Safi sana wabunge wa UKAWA

Safi sana wabunge wa UKAWA

Pamoja tutashinda tulianza na mungu tutamaliza na mungu!asnte mungu ccm imepoteza dira!
 
Kama ni hivyo kwanini wasirudi majimboni basi wakawaambie wananchi sababu ya kutokaa bungeni?

Sasa kule kwenye mabaa wanamuwakilisha nani
Watawaelezaje wapiga kura wao wakati bosi kazuia mikutano nchi nzima. Au huko unakokuita "majimboni" siyo sehemu ya nchi nzima ambako mikutano ya siasa imezuiliwa kufanyika?
 
Pamoja tutashinda tulianza na mungu tutamaliza na mungu!asnte mungu ccm imepoteza dira!
Mungu wa ukweli anaandikwa kwa herufi kubwa ya kwanza. Huyu uliye mueleza hapa ni mungu-shetani.
 
Kwa comment yako hii tuamini kwamba una halalisha wabunge wa ukawa kupiga vibomu wauza maduka na wauza kuku choma pale chako ni chako?
sawa tu ndiyo maisha ya mjini hayo. Kwani wewe hujasikia kwamba kwenye bajeti ya serikali kuna asilimia imetengwa serikali inategemea kupata fedha kwa kupiga mizinga serikali za nchi zingine? Kukopa kwa sisi tunaoishi mjini ni jambo la kawaida sana na kama hukopesheki basi mjini hapakufai!!
 
Leo hii tena wametoka mara tu baada ya dua ya kuliombea Bunge kukamilika.Haina haja ya kuongozwa na mtu msie na imani nae.Walizani posho ndio zingewarudisha Bungeni.

Mbunge mzalendo hawezi kuweka mbele posho kuliko maslahi ya anaowawakilisha.

Wabunge wa UKAWA hawawezi kuishi kwa posho bali kwa kila neno la kizalendo la kuwaunga mkono.

UKAWA mnavaa viatu vya mzee Mandela ambae alivumilia mengi ila mpaka leo hii dunia nzima inamuheshimu.

Pambanane mkitambua the end justifies the means.
Walitegemea ni waroho wa hela km wao. Wametunyesha hao wa ccm wamefwata shilingi. Shame on them. Nachukia mimi basi tu.
 
sawa tu ndiyo maisha ya mjini hayo. Kwani wewe hujasikia kwamba kwenye bajeti ya serikali kuna asilimia imetengwa serikali inategemea kupata fedha kwa kupiga mizinga serikali za nchi zingine? Kukopa kwa sisi tunaoishi mjini ni jambo la kawaida sana na kama hukopesheki basi mjini hapakufai!!
Hawa tatizo wanakimbia bunge na kujifanya hawataki posho huku mitaani wanakuwa omba omba. Na kuwapigia wabunge wa CCM usiku wa manane kutaka maongezi ya kurudisha kofia.
 
Wewe unataka warudi bungeni ili wapate hela za kulipa kuku wanazokula au ili wakawawakilishe wananchi?
Waache kutuomba omba. Maana sasa hivi ukimuona mbunge wa ukawa huku mitaani inabidi ukimbie. Yaaani "oya una buku ten hapo nitakupatia baada ya bunge"
 
Ni mawazo tu na maoni kama hamna muafaka nashauri tujiuzulu tuwachie bunge lao..tuwe na amani
 
Waache kutuomba omba. Maana sasa hivi ukimuona mbunge wa ukawa huku mitaani inabidi ukimbie. Yaaani "oya una buku ten hapo nitakupatia baada ya bunge"
Hoja yako ni nini hasa? Kwa mtazamo wako ni kwa nini wanakuwa omba omba?
 
Wabunge wa upinzani almaarufu UKAWA waendelea kususia vikao vya bunge wakiongozwa na kiongozi wao Mh. Mbowe.

Inasikitisha sana kwa wapiga kura wetu wito wangu wakae meza moja ya mazungumzo kumaliza mgogoro huu.
Naibu spika kibri anajiona mfalme.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom