Mtu wa ufipani ndio yupi mkuu umeniacha hapoTumechoshwa na kuombwa hela yaani ukimuona mtu wa Ufipani unatoka nduki
Wanaobaki kujadili kibalakashia wanamuwakilisha nani?Kama ni hivyo kwanini wasirudi majimboni basi wakawaambie wananchi sababu ya kutokaa bungeni?
Sasa kule kwenye mabaa wanamuwakilisha nani
Na wale wa ndio kila kitu wanavutwa na nini?Pale wanavutwa na injini ya treni
Wengi hawaungi mkono
Tatizo ni kuwa behewa
Ukishaungwa kwenye injini huna jinsi full kuburuzwa tu
Pole sanaThamani ya mwili wa mwanadamu nikubwa kuliko fedha,mwanamke anayeufanya mwili wake kama kitega uchumi ajui thamani ya huo mwili.
Ajiandae kukwepa fitoTulia koma hivyo hivyo hadi 2020 hata spika akirudi usimpishe
Mkuu dhuluma haijawai kushinda haki
Ubabe na ujinga unaofanywa na ccm unamwisho wake
Huku mitaani wabunge wa ukawa wanakopa sana.
Mteule wa mwenyekiti anakua katibu Mkuu wa CHADEMAMteule wa rais anakuwa spika.
Mteule wa rais anakuwa spika.
Wale wa Upawa walio acha sera ya UfisadiMtu wa ufipani ndio yupi mkuu umeniacha hapo
Wewe umewahi kukopwa na mtu?Wamekuja kukukopa wewe? Una unaushahidi. Kama una ushahid weka hapa pamoja na picha
Maneno yako ni sawa na maneno ya wakoloni wakati tunadai uhuru hivyo sikushangai.
Nani kakopaHuku mitaani wabunge wa ukawa wanakopa sana.