ni karafuuhizi ni bange au bangi? waberoya yuko wapi when needed most?
ni karafuuhizi ni bange au bangi? waberoya yuko wapi when needed most?
FP,
Kwa kweli, waliokupatia majina (kwa hali yoyote ile) wamekosa. Binafsi, mimi nimekujibu vyema (natumaini hili) na sikukuita jina lolote kwa vile mimi nakufahamu (kupitia mitandao hii) kwa muda mrefu.
Wakati mwingine, huwezi kucontrol kila kitu kinachoandikwa hapa. Watu wamekuwa very angry na kilichofanywa na ccm kwenye kamati ya Mwinyi na kile kinachofanyika Chadema wakati huu.
Watu wanakata tamaa so wakati mwingine hizi flairs zitakuwepo. Cha kufanya ni wewe kuendelea kufanya vile umekuwa unafanya miaka yote. Kuendelea kujadili hoja.
Hayo mengine achana nayo - ingawa mimi nitakuwa nawajibu kipuuzi wale wote wanaokuja kipuuzi kwangu. Kwangu mimi hakuna high road kwa mtu ambaye hana high road to begin with.
Mwafrika;
Tupo hapa kuelimishana, mtu akija kipuuzi usimjibu kipuuzi bali mwelimishe.
hapo ndo tunatofautiana.
Jasusi,
Sijazumgumzia mafisadi, hoja yangu ni kwenye kuvumiliana kwenye kutofautiana kimawazo kwenye chama.
Jasusi,
Sijazumgumzia mafisadi, hoja yangu ni kwenye kuvumiliana kwenye kutofautiana kimawazo kwenye chama.
Naona tungoje majibu, labda kesho. Ngoja niwahi home internet cafe hii wanataka kufunga, si mnajua wa TZ wengine bado kiuchumi? ndo maana tunakua na uchungu na nchi hii.
bora CCM chama cha watanzania wote ila CHADEMA CHA UKOO.
Fairplayer,
Niliacha zamani sana kuchukua high road. Mtu akileta upuuzi kwangu anapata upuuzi wangu. Elewa pia, mimi sina tabia ya kutukana watu hapa na kuvunja sheria za JF - ndio maana sijawahi kufungiwa hata siku moja.
Kitu kimoja ambacho nitatofautiana nawe, I dont dignify stupidity.
Baada ya kusoma post yako nimejisikia tofauti kidogo kuwa nikuulize kuwa ulimaanisha kweli?
Kumbe ccm ni chama cha watanzania wote! Mie nilidhani watanzania wapo kuwapigia kura, ila wenye chama wapo!
Mwafrika;
"Stupidity denotes actual antiknowledge. If knowledge is a positive quantity on the spectrum and ignorance is a zero, stupidity must actually be a negative ......" Anoni
So waelimishe na sio kuwafanya waendelee kuwa stupid!
Kafulila amefanya mazungumzo na wanahabari leo, ameeleza kuwa uteuzi wake umetenguliwa. Ameulizwa kama amefukuzwa uanachama, amekanusha kuwa hakufukuzwa uanachama. Anasema uteuzi wake umetenguliwa na Katibu Mkuu Dr Slaa kupitia kikao cha sekreriati kama ambavyo Rais anatengua uteuzi wa mawaziri. Amesema yeye na Danda wameenguliwa kwenye nafasi zao. Amesema kwamba ameelezwa kwa mdomo na Dr Slaa kwenye kikao cha sekretariati leo.
Ameeleza kwamba aliitwa kwenye kikao cha sekretariati ya leo kuhojiwa kuhusu matamshi yake kwenye vyombo vya habari yaliyomtuhumu Mwenyekiti Mbowe kufanya kikao kisicho rasmi Dodoma kwa ajili ya kumwengua uanachama yeye na wenzake. Leo ameongea na waandishi wachache ila ameahidi kuzungumza kwa kina kwenye mkutano wa wanahabari baada ya kupokea barua rasmi anayotarajiwa kupatiwa kesho. Nitarejea kwenu na maelezo zaidi yaliyotokana na maswali na majibu.
PM
Na maelezo mengine je! unayajibuje?
Hivi kila anayepinga chadema lazima awe mwana CCM?
LOL!
Asante PM,Kafulila amefanya mazungumzo na wanahabari leo, ameeleza kuwa uteuzi wake umetenguliwa. Ameulizwa kama amefukuzwa uanachama, amekanusha kuwa hakufukuzwa uanachama. Anasema uteuzi wake umetenguliwa na Katibu Mkuu Dr Slaa kupitia kikao cha sekreriati kama ambavyo Rais anatengua uteuzi wa mawaziri. Amesema yeye na Danda wameenguliwa kwenye nafasi zao. Amesema kwamba ameelezwa kwa mdomo na Dr Slaa kwenye kikao cha sekretariati leo.
Ameeleza kwamba aliitwa kwenye kikao cha sekretariati ya leo kuhojiwa kuhusu matamshi yake kwenye vyombo vya habari yaliyomtuhumu Mwenyekiti Mbowe kufanya kikao kisicho rasmi Dodoma kwa ajili ya kumwengua uanachama yeye na wenzake. Leo ameongea na waandishi wachache ila ameahidi kuzungumza kwa kina kwenye mkutano wa wanahabari baada ya kupokea barua rasmi anayotarajiwa kupatiwa kesho. Nitarejea kwenu na maelezo zaidi yaliyotokana na maswali na majibu.
PM
Asante PM,
Title ya topic sasa inaweza kubadilishwa!