ni mvujisha siri za chama kwani aendelea kuwa mwanachama mvujisha siri siku zote ni msaliti kwani mikakati na mipango ya chama itakuwa inafika kwa maadui kabla hata haijawa implemented.
 
Kafulila amefanya mazungumzo na wanahabari leo, ameeleza kuwa uteuzi wake umetenguliwa. Ameulizwa kama amefukuzwa uanachama, amekanusha kuwa hakufukuzwa uanachama. Anasema uteuzi wake umetenguliwa na Katibu Mkuu Dr Slaa kupitia kikao cha sekreriati kama ambavyo Rais anatengua uteuzi wa mawaziri. Amesema yeye na Danda wameenguliwa kwenye nafasi zao. Amesema kwamba ameelezwa kwa mdomo na Dr Slaa kwenye kikao cha sekretariati leo.

Ameeleza kwamba aliitwa kwenye kikao cha sekretariati ya leo kuhojiwa kuhusu matamshi yake kwenye vyombo vya habari yaliyomtuhumu Mwenyekiti Mbowe kufanya kikao kisicho rasmi Dodoma kwa ajili ya kumwengua uanachama yeye na wenzake. Leo ameongea na waandishi wachache ila ameahidi kuzungumza kwa kina kwenye mkutano wa wanahabari baada ya kupokea barua rasmi anayotarajiwa kupatiwa kesho. Nitarejea kwenu na maelezo zaidi yaliyotokana na maswali na majibu.

PM
Mkuu PM usiadimike kihivyo bana
 
Samahani wdau huyu Kafulila ndio nani? katika Chadema.Na kafanya madudu gani mpaka uteuzi wake utenguliwe.
naomba datas.

Tunaomba wanaomjua pia watuambie kabla ya Chadema alitoka wapi au alikuwa wapi?
 
Ukituambia Mabinti wanakukataa tutakuelewa zaidi , Si vema kuacha endelea tu kwani hao unaowapigia Masturbation kwenye internet ni wake zako na si vema kuwataliki. Kilichounganishwa na mungu binadamu hawezi kukitenganisha..!!
 
Dogo tatizo siyo wewe kuacha PULI, tatizo ni kuacha kuangalia PORNO! porno hazina maana dogo, zinakuvutia nn! ACHANA NAZO TARIB, kisha jiweke bize.....wewe unafanya kazi gan? inaonesha mwanafunzi, jiweke bize sana na masomo, utasahau tu mawazo ya ngono. Mimi mwenyewe nilipogundua mchezo wa nyeto wakati wa teen age ilikuwa balaa!!! tena natafutia stimu kwa demu mzuuri, nawaza niko naye halafu napiga puli mpaka mara tatu! nilipofikisha miaka 20 nikaona haina maana nikaacha taratibu mpaka nikaacha kabisa. Ni adiction mbaya sana, kuna jamaa yangu mmoja anapiga puli mpaka leo, na ana MKE na WATOTO WAWILI!!!!! usiku anaweza akaamka akaenda bafuni kupiga PULi anaacha mtoto Bomba kalala kitandani!!!!!!! ni MBAYA SANA HII KITU.....ACHA
 
vyama vya siasa vya tz bado!! watu wenyewe wachache,wanagombania nini? au vihela na vijisent nini!! sasa tutaendelea na chama chetu kile basi-maana hawachelewi kufuta chama kwa mpango huu!!
 
Inawezekana!

Kafulila baada ya kusikia kwamba CHADEMA walikuwa na kikao Dodoma ( Ni kweli kilikuwepo kwa Mujibu wa Dr. Slaa), AKAHISI au AKAJISHTUKIA kwamba kulikuwa kuna Mipango ya kumwengua, na Yeye pasipo kutafuta uhakika wa content ya Kikao hicho akakimbilia kwenye Vyombo vya Habari kumtuhumu Chairman na Viongozi wengine. Msinivamie jamani am trying to think loudly kama mmesikia mnisamehe

Kama Hisia Zangu ni Sahihi na kama ni tabia ya huyu Ndugu Kafulila

Then naunga Mkono uamuzi wa CHADEMA kumuengua huyu kijana kwenye post yake

Ila kama Hisia zangu si sahihi

Mnisamehe Bure
 
JF wakati mwingine tunasikitisha sana. Yaani kuanzia page ya 1 mpaka ya 12 ni malumbano ambayo hayana kichwa wala miguu. Huwa tunaanza ku-react kwenye mada kabla ya kupata full information.

Ninadhani ni mapema sana kutoa mchango kabla hatujajua kwanini Kafulila kavuliwa madaraka? Barua yake ndiyo inaweza kutoa sababu na based on the reasons za kutenguliwa uteuzi huo, ndipo tunaweza kuweka maswali na hoja za kueleweka.

Je, utenguzi huo umefuata Katiba ya Chadema?
Je, wamefuata taratibu na kanuni zao?
Je, tuhuma alizotuhumiwa nazo zina ukweli?
Je, walitumia njia gani kuzithibitisha ama ni yeye mwenyewe alikiri?
Je, alipewa nafasi ya kujitetea? Na mengineyo mengi.

Michango yetu hapa ni muhimu sana kwa vyama vyote vya siasa. Huwa kuna vingunge wa vyama vyote wanakuja kuchukua madesa na hoja. Tukianza kuleta ushabiki tutashusha hadhi ya JF.

JF ina jina kubwa sana kwenye politics za Tanzania.
 
