Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sioni tatizo wewe ndo mshabiki. NO WONDER CCM INAPATA ASILIMIA 80%. Tutawaongoza/tawala MILELE!

Keep on dreaming hakuna aliyeamini utawala wa WARUMI ungeanguka siku moja! This is very low for an intellectual to think that way.....
 
Fairplayer, hii sio simba na yanga!!!! ni mambo yanayohusu mstakabali wa nchi yetu. ni mambo ya msingi kabisa, yanahusu mama na shangazi zako wanaokufa kwa kukosa mkunga kijijini kwenu.
Its not about ushaiki wa nani anatawala na nani anatawaliwa. THINK.
 
sijaona kitufe cha senksi, ningekutwanga senksi.

Tunaongelea kuhusu sisiem kuwafukuza wanachama ambao ni watuhumiwa wa ufisadi, na wakifukuzwa watu watakuwa happy. sasa CHADEMA wakifukuza mwanachama hata kama ni ofisa kwa sababu za kinidhamu, watu hawataki wanaona ni uonevu...........Mimtu mingine bana.

na wewe bana vipi .. mimi nasema kama mtu hana nidhamu afukuzwe tu.. kuvujisha siri za chama ni tabia mbaya .sasa bana ,bona unataka kunipiga na kitufe.. ?
 
Mwafrika;

Mimi ni CCM, ila naweka Utaifa mbele, nimeuliza:

1. Kwanini mwenyekiti kama alikuwa na uhakika na utoaji siri/tuhuma dhidi ya David alihitisha mkutano usio rasmi Dodoma kumjadili?
2. Je kama ilithibitika kuwa anatoa siri za chama aliitwa ajitetee na kupewa muda ajirekebishe?
3. Kikao kilichomuondoa uongozi kilikuwa halali?
4. Chadema hamna jinsi ya kujadili tofauti zenu za kimtazamo au kimsimamo ndani ya chama bila kufukuzana?
5. Je hamuoni (Chadema) kuwa kufukuzana mnawagawa wanachama katika makundi?

Asante in advance kwa majibu.

FP,

Kulingana na Invisible,

Viongozi wa chadema hawajasema chochote kilichotokea. Kuna mtu hapo juu kakanusha kuwa Kafulila hajafukuzwa uanachama ila amevuliwa uongozi.

Kama kweli amefukuzwa, yote yatawekwa wazi hapa. Kwa sasa, mimi na wewe tunajadili speculations tu. Kwa mtizamo wangu, huyu kafulila angepewa adhabu na chama siku nyingi sana kwa yote aliyofanya kuanzia uchaguzi mkuu uliopita.
 
Fairplayer,

CCM inatangazwa kuwa imepata asilimia 80. Hayo ya kutawala milele, well, time will tell.
Kwanza hiyo 80% ya sample ya % ngapi? ukichaguliwa na watu sita kati ya watu 20 waliotakiwa wapige kura unasema mbele ya watu wenye akili timamu kuwa umeshinda?? labda udanganye kenge.
 
Fairplayer, hii sio simba na yanga!!!! ni mambo yanayohusu mstakabali wa nchi yetu. ni mambo ya msingi kabisa, yanahusu mama na shangazi zako wanaokufa kwa kukosa mkunga kijijini kwenu.
Its not about ushaiki wa nani anatawala na nani anatawaliwa. THINK.

Rejea maswali yangu juu, utajua msimamo wangu. Ninapata uchungu kuona chama ambacho angalau kingefanya CCM iamke usingizini nacho kinaanza kuvurugika.

Thats UTAIFA.

and Thats all.
 
Rejea maswali yangu juu, utajua msimamo wangu. Ninapata uchungu kuona chama ambacho angalau kingefanya CCM iamke usingizini nacho kinaanza kuvurugika.

Thats UTAIFA.

and Thats all.

A day-dreamer. A blind zealot. That's all how I can describe u!
 
FP,

Kulingana na Invisible,

Viongozi wa chadema hawajasema chochote kilichotokea. Kuna mtu hapo juu kakanusha kuwa Kafulila hajafukuzwa uanachama ila amevuliwa uongozi.

Kama kweli amefukuzwa, yote yatawekwa wazi hapa. Kwa sasa, mimi na wewe tunajadili speculations tu. Kwa mtizamo wangu, huyu kafulila angepewa adhabu na chama siku nyingi sana kwa yote aliyofanya kuanzia uchaguzi mkuu uliopita.

Tupo pamoja Mwafrika. Usisahau kunitaftia majibu najua sio maswali magumu.
 
Robot,

Hii thread inaelekea kupoteza mwelekeo..............!

NL,

Wala usiwe na wasiwasi kabisa. Hii thread bado iko kwenye mwelekeo wake uliotakiwa (kwa maoni yangu) - kumpa fundisho zuri Kafulila kuwa ashirikiane na viongozi wenzake maana chama ni team na sio mtu mmoja.
 
Tupo pamoja Mwafrika. Usisahau kunitaftia majibu najua sio maswali magumu.

FP,

Mimi nawe tumetoka mbali sana na hii JF (mwaka 2006). Nitakupatia majibu tu ya maswali yako mara tu hizi habari zikiwa wazi. Kwa sasa, ninaamini kuwa Kafulila kapewa kila aina ya nafasi ya kujieleza na akazidi kutia maji.

Hicho kikao cha kumkanya kilikuwa last option.
 
Kwanza hiyo 80% ya sample ya % ngapi? ukichaguliwa na watu sita kati ya watu 20 waliotakiwa wapige kura unasema mbele ya watu wenye akili timamu kuwa umeshinda?? labda udanganye kenge.

Lakini ndio wanaoongoza nchi, na kutufikisha hapa tulipo!
 
A day-dreamer. A blind zealot. That's all how I can describe u!

M-mbabe mbona mnakuwa na mabifu yasiyo na maana?

whats wrong?

kweli mimi nimelost, dumpest person on earth, but I see same thing on you!
 
Tusijekuwa watu wa mipasho kama mama fulani? Je hizi habari zimethibitishwa?
 
Back
Top Bottom