Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,402
- 7,310
Kama hizi habari ni za kweli ,basi Mbowe anamtafuta Zitto anamtaka zitto ajitoe mwenyewe chamani,hataki kumu face ana kwa ana anatumia njia za mzunguruko.
Mbowe alisema maneno hayahaya hawezi fanya kazi na marehem chacha.
Yametimia
CC
Pasco
Nguruvi3
Lunyungu
Zitto
Mkandara
Mnyika
mdee
slaa
lusungo
MBOWE
Tundu Lisu
silinde
msigwa
@yericko
Ben saanane
Na wengineo naamini mtaona je mbowe ni mpinzani au....
Last edited by a moderator: