fred madowo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 236
- 83
Tumechoshwa na kuombwa hela yaani ukimuona mtu wa Ufipani unatoka nduki
Nawahurumia sana. Maana sms wanazozituma zinatia huruma.Kuna taarifa kuwa wabunge wanawake wa UKAWA wameanza kuwatumia sms wabunge wanaume wa CCM ili wawasamehe kwa kauli alizotoa Kubenea
UKAWA daima pamoja. Mtashinda tu. Mwendo huo huo mpaka mwisho.Leo hii tena wametoka mara tu baada ya dua ya kuliombea Bunge kukamilika.Haina haja ya kuongozwa na mtu msie na imani nae.Walizani posho ndio zingewarudisha Bungeni.
Mbunge mzalendo hawezi kuweka mbele posho kuliko maslahi ya anaowawakilisha.
Wabunge wa UKAWA hawawezi kuishi kwa posho bali kwa kila neno la kizalendo la kuwaunga mkono.
Viongozi wa mhimili wa bunge mkuuWakae na nani?
Watetezi wenu!? Hacha utani, wamefungua midomo na tissue, ni watoro bungeni, wanashinda bar wanacheza pool, sasa wanakuteteaje? Au hujui chama kinamilikiwa na fisadi mkuu? Sasa wataanzia kupinga ufisadi? Ni suala la muda tu kitakuwa "skrepaMwenyenzi Mungu tunakuomba uendelee kuwajalia nguvu na hekima wabunge wetu wa UKAWA,wao ndio watetezi wetu waliofukua uozo na ufisadi uliokumbatiwa na chama tawala.Amin.
Mawazo mgando hayo, unafikiri hapa Tanzania wanaishi wabunge wa UKAWA peke yao, kwenye kila jimbo kuna watu wa vyama mbalimbali,Hahahaha.... Sasa bunge lenyewe bado siku kadhaa tu liishe... Mwisho siku UKAWA ndio watakao kuwa wamepotza...
Na kama hawajui basi ccm ndio wanapenda hivyo ilivyo sasa....
Huku mitaani wabunge wa ukawa wanakopa sana.
Hawajafuata posho bungeni,wako pale kuwakilisha wananchi wao.Hahahaha.... Sasa bunge lenyewe bado siku kadhaa tu liishe... Mwisho siku UKAWA ndio watakao kuwa wamepotza...
Na kama hawajui basi ccm ndio wanapenda hivyo ilivyo sasa....
Hata mimi mkuu najiuliza kwanini NS ameng,ang,ania kuongoza vikao vyote ilihali wenyeviti wapo watatu,ama ni utaratibu mpya wenye kujua wanitoe tongotongo.Nimewaona, wametoka kama mashujaa wakiacha sura za mawaziri na wabunge wa ccm zikiwa zimetahayari.
Habari toka Dodoma zinasema wabunge wa CCM nao wanahoji sababu ya naibu spika kutokutoa nafasi kwa wenyeviti ni nini? Sasa kwa nini walichagua hao wenyeviti?
Ni wazi kuwa kweli bunge linaongozwa na mtu mwingine nje ya bunge.
Nao sasa wamechoka kuburuzwa wanawataka wenzao wajadiliane na kupingana kwa hoja sio kutumika kusema ndio
Hahaha, ukawa nadhani watakua wanaugua ugonjwa wa akili, maana Mh. Dr. JPM siku anafungua bunge walitoka hivyo hivyo tena kwa mbwembwe kibao wakisema hawamtambui, ila baadaye wakaja mtambua. Na kila mwananchi anaona uwezo wa kufikiri wa wapinzani ni 0%.Leo hii tena wametoka mara tu baada ya dua ya kuliombea Bunge kukamilika.Haina haja ya kuongozwa na mtu msie na imani nae.Walizani posho ndio zingewarudisha Bungeni.
Mbunge mzalendo hawezi kuweka mbele posho kuliko maslahi ya anaowawakilisha.
Wabunge wa UKAWA hawawezi kuishi kwa posho bali kwa kila neno la kizalendo la kuwaunga mkono.
Kama ni hivyo kwanini wasirudi majimboni basi wakawaambie wananchi sababu ya kutokaa bungeni?Hawajafuata posho bungeni,wako pale kuwakilisha wananchi wao.
Katika udikteta wenuUKAWA pamoja sana