Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

mhariri wa Mtanzania leo ameamua kuwavaa Mnyika na Mrema akiwahusisha na kutenguliwa uteuzi wa Kafulila na Danda. Mhariri huyo katika habari yake ya leo ya ukurasa wa mbele ameeleza kwamba vijana hawana walikuwa na uhusiano wa karibu na Zitto Kabwe lakini wamgeuka na kuwa karibu na Mbowe. Mhariri huyo ameeleza kwamba kugeuka kwao kumetokana na ukabila na maslahi binafsi. Mwandishi wa habari huyo amewataja wakurugenzi hawa wawili wa chama hicho kuwa wote ni wachagga. Habari hiyo imewahusisha wabunge wa CHADEMA na wakurugenzi wa chama hicho kuwa wote wako kwenye mkakati wa kummaliza kisiasa Zitto Kabwe kwa ajili ya kuisaidia CCM.

.......ndiyohiyo

Habari hiyo ilipikwa na Balille kwa kushauriana na Kafulila kabla hata ya Sekretariati ya CHADEMA kukaa. Hebu ileteni habari yenyewe ichambuliwe, ilichoongezewa kipya ni nukuu moja tu toka kwa Kafulila. Ugomvi wa Balille na Mnyika ulianzia toka akiwa Rai https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/16440-mnyika-balille-rostam-aziz-na-kisa-cha-sms.html; kwa sasa huyu ndio Mhariri wa Mtanzania. Hapa NHC, Muhingo na Balille wanamamlaka makubwa sana. Sijui wamemlisha nini Manyerere jana akaipitisha hio stori

PM
 
Sina cha kuongeza hapa zaidi ya kusema wao ndio mwenye kuona mambo gani ya busara kwa Taifa letu
 
Habari hiyo ilipikwa na Balille kwa kushauriana na Kafulila kabla hata ya Sekretariati ya CHADEMA kukaa. Hebu ileteni habari yenyewe ichambuliwe, ilichoongezewa kipya ni nukuu moja tu toka kwa Kafulila. Ugomvi wa Balille na Mnyika ulianzia toka akiwa Rai https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/16440-mnyika-balille-rostam-aziz-na-kisa-cha-sms.html; kwa sasa huyu ndio Mhariri wa Mtanzania. Hapa NHC, Muhingo na Balille wanamamlaka makubwa sana. Sijui wamemlisha nini Manyerere jana akaipitisha hio stori

PM

Asante mkuu, hapo nimekusoma maana hizi ni habari tena za ndani.
 
Halafu wewe Kadi yako Kibunango ya CCM haitambuliki hahahahahahhh
Ya kwangu haina utata kama ya Fisadi Nyangumi... Imetulia na imeshalipiwa ada hadi 2015...

Anachekesha huyo Slaa, eti wakiwa ikulu...! anadhani Karatu pekee wanaweza kumfikisha ikulu?
 
Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi Kafulila anasema "Ninakipenda sana chama changu, ninamheshimu sana Dr Slaa...najua tatizo la msingi halijapatiwa jibu..Ninatafakari! " .nikajiuliza kama tatizo la Kafulila ana mgogoro na Mbowe au CHADEMA? maana kafukuzwa na Slaa lakini bado anaonesha imani kubwa kwa slaa. tatizo ni nani? nini?....
1.Nimemsikia kijana aliyeshinda umakamu mwenyekiti wa BAVICHA akisema tatizo la kafulila ni misimamo...na mbowe anapenda vijana wa kuburuza....au wa kabila lake kama alivyo John Mrema
2.Kafulila amekuwa akidai vikao vya kujadili matumizi ya ruzuku ya chama kila mwezi pesa zinapoingia...ambazo ni zaidi ya milioni60..kitu ambacho mbowe hayuko tayari...Na huu ndio mgogoro mkubwa ndani ya CHADEMA.kwamba ni Mwenyekiti pekee katika vyama vya siasa vikubwa nchini ambae ni signatory wa chama ni yeye tu...Kikwete sio, Lupumba sio..
3.Inasemekana kafulila analalamika kuwa slaa anaburuzwa na mbowe, nakwamba slaa anafaa kabisa kuwa hata rais kwakuwa atakuwa juu ya wote...kwamba mwenyewe slaa hana hatia katika madili ya pesa...na kwamba hata kwenye viti maalumu, baada ya mbowe kubadilisha majini ya waliopendekezwa na baraza kuu kwa mujibu wa kanda zao, slaa aliagizwa akatetee kwenye kikao cha baraza kuu...wajumbe wakakataa....wakatishia kumfukuza, ndipo mbowe akaingilia kati kuomba radhi....ndipo slaa akasema "kama mwenyekiti aliyeagiza majina yabadilishwe amekiri kosa, basi na mimi nakiri kosa....
4.Nashukuru nimewahi kumwona kafulila akiwa na Dr Kitila Mkumbo nadhani ilikuwa mwezi wa nne kabla ya uchaguzi wa busanda. lakini anatisha...yani alianguka gorofa ya kumi lakini akapona kwa siku nane...na wala hakuwa amechubuka hata kidogo kicwani...isipokuwa miguuni..Du Kigoma????
5.Nimesikia alitakiwa kufukuzwa mara kwanza alipofuatilia sana matumizi ya milioni35 za desemba 2008, ambazo ni siri kubwa mpaka sasa...ila kesho ntaambiwa....maana jamaa anasema hiyo ni siri kubwa kwani vikao zaidi ya vinne vilikaa kutaka taarifa ya matumizi ya fedha hizo bila mafanikio...ndipo alipozidi kuhojiwa akatishiwa kufukuzwa.

