calchooper
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 595
- 357
Wakaazi wa maeneo Yale (Makpela)Nani alimuuzia Ibrahim ?
Wakaazi wa maeneo Yale (Makpela)Nani alimuuzia Ibrahim ?
Sio mimi hivyo vitabu vyenu vinasema wazi Ibrahim ndie alieacha nchi yake Mesopotamia akakimbilia nchi ya wakaanani , hivyo Ibrahim alikuwa muhamiaji alieamia Kaanan , hivyo sio asili yake pale , ata Uzao wake kwa maana ya Isaka na Yakobo ni watu wa asili ya Mesopotamia , sasa hili wapi uelewi !!!Wewe unamaanisha Quran inasema asili ya waisrael Ni wapi???? Haha chuki
Wakaazi wa maeneo yale ni wakina nani ?Wakaazi wa maeneo Yale (Makpela)
Ndugu yangu leo Jimbo la Alaska Ni sehemu ya marekani au Urusi?Sio mimi hivyo vitabu vyenu vinasema wazi Ibrahim ndie alieacha nchi yake Mesopotamia akakimbilia nchi ya wakaanani , hivyo Ibrahim alikuwa muhamiaji alieamia Kaanan , hivyo sio asili yake pale , ata Uzao wake kwa maana ya Isaka na Yakobo ni watu wa asili ya Mesopotamia , sasa hili wapi uelewi !!!
Ibrahim »Isaka »Yakobo( Israel)Wewe unamaanisha Quran inasema asili ya waisrael Ni wapi???? Haha chuki
Unajua maana ya ASILI ? ata sisi Wangoni ni Watanzania lakini asili yetu ni South Africa , hivyo basi wale ni waisrael lakini ASILI YAO ni Mesopotamia alipotoka babu yao mzee Ibrahim OverNdugu yangu leo Jimbo la Alaska Ni sehemu ya marekani au Urusi?
Ibrahimu hakuondoka uru kwa amri yake bali Ni MUNGU wake ndie alietaka ahame.Ndugu yangu leo Jimbo la Alaska Ni sehemu ya marekani au Urusi?
kuandika tu kunakushinda hoja ya "uhalisia wa taifa la israeli" hutaweza kuielewaPole ww ndo unaikubali hiyo propaganda Israeli Ni Rafa huru tena Ni lasiku nyingi kuliko ilo unalolitambua wewe
Mtanzania wa asili Ni yupi??Unajua maana ya ASILI ? ata sisi Wangoni ni Watanzania lakini asili yetu ni South Africa , hivyo basi wale ni waisrael lakini ASILI YAO ni Mesopotamia alipotoka babu yao mzee Ibrahim Over
Tatizo lako ni la kitheologia zaidi.Usijari.
Tunaweza kuendelea ata hivi hivi..
Mada yako Nzuri, nimevuna kitu hapa.
Mtanzania wa asili ?, tunaitwa watanzania lakini ni watu wenye ASILI tofauti tofauti mfano wangoni hawa Asili yao ni south Africa, ila kwenye harakati za kimaisha ( kwa sababu kadha wa kadha) wakajikuta wameeka kambi mkoani Ruvuma , yakawa ndio makazi yao, hii haifanyi wao wasijue au kukumbuka walikotoka , maana huko ndiko kwenye asili yaoMtanzania wa asili Ni yupi??
1. Kamtii Mungu wake akatoka nchi yake akaenda nchi ya watuIbrahimu hakuondoka uru kwa amri yake bali Ni MUNGU wake ndie alietaka ahame.
Je ni vema kumtii MUNGU au la? View attachment 1084092
Unazungumzia wayahudi wap mkuu , ebu kuwa specific hawa walioambiwa wasioe ata wanawake wasio wayahudi , tena wakaambiwa wawaue wale wanaoabudu Mungu asiekuwa wa Ibrahim, sasa kwenye hali hii hiyo Co - exist inakuwepo wapi , Maana Mungu wako unamuona wa maana , lakini mimi Mungu wangu unamdharau, kiukweli hapa labda utumie mabavu vinginevyo hapakalikiTatizo lako ni la kitheologia zaidi.
Tunaona hata Yesu kama farisayo na Rabbi wa kiyahudi alitofautiana na mafarisayo, waalimu wa Sheria namna maandiko yanavyotakiwa kufuatwa.
Nasema Wayahudi sio Hatari kwasababu:-
1. Uyahudi Sio Cult. Watu wake wanaweza kuingia na kutoka kwa kupenda. Bila kuvunjwa mfupa wala kupoteza Uhai.
2. Uyahudi unaweza ku co-exist na dini nyingine kwa Amani bila hofu.
3. Uyahudi Sio Dini inayoongezeka.
4. Uyahudi una assimilate changes. Haipo katika zile dini zinazolazimisha wengine wawafuate ya kwao.
5. Wayahudi Wamechangia mambo makubwa na mazuri Mengi sana katika dunia.
Ukihesabu Wingi wa NOBEL PRIZES walizopata wayahudi katika field mbalimbali duniani, Kulinganisha na uchache wao.
Ukiwaunganisha wanasayansi akina Abert Einstwin, Chaim Weizzman na wengineo.
