HATRED AGAINST BLACKS RACE;
Hii lazima iwe ivo kwa sababu in Biblical propheccy ilisha tamkwa hivyo kwamba nitaweka uadui kati ya kizazi chako na kizazi cha nyoka (yaani serpent), katika chuki hizi kuna kizazi cha nyoka na kizazi cha Adamu na Hawa. Think deep my dear bro. what Black Africans have we done to be hated that much worldwide, to the extent of gunning down our own innocent great thinkers like rats eg Martin Luther, Nkwame, Malcom, etc.....
Sielewi kwanini wazungu ama watu weupe wasiwe watu wa Mungu?.
Most Holy Books regards Black color symbolizes Satan AND EVILness.
E.g Black magic, even Satan is drawn as a black creature)
And WHITE symbolizes LIGHT, PURiTY, HOLYNESS + GOD
Sijui hii unaizungumziaje?.
Watu weupe wame Struggle sana mpaka kufika hapo walipo. It wasn't an overnight success.
Ukiondoa zile Falme zenye nguvu na za watu wakatili sana. Kama Nebcadnezar za wakaldayo, Hasmonean dynasty, Roman Empire, Byzantine, Qin Shihuang za huko Asia, Ottoman Empire. .
Kule Ulaya Kulikua na watu wanaitwa wa-Huns, Vikings, Vandals, Goths miongoni mwa walioenda kuunda mataifa huko ulaya magharibi. Ambapo Historia, inaonyesha German na UK wana asili moja. Wote ni Blondy.
Ni bahati mbaya sana historia ya Mtu mweusi haipo Documented hata na waafrika wenyewe. wala hatuna Calendar ya kurekodi Matukio. Ukilinganisha na mataifa kama ya Wachina, Wazungu, Waarabu, yaani hata Mynamar wana Calendar.
Waafrika walipata bahati ya kusoma vitabu vya wazungu kujifunza kuhusu Berlin Conference 1885, ndipo walijua Africa ni Bara la mtu mweusi na sio la Wazungu..na.waligawanywa kwa mataifa na wazungu.
Waafrika kama walivyo waChina na Wahindi kwa ujumla wetu ni imani za Ki polytheism na paganism na mchanganyiko wa Atheism.
Lakini leo hii ni vigumu kujua aina ya Miungu iliyoabudiwa Afrika na waafrika kulinganisha na China au India na kwingineko..Nabii wa waafrika hajulikani alikua nani
Labda marastafari watasema ni Hailesellasie.
Hitre Babu yake hajulikani, ila ni jamii ya hawa modern jews, tena alipandikizwa maksudi na tajiri wa jamii hii ya kiyahudi. kwa sababu bibi yake Hitre alikuwa house girl ktk nyumba moja ya tajiri Lord Baron mjini Vienna- Austria,
alipata ujauzito ndani ya familia hii akafukuzwa kazi, akamzaa baba yake Hitre, soma kipande hiki......
Niliwahi kusikia Hitler akiwa mdogo alichukuliwa na kulelewa katika Famila ya kiyahudi. Ambapo zipo speculations, zinasema huenda ile familia walimnyanyasa Hitler, na kumfanya akue akiwa na chuki na wayahudi. ..(NITAKITAFUTA hicho kipande ILI NIKISOME).
Germans wametumika kama scape goat tu, kufanikisha malengo ya matajiri wa Ulaya ili,
1) ku test silaha zao mpya kwa wakati huo,
Well, but ukiangalia utagundua haikua swala la ku-Test Silaha.
Bali Kulikua na mashindano ya kutengeneza Silaha na distrust among European nations, Iliyopelekea wakachapana.
Kama utakumbuka miaka ya 90s Russia ilikua inapinga mfumo wa kujihami wa USA usijengwe ulaya, akidai ungechochea Mashindano ya silaha. Mara nyingi mashindano haya hupelekea vita.
Pia Motive Hitler ni kuona Ujerumani inaitawala Russia kama ambavyo kwa mujibu wa Hitler ni kufanya namna ile jinsi UK taifa lenye watu wachache wameweza kuitawala India yenye population kubwa.
Na kuna nyakati Furher alitaka kushirikiana na UK ili kutimiza lengo, lakini Waingereza walimdharau na kumuona Hitler kama hayuko civilized. Personality yake na uzungumzaji wake hawakumkubali. Hitler alikua na Utrump fulani.
2) kufanya biashara wakati wa machafuko, familia ya Bush iliuza sana silaha.
Vita ni Uchumi kama unapigana vita bila malengo itakua ni for your own demise. So ni muhimu economic importance ziwe clear.
Najua Bush anauza Mafuta. Ndio biashara yake na familia yake.
Lakini Kuhusu kuuza silaha, hilo Silifahamu.
Nafahamu kua, kwa nchi kama USA, zile Kampuni za kutengeneza silaha ni Kampuni za Watu binafsi.
Kama Bush ana kampuni ya silaha, mifumo ya kushughulika na maadii ya viongozi ya USA ipo imara na wazi katika kutenganisha Maslahi ya raisi na yale ya nchi.
Nafahamu pia Trump alipochukua Ofisi, alijitenga rasmi na biashara zake. Hii ni kwa kipindi chote atakachokua Raisi.
Population Control sio jambo Ovu. Kama watu wa conspiracies theorists wanavyotaka tuamini.
Hivi sasa Dunia iko hatarini kukosa Maji safi ya kunywa. Ikiwemo baa la chakula kutokana na pollution explosion.
Carrying capacity ya Dunia haizidi Bilioni 50. Ni swala la kujiuliza hao watakaokuja kuzaliwa wataishi sayari gani?
Elites wameshafikiria namna ya kukabiliana na population increase.
Japo sijaridhika kuamini kua vita vimeweza kupunguza population duniani. Naamini Natural Phenomenals ndio zimefaulu katika hilo. Kama Tsunami, EarthQuake, Hurricanes, diseases.
Ingawa tumeingiza zama ambazo hata wazungu wanakubali kua China inanufaika zaidi kwasababu ya Population density yao. Ziko nchi zinatarajiwa kupaa kiuchumi ifikapo 2050 kwasababu ya wingi wao. Ikiwemo China, Indonesia, Brazil, India. Huko nyuma population density ilikua ni kigezo cha kuukwaa umaskini. Na zimeandikwa papers nyingi, dezeteshen nyingi na ripoti kuonyesha how densely population inavyopelekea umasikini. But With advent of technology Population density hivi sasa imegeuka Capital.
Kuna Nchi kama canada Imekua zikivutia wageni kuja kuishi canada ili kufidia population yao inayozidi kupungua na kuathiri uchumi wao.
4)Great depression, ilipandikizwa maalum
I don't think so.
Hii inabidi tuelewe i
Lugha ya Uchumi. Ilitokea baada ya Vita ya dunia na ikitokea tena 2008. Mara zote haya yanatokea after War.
5) Versailles defies ilitumiwa tu km sababu lkn siyo,
Hitler sio mtu wa kwanza kuvunja mkataba. Palestina ya Arafat dhidi ya Israel, USA ya trump dhidi ya Iran. Na Mikataba mingine iligeuka Obsolete kama WarsawPact kati ya Urusi na uSA.
So kwa taifa kuisaliti 'Ceremonial Pen' sio kitu kigeni kuwahi kutokea duniani. Na kikubwa Versailles Treaty ni mkataba ulifojiwa na mataifa kwa kuishinikizo la Ujerumani.
km pale ni kwao kwa nini walitaka kwenda Uganda? hawana msimamo, na nini kiliwazuia wasiende?.
Pendekezo la Uganda ilikua ni ofa ya mwingereza waziri Mkuu Balfour kwa jamii ya Wayahudi chini ya Chaim Weizzman . Uganda ilikua inaitwa British Uganda Programme. Ambapo wale wazayuni walionyesha msimamo wa kuikataa, wakiitaka wapewe Palestina maana Jerusalemu ni sehemu muhimu kwao.
Na hii pengine pendekezo hilo lilitokana na ugumu ambao UK waliupata kwani, ilikuja kuwahaahidi kuwapatia Waarabu pia.
