Don Draper
Senior Member
- May 30, 2012
- 176
- 87
hawa wote ni new CIA operatives
hamna lolote
mbona wakati wa mgomo wa waalimu hawakuletwa?
hamna lolote
mbona wakati wa mgomo wa waalimu hawakuletwa?
Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.
Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,
Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.
Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.
![]()
The government of United Republic of Tanzania has received 47 US teachers who will join with other Tanzanian Secondary school teachers to teach in schools allocated
halafu waweza sikia kuna walimu lukuki hawana ajira.Hawajaja kufundisha hao. wamekuja kwa staili ilile ya karl peters ya shanga(kufundisha) kwa lengo la upelelezi. Ni aibu kwa CCM baada ya miaka 50 nchi haijitoshelezi walimu
![]()
The government of United Republic of Tanzania has received 47 US teachers who will join with other Tanzanian Secondary school teachers to teach in schools allocated
Mwekezaji ni mwekezaji awe mhindi au mmerekani au mbantu. Jana niliona tv hapa Dar vijana wamevamia na kuvunja nyumba za watu kisa eti wao hawajengewi, khaa, huo sasa kama si ujinga ni nini?
Hizo kokoto unazosema mlikuwa hamjaziona kabla ya kuja mwekezaji? mbona hamjazichimba, mwekezaji kaja anachimba ndio mumletee fujo? wacheni zenu hizo, uchumi mnao mnaukalalia, wakija wanaojuwa kuuzalisha mnawaonea wivu.
Ngojeni Wamerekani waje kuwafundisha science ni nini. Si unaiona ile USA ilivyotajiri? wote ni watu wa nje wale, ndio walioijenga ile nchi na kuwa giant, wenyewe wenyeji wamewekwa kwenye hifadhi za taifa, wale, wanywe wakachukuwe posho, wanaoweza fursa zipo.
Na hapa ndio hivyo hivyo, tuibe, tule, tunywe (msiba tunywe, harusi tunywe), tucheze, tusifanye kazi, wakija wawekezaji tulalamike. Haya kachimbe na vidole ulizuiliwa? Hata sururu hujui kutengeneza unategemea hao hao wa nje, halafu unataka kuleta mdomo.
Hivi hii ardhi hapa ilivyo nzuri hata kulima kunatushinda halafu tukiletewa wataalaam wakapewa sehemu za kulima tujifunze, sisi tunakwenda kuwaibia halafu kulalamika. Maendeleo bila hawa wageni sahau.
Wacha Kikwete awaletee hawa mjifunze, mmeshindwa kila kitu, mmeuwa kila kitu. Huko mnasomeshwa au mnajazwa ujinga? Miaka yote tunaambiwa elimu inatoka huko St. Kayumba na kubenea, vipi, mbona haitusaidii?
Kagame amefanikiwa sana...yeye aliletewa "walimu" wangapi na hao waamerica hivi?
Halafu 47 manake ni aje?mwalimu mmoja kila mkoa,au?..wanakaa muda gani jumla?manake hata mimi nikiwa form V waliwahi kuja kundi la walimu wa ki-America kutuuzia sura na elimu yao rahisi,wakaishia kukaa miezi miwili tu..
Wamekuja kwa makusudi kabisa kuboresha masomo ya science, au huelewi hilo?
Kufundisha, kutazama yanavyofundishwa na kisha kutoa ushauri.
tembelea UMOJA BLOGNdiyo maandalizi ya kureplace watakao goma?hao wanafundishwa lugha inapanda?au ndo sifa za kijinga?