Wayahudi Wanaongoza kwa Katika masuala mengi kama Education, Sayansi na teknolojia, Tafiti, Business, Medicine, Agriculture, History and Culture, Space exploration, Military, Security na Tourism na Masuala ya burudani,
Uyahudi imekua miongoni mwa vyanzo vikubwa vya kujifunza maarifa na taarifa za watu wa kale kupitia màandishi na excavation.
Unazungumzia wayahudi wap mkuu , ebu kuwa specific hawa walioambiwa wasioe ata wanawake wasio wayahudi , tena wakaambiwa wawaue wale wanaoabudu Mungu asiekuwa wa Ibrahim, sasa kwenye hali hii hiyo Co - exist inakuwepo wapi , Maana Mungu wako unamuona wa maana , lakini mimi Mungu wangu unamdharau, kiukweli hapa labda utumie mabavu vinginevyo hapakaliki
Ndio nakwambia hiyo CO -exist unayoisema inapatikana vipi ikiwa unatakiwa uwaue watu wasiomuamini Mungu wao wayahudi ? haya unakuja unaniua mimi,badae ndugu zangu wanalipiza kisasi , hapo hamuwezi kukaa kwa Amani , hakuna anaekataa mambo mazuri waliyofanya wayahudi lakini pia ni watu waliojaa ubaguzi kwa maelekezo ya Mungu wao toka zamaniKiimani pia Uyahudi umechangia kwa kiasi kikubwa mafundisho ya Dini kama Christianity pia Islam. Na mafundisho yanayoitwa ya misimamo Mikali ya Islam yametokana na Uyahudi kwa kiasi kiikubwa sana.
Uyahudi umechangia sana Tohara ya Mwanaume.
Ndio maana nikasema swala hapa ni kuelewa Theolojia.
Kuzuiwa kuoa huko kulitokana na kuepusha Kuwafanya wanaume kukengeuka na kuabudu miungu Mingine. .
Soma story ya Mfalme Solomon aliyeoa wanawake wengi wa mataifa mengine, wakina Malkia wa Sheba, sijui Kleopatra nk.
Walimbadilisha moyo katika uzee wake.
Kule Ethiopia kuna watu wanajiita Mafalasha hawa ni mabaki ya wayahudi.wa Kale. Kwahiyo Wayahudi wengi wamefanya intermarriage sana tu.
Kwa hiyo wamerekani Waliopo leo warudi walikotoka wawaache wahindi wekundu??1. Kamtii Mungu wake akatoka nchi yake akaenda nchi ya watu
2. Sio kila mtu anamwamini huyo Mungu wa Ibrahim ili pia fahamu
3.Mwisho tunakubaliana kuwa ni kweli Ibrahim alikuwa muhamiaji Kaanani wala hana Asili ya pale
Bahati mbaya hoja yako ina flaws nyingi. Labda niijibu hiviNdio nakwambia hiyo CO -exist unayoisema inapatikana vipi ikiwa unatakiwa uwaue watu wasiomuamini Mungu wao wayahudi ? haya unakuja unaniua mimi,badae ndugu zangu wanalipiza kisasi , hapo hamuwezi kukaa kwa Amani , hakuna anaekataa mambo mazuri waliyofanya wayahudi lakini pia ni watu waliojaa ubaguzi kwa maelekezo ya Mungu wao toka zamani
Kwa maelezo yako tunakubaliana kuwa ni kweli wale waisrael ni wahamiaji , ila ndio washakuwa sehemu ya nchi ile kwa sababu muda mrefu umepita , ukweli utabaki pale kuwa wahindi wekundu ndio wenye Asili ya pale , lakini wengine ni wahamiaji , hili kwanza ulielewe mapema , kuondoka au kutoondoka hiyo ni habari nyingine wala haina uhusiano na UASILI waoKwa hiyo wamerekani Waliopo leo warudi walikotoka wawaache wahindi wekundu??
Shilingi ina pande mbili ndugu wawezanitajia Hata wewe asili ya kabila lako si Tanzania na unaish hapa.
Au hawa waarabu wakiamini kipande cha ardhi na kuwa sehemu ya Omani mbona upo kimya??? Punguza japo kigodo hiyo chuki yako
Mimi nakwambia wakaanani ndio wenye ASILI ya pale , wewe unaniletea habari za waarabu, nataka uelewi kuwa wale waisrael ni wahamiaji kutoka Mesopotamia ,Asili ya babu yao IbrahimBahati mbaya hoja yako ina flaws nyingi. Labda niijibu hivi
Mungu huyo aliyewambia wakae pale ndio waarabu wanajua yuko upande wao, nao wanaamini ili wamfurahishe wawafute wayahudi kwenye uso wa dunia.
Ingawa wanakiri kua ni kweli Mungu huyo aliwapa hiyo ardhi waikalie.
Abraham hakua mwisraeli. Hapa ndipo ugumu unapoanziaMimi nakwambia wakaanani ndio wenye ASILI ya pale , wewe unaniletea habari za waarabu, nataka uelewi kuwa wale waisrael ni wahamiaji kutoka Mesopotamia ,Asili ya babu yao Ibrahim
Ibrahim>Isaka>yakobo( Israel) Ibrahim ndio alianza kuama na kuja kutengeneza uzao wake kwenye nchi ya wakaanani, hili ulielewe kwanza