Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
Wanatusumbua sana. Kila kukicha wanatupiga vibomu na kutuahidi kwamba watashughulikia maswala ya posho zao na watazipata.Nani kakopa
Wanatusumbua sana. Kila kukicha wanatupiga vibomu na kutuahidi kwamba watashughulikia maswala ya posho zao na watazipata.Nani kakopa
Unafanya kazi kwa Mungu? Hii dunia imejaa wanafiki kama mungu angekuwa hawalindi leo hii wangekuwa ni viongozi wetu?Mungu halindi wanafiki. Anaendelea kupigwa bao kwani sasa sheria mbalimbali zinafanyiwa marekebisho bila ya uwepo wao
hatuna viongozViongozi wa mhimili wa bunge mkuu
Wangekutana na hawa wabunge wa ndiooo, Democrats wasingepoteza muda na wasio na utashiAcha" UKAKAWA" watufundishe mbinu mpya za kuyatatua matatizo kwa kuyakimbia.Hata miungu yao toka Ulaya watakuja kujifunza kwao maana Democratic Marekani wanakesha Bungeni kuwashawishi Republican wakubali hoja ya kudhibiti silaha huku wataalam wanalikimbia bunge.
kuna baadhi ya wazee huku kwetu ukienda kuposa kama hujui kukopa na unaishi mjini hakupi binti yake. Watu kwa mila zetu tunakopa hadi mahari!!Huku mitaani wabunge wa ukawa wanakopa sana.
Vielelezo tafadhaliWanatusumbua sana. Kila kukicha wanatupiga vibomu na kutuahidi kwamba watashughulikia maswala ya posho zao na watazipata.
Waendelee kutokaLeo hii tena wametoka mara tu baada ya dua ya kuliombea Bunge kukamilika.Haina haja ya kuongozwa na mtu msie na imani nae.Walizani posho ndio zingewarudisha Bungeni.
Mbunge mzalendo hawezi kuweka mbele posho kuliko maslahi ya anaowawakilisha.
Wabunge wa UKAWA hawawezi kuishi kwa posho bali kwa kila neno la kizalendo la kuwaunga mkono.
UKAWA mnavaa viatu vya mzee Mandela ambae alivumilia mengi ila mpaka leo hii dunia nzima inamuheshimu.
Pambanane mkitambua the end justifies the means.
hata ww unaijua mbona ...kwan ujui kwenye baa kunauzwa nn??Kama ni hivyo kwanini wasirudi majimboni basi wakawaambie wananchi sababu ya kutokaa bungeni?
Sasa kule kwenye mabaa wanamuwakilisha nani
Kwa comment yako hii tuamini kwamba una halalisha wabunge wa ukawa kupiga vibomu wauza maduka na wauza kuku choma pale chako ni chako?kuna baadhi ya wazee huku kwetu ukienda kuposa kama hujui kukopa na unaishi mjini hakupi binti yake. Watu kwa mila zetu tunakopa hadi mahari!!
Picha tafadhaliDr.Tulia anatuongezea ombaomba mtaani
Unadhani hata wabunge wote wa ccm walipenda kuipigia kura bajeti ya serikali?Pale wanavutwa na injini ya treni
Wengi hawaungi mkono
Tatizo ni kuwa behewa
Ukishaungwa kwenye injini huna jinsi full kuburuzwa tu
kwani lazima kuachia nafasi wakati yeye yupo?Nimewaona, wametoka kama mashujaa wakiacha sura za mawaziri na wabunge wa ccm zikiwa zimetahayari.
Habari toka Dodoma zinasema wabunge wa CCM nao wanahoji sababu ya naibu spika kutokutoa nafasi kwa wenyeviti ni nini? Sasa kwa nini walichagua hao wenyeviti?
Ni wazi kuwa kweli bunge linaongozwa na mtu mwingine nje ya bunge.
Nao sasa wamechoka kuburuzwa wanawataka wenzao wajadiliane na kupingana kwa hoja sio kutumika kusema ndio
Kila Siku mnapitisha masheria ya hovyo kama ile ya mtandao ambayo Ridhiwan sasa hivi anaona inamakosa Tindu Lissu aliipinga mafisiem yakasema ndioooo. Na sasa pitisheni yooote mnayotaka!Mungu halindi wanafiki. Anaendelea kupigwa bao kwani sasa sheria mbalimbali zinafanyiwa marekebisho bila ya uwepo wao
kamuulize aliekusajili ccmKwa comment yako hii tuamini kwamba una halalisha wabunge wa ukawa kupiga vibomu wauza maduka na wauza kuku choma pale chako ni chako?
Mungu halindi wanafiki. Anaendelea kupigwa bao kwani sasa sheria mbalimbali zinafanyiwa marekebisho bila ya uwepo wao