NINAENDELEA KUCHUNGUZA MGOGORO HUU, NA NITAENDELEA KUTOA TAARIFA KILA NINAPO NUSA...HIZO NDIZO NIMENUSA LEO KUTOKA SAKATA HILO
 
Jamani mnataka twende chama gani?...ccm ndo imekufa tayari, na JK ameita mawaziri wote Ikulu leo...nadhani anakwenda kueleza namna serikali ilivyoshindwa chini yake...Ni kweli kuwa mbowe ni tatizo...lakini ndio mwenyekiti wa chama. kwanini msisubiri amalize miaka yake minne? kwani katiba ya CHADEMA inasemaje? anaweza kuendelea? au ndio mwisho? mi nadhani ni bora mvute subira kuliko kuvutana na huyu jamaa. labda hamumfahamu mbowe ni nani....hawezi kuachia ngazi mpaka akitaka mtake msitake....vumilieni....yote yanapita...chadema kuna vijana wengi wanaoweza kukiendesha chama hiki vizuri baada ya mbowe..subira yavuta heri jamani...tunajua kwamba mbowe ni tatizo, lakini ndio bora chama kife?
 
Kwanza unaanza na swali,

Na kisha unatoa maelezo binafsi kabla ya kumalizia na maneno kuwa unaendelea na uchunguzi.

Ningependa kujua vipimo vilivyotumika kwenye hiyo issue ya kuanguka 10 floors.
 
Jamani mnataka twende chama gani?...ccm ndo imekufa tayari, na JK ameita mawaziri wote Ikulu leo...nadhani anakwenda kueleza namna serikali ilivyoshindwa chini yake...Ni kweli kuwa mbowe ni tatizo...lakini ndio mwenyekiti wa chama. kwanini msisubiri amalize miaka yake minne? kwani katiba ya CHADEMA inasemaje? anaweza kuendelea? au ndio mwisho? mi nadhani ni bora mvute subira kuliko kuvutana na huyu jamaa. labda hamumfahamu mbowe ni nani....hawezi kuachia ngazi mpaka akitaka mtake msitake....vumilieni....yote yanapita...chadema kuna vijana wengi wanaoweza kukiendesha chama hiki vizuri baada ya mbowe..subira yavuta heri jamani...tunajua kwamba mbowe ni tatizo, lakini ndio bora chama kife?

Mnajua na nani?
 
Kafulila ni nani hata awe na mgogoro na Mbowe?
Mbona kila mtu huko sasa hata mfagizi atasema kuwa naye ana mgogoro na Mbowe?
Kwa nini Mbowe kila issue wakati yeye sio mjumbe wa Secretariat?
Mbona Kafulila anajitafutia umaarufu kupitia mgongo wa Mbowe?
Kwa nini haya maswali yameulizwa hapa na leo?
Je? haya ndio yale aliyosema kafulila kwenye gazeti la Mwananchi jumapili kuwa mambo yote yatakuwa hadharani ndio hilo la disemba?
We are more than this, huyu anaonekana kuwa anachuki zake binafsi na Mbowe na wala sio kitu kingine.

Na wewe John Mrema , si utoke huko mbona kila siku lawama zinarushwa kwako tuu wewe na Mnyika?
Ama ninyi ndio nguzo ya hicho chama ama ni kikwazo ?
 
Kuna mtu hapa jana alishauri kuwa Kafulila akapimwe akili na kichwa kwani inawezekana kule kuanguka kwake ghorofa 10 kulichanganya mambo kichwani mwake.
 
mamluki wa mbowe utawaona tu..kila anayempinga hana akili lol..aanze kupima yeye mbowe kwanza? nafikiri hazimtoshi
 
Wewe lini umetoka kwenye chama chako kile cha misimamo mikali ya kiislam (tanzanian talebans).
 
Nimeongea na rafiki yangu mmoja ambaye yupo news room hapo nyumbani kaniambia kuwa ukitaka uandikwe na magazeti ya bongo na ili uweze kupata front page basi kama wewe ni CHADEMA sema kuwa una tatizo na Mbowe.

Ila ukiwa wewe ni CUF sema kuwa Maalim alikosea ama amehongwa na Karume ili kumtambua.

Na ukiwa wewe ni CCM sema ama unapinga ufisadi au unaunga mkono mafisadi hizo zinatosha kukupa front page za magazeti karibia yote.
 
Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi Kafulila anasema "Ninakipenda sana chama changu, ninamheshimu sana Dr Slaa...najua tatizo la msingi halijapatiwa jibu..Ninatafakari! " .nikajiuliza kama tatizo la Kafulila ana mgogoro na Mbowe au CHADEMA? maana kafukuzwa na Slaa lakini bado anaonesha imani kubwa kwa slaa. tatizo ni nani? nini?....
1.Nimemsikia kijana aliyeshinda umakamu mwenyekiti wa BAVICHA akisema tatizo la kafulila ni misimamo...na mbowe anapenda vijana wa kuburuza....au wa kabila lake kama alivyo John Mrema
2.Kafulila amekuwa akidai vikao vya kujadili matumizi ya ruzuku ya chama kila mwezi pesa zinapoingia...ambazo ni zaidi ya milioni60..kitu ambacho mbowe hayuko tayari...Na huu ndio mgogoro mkubwa ndani ya CHADEMA.kwamba ni Mwenyekiti pekee katika vyama vya siasa vikubwa nchini ambae ni signatory wa chama ni yeye tu...Kikwete sio, Lupumba sio..
3.Inasemekana kafulila analalamika kuwa slaa anaburuzwa na mbowe, nakwamba slaa anafaa kabisa kuwa hata rais kwakuwa atakuwa juu ya wote...kwamba mwenyewe slaa hana hatia katika madili ya pesa...na kwamba hata kwenye viti maalumu, baada ya mbowe kubadilisha majini ya waliopendekezwa na baraza kuu kwa mujibu wa kanda zao, slaa aliagizwa akatetee kwenye kikao cha baraza kuu...wajumbe wakakataa....wakatishia kumfukuza, ndipo mbowe akaingilia kati kuomba radhi....ndipo slaa akasema "kama mwenyekiti aliyeagiza majina yabadilishwe amekiri kosa, basi na mimi nakiri kosa....
4.Nashukuru nimewahi kumwona kafulila akiwa na Dr Kitila Mkumbo nadhani ilikuwa mwezi wa nne kabla ya uchaguzi wa busanda. lakini anatisha...yani alianguka gorofa ya kumi lakini akapona kwa siku nane...na wala hakuwa amechubuka hata kidogo kicwani...isipokuwa miguuni..Du Kigoma????
5.Nimesikia alitakiwa kufukuzwa mara kwanza alipofuatilia sana matumizi ya milioni35 za desemba 2008, ambazo ni siri kubwa mpaka sasa...ila kesho ntaambiwa....maana jamaa anasema hiyo ni siri kubwa kwani vikao zaidi ya vinne vilikaa kutaka taarifa ya matumizi ya fedha hizo bila mafanikio...ndipo alipozidi kuhojiwa akatishiwa kufukuzwa.

NINAENDELEA KUCHUNGUZA MGOGORO HUU, NA NITAENDELEA KUTOA TAARIFA KILA NINAPO NUSA...HIZO NDIZO NIMENUSA LEO KUTOKA SAKATA HILO

kafulila katimuliwa na slaa. kafulila analalamika slaa anaburuzwa na mbowe. lakin kafulila ansema slaa anafaa kuwa raisi ingawa anapelekeshwa puta na mbowe. slaa ndio mwenyekiti wa sekretariat ambayo kafulila anihoji imetafuna pesa na kuhoji kwake ndo kumepelekea afukuzwe. ndugu mkuyumkubwa kafulila hana mgogoro na mtu ana mgogoro ndani ya bichwa lake baada ya kulibamiza alipodondoka gorofa ya kumi. kama alivyosema tatizo la msingi halijapatiwa jibu mpeleke mirembe atapata jibu!!!!!! kudadadeki toeni upuuzi wenu hapa.
 
Kwa nini nyie wa CHADEMA msiige staili yetu sisi wanangangari ya kuwa kila mtu atakayekitukana chama ama kiongozi na alikuwa ni mwanachama au kiongozi atakutana na POPO BAWA?

Hii ndio njia ya kuwafanya viongozi wasiokuwa waadilifu wanapoondoka wajue kabisa kuwa mtaji wao sio kukitukana chama , je?mliwahi kumwona Akwilombe akikitukana CUF? mbona anawatukana CHADEMA? mi kwa sababu anajua nini kitamtokea.

Jifunzeni kutoka kwetu japo kidogo jinsi ya kuilinda taasisi ,kwani wengine siasa kwao sio utumishi bali ni ajira.
 
wewe lini utaacha kuomba pombe za bure club bilicanas???

Kumbe wajahidina pia mnakwenda bilicanas. Nini kitafuata, kupiga marufuku kumbi zote za starehe au kulazimisha wanawake wote wavae kininja wakiwa bilicanas?
 
Unapenda pombe za bure kutoka kwa mbowe ndio maana mapofu yanakutoka akisemwa he! pole sana
 
Back
Top Bottom