Safi sana wabunge wa UKAWA

Safi sana wabunge wa UKAWA

Tatizo la hawa wabunge wa UKAWA, they are playing to the external gallery yaani WAFADHILI ili waonewe huruma badala ya kukomaa ndani ya bunge humo humo mpaka kieleweke!!!

Hawa magamba ndicho walichotaka kutumia mbinu ili UKAWA wazile ili wapitishe mambo yao kiulaini na wamefanikiwa kwani bajeti yao imepita na sasa wanarekebisha sheria ikiwamo ile ya habari ambayo wakina Kubenea walikuwa wanaingoja!!! It is a question of strategy!
 
Mungu wa Ukawa ndiye Mungu wetu Mwema na Mpenda Haki, Mungu na azidi kuwatangulia na kuwaepusha na mipango ovu ya chama cha kijan, Kwan wao mungu wao amewatuma kudhurum mali na Haki
 
Hata mimi mkuu najiuliza kwanini NS ameng,ang,ania kuongoza vikao vyote ilihali wenyeviti wapo watatu,ama ni utaratibu mpya wenye kujua wanitoe tongotongo.
Wanataka kuona watu wenye kususa mwisho wao upi TULIA kakomaa nao mama jasir sana
 
Msimamo ni kitu muhimu kuliko chochote tuiache mizigo ikifanya maigizo na kugongeana meza
Nikweli msimamo nikitukizur sana TULIA anakomaa nao mwanzo mwisho
 
Kuna taarifa kuwa wabunge wanawake wa UKAWA wameanza kuwatumia sms wabunge wanaume wa CCM ili wawasamehe kwa kauli alizotoa Kubenea
Thamani ya mwili wa mwanadamu nikubwa kuliko fedha,mwanamke anayeufanya mwili wake kama kitega uchumi ajui thamani ya huo mwili.
 
tukishakumbuka/wakishakumbuka shuka muda utakuwa umeshakwisha
 
Tulia koma hivyo hivyo hadi 2020 hata spika akirudi usimpishe
 
Mungu halindi wanafiki. Anaendelea kupigwa bao kwani sasa sheria mbalimbali zinafanyiwa marekebisho bila ya uwepo wao
Bora izo sheria kandamiz zipite pasipo uwepo wao. 2020 tuta waadhibu kwenye box la kura wote waliopitisha hizo sheria kandamiz. Hapo wapinzani watakuwa wasafi koz wameisha nawa mikono.
 
Kama ni hivyo kwanini wasirudi majimboni basi wakawaambie wananchi sababu ya kutokaa bungeni?

Sasa kule kwenye mabaa wanamuwakilisha nani
Wakawaambie wananchi kwa njia gani??kwenye vyumba vyao au??
 
Sasa wabunge wa upinzani hawapo bungeni tumeisha sahau issue ya lugumi. Wabunge wa CCM hyupo mwenye ubavu wa kuhoji swala la lugumi limefika wapi.
 
Huku mitaani wabunge wa ukawa wanakopa sana.

Hata mimi nisiye mbunge nakopa....naamini hata wewe unakopa. Kwani kuna ubaya ukikopa na kurudisha?

Mimi mbunge wangu ni wa CCM ana mikopo ni balaa na wala sioni ajabu!!
 
Mwenyenzi Mungu tunakuomba uendelee kuwajalia nguvu na hekima wabunge wetu wa UKAWA,wao ndio watetezi wetu waliofukua uozo na ufisadi uliokumbatiwa na chama tawala.Amin.
NA baadaye kumkumbatia Fisadi
 
Nasikia wabunge wa ccm wameshikana mashati kisa kiinua mgongo kinatozwa kodi.
 
Ama kwa hakika sisi walala hoi tuko pamoja na wabunge wa UKAWA. Siku za CCM kuendelea kutawala zinahesabika sana. Hii nchi haiwezi kuongozwa na madikteta na tukaendelea kuwavumilia. 2020 ni lazima waende.
 
Leo hii tena wametoka mara tu baada ya dua ya kuliombea Bunge kukamilika.Haina haja ya kuongozwa na mtu msie na imani nae.Walizani posho ndio zingewarudisha Bungeni.

Mbunge mzalendo hawezi kuweka mbele posho kuliko maslahi ya anaowawakilisha.

Wabunge wa UKAWA hawawezi kuishi kwa posho bali kwa kila neno la kizalendo la kuwaunga mkono.

Maumivu yenu tulikwisha yasikia kila kona ya nchi hii mkitaka muonewe huruma. Sauti hizo zimetolewa na Mbatia akitaka viongozi wa ccm waingilie kati kukutanisha pande husika. Sauti nyingine za maumivu ni kutoka kwa Kubenea akitangaza kususa kusalimiana na wabunge wa ccm. Lengo ni waungwana waingilie kati ili adhabu ipungue. Kilio cha tatu kimetolewa na bavicha kususa kushirikiana na vijana wa ccm pia lengo ni kuomba msaada kwa waungwana watoe msaada ili hawa wabunge waingie bungeni.

Kwa kuwa hilo ni janga la kujitakia huwa mtu apewi pole bali huonywa kuacha michezo ya hatari. Hakuna hata kiongozi wa dini aliyejitokeza kuongea nao angalau wapate kisingizio cha kusema tumerudi kwa sababu ya ushauri wa baba askofu.. au shekhe.... Mmeachwa mlinywe mliolikoroga.

Leo Mbowe alikuwapo. Kuacha kususa siku ambayo yeye kafika ingeleta picha mbaya hivyo tunachotegemea ni kuendelea kuona mbwembwe za namna ya kutoka.

Maumivu mnayo na huu ujinga umewaumiza sana wabunge wa chadema. Leo huenda ikawa siku ya 27 ya kususa. Majimbo hayana ahadi mahususi ya serikali kutoka kwa mbunge wao, mbunge hana posho kwa siku zote hizo.

Saikolojia ya wabunge haina utulivi pindi wanapoona NS anaingia na kuwaanzishia safari ya kuzurura bila lengo. Pia akili haitulii pale mbunge anaposhindwa kiwasilisha kero za wananchi wake ili zipatiwe suluhu na serikali. Athari wanazokubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom