Israel in watu chini ya milioni 10, na kati ya hayo milioni kumi kuna semites and arabs. Kati ya semites kuna jews and so on. Hawa unaosikia wanapata cancer ni white jews sio Semites, na wengi ni wale ambao kimsingi have nothing to do with Israel, sana sana vizazi mchanganyiko vya waliohamia kutoka Ulaya, Marekani na Russia. Baba mzungu mama semite..
Una kua mwisrael based on citizenship
QUOTE="Bongolander, post: 31921678, member: 3997"]
Sijui kama kweli Hitler alikuwa ndugu wa damu wa wayahudi. Ila ni kweli kwao Austria ukoo wake (Heider) kuna mmoja wao alikuwa na mwanamke semite. Lakini chuki dhidi ya semites Ulaya ipo hadi leo, UKIWABANA VIZURI wazungu wanakwambia kabisa sababu za holicaust. Haikuwa akili au sababu ya Hitler peke yake, wasaidizi wa Hitler ndio waliokuwa wanapanga walioiita suluhisho la mwisho.[/QUOTE]
1. Sikuzote ukiishi katika jamii ambayo sio asili yako. Kubagukiwa ni kitu cha kawaida kutokea. Mfano case ya Negro walibaguliwa Ulaya zaidi kuliko USA
2. Rekodi zinaonyesha wakati wa Hitler, Wayahudi walikua watu waliofanikiwa na wafanya biashara wakubwa pale German. Hii inaweza kua ili spark hate towards jewish population. Kama ambavyo IDD AMIN Alipowatimua wa Asia nchini Uganda.
3. Wayahudi hawakupata ubaguzi Marekani kulinganisha na huko Ulaya na Urusi. Ndio maana waliweza kupiga hatua kubwa sana hata leo
4 Unapobaguliwa haimaanishi wewe una TATIZO. Hata mbaguzi anaweza kua na matatizo zaidi yako. Try to dig deeper into this subject.
5. Kwa yale ambayo Hitler ameifanyia Dunia. He's not the best example. No one were exonarated from Furher discrimination and hatred. Hitler aliua hadi disables akilenga ku-purify Germany race. Apate jamii ya watu wembamba, warefu na wenye strong legs.
To sum up, laiti hiyo chuki ingezidi Love, nadhani wangekua kati ya jamii hatarini kutoweka duniani.
Au hata kunyimwa ile haki ya kurudi pale Middle East. Maana waliowapa hiyo Haki ni haohao wazungu kwenye Balfour Treaty.
Na kama ni laana, incomparison tu, Blacks ndio wanaongoza kwa kubaguliwa na kuchukiwa kuliko wote katika Mabara yote ulimwenguni.
Na kama swala ni mgonjwa basi waafrika ndio tunaongoza kwa kila aina ya magonjwa ikiwemo ukimwi.
Unapoizungumzia Israel uelewe ni Taifa lililosimama katikati ya msitu wa Maadui, na Marafiki zake wakiwa Ulaya Magharibi na USA. Na Jerusalem ni mji Mkuu wa Israel.
Zamani Umoja wa mataifa wa uliipa UNITED KINGDOM Mandate ya kuamua nani wa kumpa eneo la palestine ambalo lilikosa mtu. Baada ya kuangushwa utawala wa Ottoman. Lakini UK Wakawapa Waisrael badala ya waarabu.
Maana Waarabu waliomba kupewa eneo hilo lililokua halina mmiliki na WAKAHAIDIWA KUPEWA UK kama alivyowaahidi kuwapa waisraeli. Maana wote Walishiriki kusaidia Kuuangusha utawala wa Ottoman
Moja ya mambo yanayowafanya mpaka leo viongozi wa Kiarabu kuamini kua mkataba wa Balfour ulikua ni Usaliti wa Mwingereza dhidi ya waarabu.
Neno "Kulaaniwa" ni la kidini au kiimani sana. Tuwe makini. Unaweza kuamini chochote machoni pako. Msifosi kufanana.