mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,633
Mkuu. Umenielewa vibaya na hukutaka kunihoji pale ambapo hukuenielewa vyema.Sasa na wewe umeamua Kutudanganya kwa mgongo wa ripoti za Antiquity. Ripoti ambazo kila mstaarabu hii leo anakiri kua zilikua zama za Giza.
Kwa taarifa yako, Wayahudi ni very Small population katika Dunia walio Smart na intelligent.
Hawana athari Tanzania, athari China wala Japan.
Zipo Dini kongwe zaidi ya maelfu ya miaka, kabla ya Judaism haijatokea duniani zikiwemo Budhism, Hinduism, kwakua hauna Taarifa zake.
Unajaribu kuchambua kitu in a very skewed understanding. Hii inaonyesha athari ya kitu wanaita Information Asymmetry. Jaribu kusoma vitu vingi uweze ku balance. Wafahamu hata Maynamar nk
Im sure utafahamu kua Judaism are peacefull religion among best religions on the planet.
Lakini kama wewe ni Smart haushikiliwi Akili, utatambua kua katika zama za Enlightment, Waarabu ndio jamii problematic ulimwenguni hivi sasa. Kupitia ideology ya Muhammadism.
Ambayo inalenga kufanya mauaji na kuangamiza kila mtu asiyekubaliana nao. Wamekua wakiua watu kwa maelfu ikiwemo kuuana wao kwa wao, kwenye kila kona ya dunia wanapofikisha idadi fulani ya watu. Nenda China,Xiajiang, Boston, spain, Russia, France , Israel, Srilanka, India, Syria, Iraq, Iran, Saudi Arabia, Egypt, Newyork, Afghanistan, Libya, Somalia, Belgium, UK, Central Africa Republic, Nigeria, Kenya ,Somalia etc. Listi ni ndefu saaanaaa.
Waarabu kupitia secret mission yao wanataka kuuangusha Utawala wa Mzungu. Wanajua wakimaliza hapo hakutakua na mwenye Nguvu zaidi yao maana watamiliki Nuclear. Na kuweza kumwaga damu zaidi.
Wafrika wanahesabika ni watumwa wao(Puppets dogs). Hata leo kule Libya watu weusi wanatumikishwa na kuteswa sana hata kuuwawa na hawa waarabu.
Mipango yao imekwenda mbali zaidi ikiwemo kuangamiza Swine wote ulimwenguni na Jewish race ili wabakie wao peke yao. Hawa ndio vitabu vingi huwatamka kwa jina la "'Stealth'.
Pitia vitabu kama 'Stealth Invation' na vingine vingi ujifunze maarifa.
Utagundua hata kule United Kingdom miji mikubwa kama BlackBurn wameshajaa wamekua wakiwabagua na kuwafukuza wazee wakizungu wanaoishi peke yao, waliozeeka hata kuwatishia kifo. Wazungu wengi wamekimbia nyumba zao na kuwaachia hawa jamaa bure kabisa. Wanaishi kwa ubabe mitaani, ikiwemo kuunda sheria mbalimbali za mitaa kwa kanuni zao.
Hawa Hawana tofauti na Mikakati iliyoandikwa kwenye yale mawe maarufu kama Georgia Stones kule USA.
Waarabu ndio wana ongoza kua na vikundi visivyo na idadi vya Mauaji ulimwenguni kote. Iwe kwa kuvifadhili Pesa ama kuviongoza moja kwa moja.
Huku waathirika wakuu wakiwa ni Waafrika na waarabu wenyewe.
Nimesema jamii 2 or 3 ulipaswa kunihoji kwanza hizo jamii 2 or 1 zilizobaki ni zipi?.
Kuhusu waarabu.. Hawa jamaa ninawajua kwa mioyo yao mibaya japo kuna vitu hapo umeviandika naweza niskubaliene navyo na sina sababu ya kuvisema coz tutarefusha mjadara kwa vitu visivyo vya msingi.
Mimi nilikusudia kuweka kanusho juu ya kile ulichokiandika kuwa wayaudi dini yao haina vinasaba vya mambo ya matifu.
Katika bible kuna "verses" zinamsapoti myaud kumbagua asiye myaudi, kuua n, k... Na sio kwamba "verses" hizo ni agizo la nabii bali mungu mwenyewe anawaagiza kfanya dhuruma hizo kwa binadam wengine kisa tu, sio wayaudi.
NB: mimi sipo upande wowote ule ila nataka ubalance story yko.
Ila nakazia kuhusu waarabu hao jamaa ni shida... Ndiyo maana waarabu wenzao wanakataa kuwapa hifadhi.