Mwafrika you are right,

lakini umeanza kuni attack mimi wakati nilikuwa nauliza maswali na kuleta hoja, rudi nyuma angalia post yako ya kwanza kunijibu hukutakiwa kunijibi vile

Kweli kabisa mkuu,

Nimejibu the exact way ambayo wewe umeandika. Wewe umetoa tuhuma na maneno makali sana dhidi ya chadema na wanachadema. Kwa vile kuna watu ambao hawawezi kukujibu kwa lugha ile (maana chadema wao kila mara wanajiita wastaaarabu), basi ukakutana na rungu langu.

Dont hate the playa, hate the game.

Lingine, napenda na ninatamani CCM waondoke hata kesho, lakini lazima tujenge chama kizuri

Umeshasema kuwa chadema haifai na ukataka zitto na vijana wenzake kama wewe muanzishe chama. Natumaini kitakuwa chama kizuri.

wapigaji kura hawamo humu JF, wengi wetu kwanza tuko nje, na hata hizo kura mwakani hatutapiga

Makosa yoyote ya Chadema ndiyo yanayotumika na CCM kuwakosesha kura chadema! hivyo kwa hali ya sasa chadema lazima wawe waangalifu katika kila wakifanyacho ili adui zao CCM wasipate mwanya wa kuwazidi

Wapiga kura hawana upeo wako MWAFRIKA, wao wakiimbiwa nyimbo na Kombaau na khadika kopa wanavutika tu.

Okay

Tuhuma za chama za kiukoo, kikabila n.k ni ishu ambazo ama kwa hakika wewe na mimi tunajua hazipo, lakini wapiga kura ambao ni waamuzi wa mwisho ndio wafungaji magoli

Tunapsema humu na kupose challenge kwa chadema is for good, maana hawatapita bila hizi challenge.

Sidhani kama kuna mtu kakataa kuwa chadema isikosolewe. Ukimpata huyu mtu, naomba uniambie jina lake na mimi nitamuita chemba nimchape fimbo za matakoni kama Mwl Nyerere (RIP) alivyofanya.

Nisemapo mimi sina chama jamani na matumaini yangu ni Chadema, angalau kuna mwanga

Tukidanganyana humu na kupakana mafuta as if hatujui field kuko vipi tunapoteza muda.

Nimewafanyia kampeni chadema jimbo la ubungo, siku na kadi na nilipiga kura yangu kwa mbunge mtarajiwa,

na katika kupiga kampeni tulielzana sana umuhimu wa kwenda ndani zaidi 'ubungo vijijini' amani usiamini ubungo kubwa ile

Tulizani tutashinda kwa matumaini ya usoni(superficial) ukiona

to be honest tangu muda ule nimevunjika sana moyo, kushangiliwa hakutoshi

Huu ni mwanzo mzuri.

MWAFRIKA nimelala na njaa na kukosa chips mara mbili usiku nikiwa napiga kampeni ubungo

Nilikaa chni na kutafakri nikagundua kosa liko wapi

tunaongea mno vitabuni na kwenye e-mail mikutano n.k lakini kule kwa watu hatuooneani CCM wakizusha chochote kile wananchi kuamini ni rahisi

Niko nje na natarajia kuchukua kadi rasmi ya chadema , lakini katu sitapotez muda kama matarajio yangu naamini kabisa ni zero!

Mkuu wwe chadema, lakini mimi nimeifanyia kazi, kwa mapenzi sikuwa mwanachama simply kwa sababu ya sababu nisizoweza kuandika hapa.

I will believe it when i see it.

sitakujibu tena, ila furaha ya watanzania wengi ni kuona chama kipya kinaingia madarakani, tusiubebe unafiki na kujipa moyo kuwa ukiwashinda kwa hoja watu humu basi NDIO UMEPATA KURA, my friend things there are different.watanzania hawa mtu unamweleza ubaya wa CCM baada ya kumaliza mazungumzo anakuambia nitaipigia CCM , nimevishuhudia hivi vitu ndugu yangu, people are hard there than you can imagine


wanaosema CCM itachukua muda mrefu wako sahihi kabisa, thats is the facts and to change its is not easy, truth ni kuwa kila kitu kinawezekana!

uwezekano huo ni chadema kufanya move za uhakika, undisputable and clean!

Okay

Hii ni reality

I will write to you after election marks this words,

sehemu ambazo chadema wanashinda, jamii ya hiyo sehemu wameshalishwa uchadema na siyo rahisi kuwabadilisha hawa watanzania ndugu

Chadema inaweza, tunaponadika post humu wakiosma akina mbowe, slaa na wanapata picha ya kujipanga field, tukiwapa moyo na matarajio hewa, tunapoteza muda humu kaka

kazi njema

VIongozi wengi wa chadema wanasoma kinachoandikwa humu. Kumbuka kuwa hata Mbowe alikuwa anakuja humu kabla hajaanza kutukanwa matusi ya nguoni na kina GT, mswahili na mafundamentalist wenzake.

Asante kwa ushauri mzuri mkuu.
 
JF ni hoja tuu, huna haja kumjua mwandishi wa habari hiyo ila chambua hoja zake, chambua kama ni pumba pepeta mchele au chenga zitabaki na kama ni pumba tupu, then kwenye kupepeta, zote zitamwagika zenyewe.

Hii ya kumjua mwandishi utajaishia kwenye calling names.

Mimi binafsi nimeipenda hii habari haswa JF inapokuwa source ya JF yenyewe.

Mwafirika:
Jibu hoja hapa, hilo ndilo kubwa ili utueleze pumba ni zipi na mchele basi!
 
Back
Top Bottom