So Iliwalazimu Waisrael kujenga sababu za Msingi kule Paris Ufaransa kwenye mkutano kushawishi wao wapewe eneo hilo. So hawakupewa kienyeji, iliendana na series ya majadiliano na mabishano ya hoja. Hatimaye wakapewa.
Wazungu wote Asili yao ni moja. (Caucasus mountain) with highly critical nepotism than any one can imagine of, under the sun.
na hawa wazungu wa Ulaya kusini wanadharauliwa na wa kaskazini sababu wana damu mchanganyiko na Blacks.
Nadhani Binadamu wote tunafanana.
Tofauti inakuja pale kwa Watu weusi kutotumia changamoto zao ili kuweza kujikomboa.
Hii imesababishwa na kukosekana kwa Historia ili iwe kama Dira yetu. Taasisi za kuandaa Elimu ya historia hazipo active kubuni na kuweza kupika waafrika wawe ma zeal katika kuikomboa Africa bila kua na Ubaguzi kwa waafrika wenzao au ku sell out.
Wazungu wanajua walipotoka na pale wanapotaka kwenda. Hata wanapokuja na mpango wa New World Order. They know what they are doing. unasikia mpaka linazungumzwa na viongozi wakubwa, kama wa Iran, UsA na Ulaya. hili jambo halikuanza kutamkwa midomoni juzi. Ni la karne nyingi sana linasukwa kwa ustadi mkubwa.
Utamaduni wa weupe unatufikia hadi sisi. Weupe wanauza utamaduni wao. Historia sio kujifunza binadamu alikua "Ape" bali kuweza kuimarisha stadi za kazi na ujuzi wa asili (Indigenous Teknical Knowledge) katika kujikwamua na Umaskini. Mara nyingi hizi ni cheap na affordable kulinganisha na zile imported from Europe.na kwingineko.
Ukizi apply kwa jamii katika Ukubwa wake zinasaidia sana Kutambulisha Utamaduni wetu pamoja na civilization yetu badala ya kuziona kua ni za makabila fulani fulani tu au ni primitive.
Hii ni pamoja na kuanzia ujenzi wa nyumba nzuri, Kilimo cha Maksai, Mavazi ua kitamaduni, Burudani. Ili hata wale ambao wangeweza kuonekana maskini at least wawe na kitu cha kuonyesha how sufficient they are.. Sio tunapimwa umaskini kwa kukosa vitu exotic.
Pia hii Inasaidia sana kukuza Utalii na biashara.
Hata watu weusi wanaoenda Kwa weupe kama Ulaya, UChina, Japan, Uarabuni wanakutana na watu wanauza utamaduni wao ikiwemo Mavazi, vitabu, sanaa, viatu nk.
wanatajirika na wanaoishi vizuri pia wakitumia Teknolojia local za miaka zaidi ya 300 hadi 1000. Kama ukienda Nerthelands wana mifumo ya kukausha maji ya bahari ya kizamani. Kuna utumiaki wa miti ya mianzi, kama mabomba ya maji huko japan. Kuna ujenzi wa vigae vya udongo kwaajili ya roof huko Mburu. Kina kofia za Vietnam kwaajili ya kujikinga na jua nk.
Hii ina maana hatungekua na haja ya kuuza Pamba Nje ya nchi, bali tungebuni Mavazi yetu humu ndani na kuacha kua tegemezi na uvaaji wa kizungu. Tungekua self sufficient. Tunakua insufficient Kwasababu our desire is based on external influence. Hata udini wa hizi exotic, ni tatizo la akili.
Hitre aliwapenda blue eyed Blonde watawale Ulaya wakati yeye siyo Blond imekaaje hiyo?
Hata hivyo wajerumani asilia ni wa Aina hiyo. Na inawezekana Hitler alitaka kupendwa kwa kuzungumza hivyo. Maana ni mwanasiasa pia.
kwa nini walifanya project paper clip kama ilikuwa ni vita kweli?
