Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
Nawashauri wajinyonge maana sasa hivi hawana sera. Wameanza sera za kujiziba midomo na makaratasi. Au waende wakachunge ng'ombe kama bosi wao alivyo ahidi.Wafanyaje ili wawe na pesa!?
Maana uwezo wa kujieleza unashuka kwa kasi ya ajabu. Hawawezi tena kujitetea ndani na nje ya bunge wameziba midomo yao na makaratasi.