PaperClip ilikuja Baada ya Mwamerika kuona muenendo wa Vita ya Dunia. Wajerumani walikua na silaha bora sana na walitoa upinzani mkali dhidi ya allied Nations kwenye world war 2. Na kama.Allied Nations wangechelewa kufika Berlin, Mjerumani alikua ametengenezaa ndege imara sana ambapo kwenye anga mataifa washirika wangechezea kichapo kikali sana. Utaona pia muundo wa Kofia za chuma za jeshi la America wameiga kutoka jeshi la Mjerumani enzi hizo.
USA iliamua kuwapatia Uraia wa Marekani, wanasayansi wote wa Ujerumani kwa nia ya kuweza kuchota Ujuzi kwenye masuala ya kutengeneza silaha za kijeshi na sayansi kwa ujumla. Na utakumbuka mwanasayansi Mr. Wernher von Braun (Father of rocket science) aliyewawezesha Wamerica wakaweza kurusha rocketi kwenda kwenye space alitokea Ujerumani. Huyu jamaa alidai knowledge walipata Kutoka kwa Alliens.
kwa nini iwe vita ya Dunia wakati iko ulaya tu, (Africa, New zealand, Australi, America haikuwahusu,) ile ni skirmishes war of Europe for europeans,
Vita ya Dunia ilipiganwa duniani Kote. Hata babu zako walipigana. Ukumbuke Ujerumani ilikua na Makoloni yake ikiwemo Tanzania. Vita ile waafrika walikua wanachukuliwa wanasafirishwa kwenda kupigana kusaidia makoloni yao maana rasilimali watu ilikuwepo nyingi sana hiku Afrika. Na kuna waliosafirishwa na kuishia kua raia wa nchi zingine baada ya vita kuisha hawa kurudi tena Afrika. Pale Uk kuna jamii ya watu weusi iliyozaliwa kutokana na babu zao kusaidia UK kwenye WWII. Hivi sasa ni raia wa UK. Sababu za Ujerumani kupoteza koloni la Tanzania ni vita ya Dunia.
Haikupiganwa Europe Pekee, Wajapan walipigana vita,
Egypt, Morocco, Russia, USA
Vietnam, Korea na sehemu zingine za dunia.
Taifa la kiyahudi lilianzishwa mwaka1948 kwa sababu tu mungu ni mkoloni mzungu basi taifa la kiyahudi kwa wayahudi pia liwepo.
Sasa kipindi Taifa la Wayahudi linavunjika, sijui Mungu alikua mkoloni wa nani?
Anyway.. We need to read what in the other side of the Coin.
waarabu walipewa na hao hao miaka ya nyuma wakati Roma inatawala.
Roman empire ilikua kubwa sana zama za Antiquity na iliishia kukolapsi. Ikabaki Byzantine ya warumi ya Wagiriki zaidi.
Waarabu nyakati za Mohammad waliisaidia Kuiangusha. Kwa muendelezo wa vita ya hapa na pale.
Vatican waliunga mkono juhudi hizi maksudi sababu ya sacred point in Mount Moriah, hii ina umuhimu sana kwao. km arabs angekaa pale ingekuwa ngumu kufanya mambo yao.
Katika taasisi zilizokua hazikosambamba na Wayahudi ni Kanisa Catholiki. Kuanzia huko Ujerumani mpaka Vatican.
Yapo madai kua RC ilianzisha Uislamu. Ili iweze kuichukua jerusalemu nk.
Pia Hata Padre Mkatoliki aliyeasi Martin Luther wa Ujerumani alionyesha waziwazi kuwakataa wayahudi.
Watu Wengi wana overlook michango ya watu wengine katika kuunda jewish state pale middle East.
Mfano.
Prince Faisal wa iraq aliunga mkono Taifa la Israel na alikutana na Chaim Weizzman. Huyu ni mwarabu na alisema wazi katika mkutano akiwa Paris Ufaransa.
Kwa taarifa tu, Evangelicals Christians walioanzia huko USA ndio wanaonyesha kuwakubali Wayahudi na kuichukia sana Roman Catholic.
Si kweli kwamba hakukuwa na mtu pale, nakataa kwa sababu lengo la vita ya Mataifa yote ya Ulaya ya kale ni Kutawala Mesopotamia (ikiwemo Misri hii ya leo.) ambapo palikuwa kitovu cha maendeleo Duniani.
Opposite ya NWO ya leo, ni OWO ambayo ni Mesopotamia ya kale. sasa inakuwaje nchi yenye utajiri asikae mtu, sitaelewa bado.
Based on documents eneo lote lilikua chini ya Ottoman Empire. Ilipoporomoka empaya. Watawala wa kiarabu na kikoloni Waligawiana ardhi. Kisha Eneo hilo likabaki empty. Inaweza kua ni miujiza ya Mungu. Who know[emoji3]?
Tuje , Anti-semites imekaa kisiasa mno kaka. Western countries, wanalazimisha iwe ivo, kwa sababu wanajua wapo wanaopinga uhalali wa Israel ya leo.
sasa ukimpinga mu-israel wa leo wewe ni anti- semitic. una chuki binafsi. lazima utawale kwa shida, angalia viongozi wote wa nchi mbalimbali wanao lijua hili wanakaaga kimya sana. au waunge mkono kinafiki. hata ukimuunga mkono adui wa Israel umeumia, km alivyo fanya Idd amin kuwaunga mkono wapalestina ajili ya UDINI,
Mataifa haya ya west yamejaa wayahudi wengi sana. Ikiwemo wanafuata dini na wale wasioifuata. USA kwa mfano ilianzishwa na wayahudi. Na ukipekua vitabu ilibaki kidogo lugha ya taifa iwe kihebru badala ya kiingereza.
Chama cha Republican ni cha wahebru zaidi kuliko jata Democrats.
Wameanzisha vyuo na taasisi nyingi zenye nguu duniani. Nguvu ya uchumi wao imevuma hadi Ulaya Magharibi. So Wayahudi wana kila sababu ya kujitetea dhidi ya
Chuki inayoenezwa dhidi yao. Ndio maana USA wanafanya mikakati ili kuiangusha Vatican hasa kupitia kuchafua image ya Kanisa Katoliki.
na kampuni ya HUAWEI jana tu, imepata shida
HUAWEI inafanya Biashara na nfio imekua Chinese Pride. Ugomvi wa kibiashara ni wa kawaida kwasababu yanayotafutwa hapo ni maslahi. Hata China jnakalia ardi za wa Indonesia, Thailand kwa ubabe. China ilipiga marufuku siku nyingi government officials kutotumia simu za Apple hasa wakiwa maofisini. Madai ni hayohayo kua zinahofiwa kudukua taarifa za siri.
Unaweza kusema kinachoogopwa ni teknolojia ya 5G. Lakini ukakuta ile technolojia imekuka na software program ya kuiba siri. Na kwakua inaweza kuvutia watu kuitumia wakawa wanadukuliwa ila kujua. Dunia ilipofika Inahitaji usimuamini mtu. Ukisoma vitabu vya simulizi za kweli za kijasusi kuwahi kufanywa duniani. Nina hakika utakubaliana nami kua kumuamini mtu kienyeji ni hatari.
Tena ndo haohao Semites (wayahudi wa kisasa) ndiyo kizazi cha Colonial Aristocratic Families. ka nchi kana kiburiiii. hakasemwi, hakataniwi, kanafanya kanavotaka. eti Taifa la mungu?
Moja ya masuala wanafunzi wengi husoma darasani ni kua Wamarekani na wayahudi ndio watu wenye roho mbaya sana duniani. Inaweza kua inachangia RC kutofungamana na Wayahudi. Lakini Wazungu wa Ulaya magharibi hawawaamini warussi zaidi.
Hua nawaza vipi na waarabu?,.... All in all adui yako sikuzote anakua ni mtu mbaya sana.
Ki- Biblia pia wamepingwa vibaya sana kwenye kitabu cha Ufunuo. wana itwa sinagogi sijui nininij.....
Hii story ya Ufunuo, ni kitu kingine na kilishapita. Nyakati za ufunuo zipo mbele sana kipindi hiki.