Anavyosema Ndugu Edward kuhusu Wayahudi

Anavyosema Ndugu Edward kuhusu Wayahudi

HOST NOT FOUND

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
1,125
Reaction score
3,352
Kwenu wana JF


"We kumbe unacheza na Wayahudi ww. Labda Netanyahu ndio ampeleke Trump kuzimu lakini sio Trump kumpeleka Netanyahu kuzimu. Hv unajua kua wale Wayahudi waishio Marekani🇺🇸 ndio waliomuwezesha Trump kurud madarakani na kua hayo wameyafanya kwa maslahi yao?

Hv unajua kua wale mabwenyenye wa Kiyahudi waishio Marekani🇺🇸 kua wao ndio hua wanaiendesha Marekani🇺🇸 vile wapendavyo wao? Sasa nikuambie tu kua wale mabwenyenye wa kiyahudi kule America🇺🇸 kwa kupitia zime media zao kubwakubwa wao ndio wanamuweka kiongozi wa America yule wampendae kwa kumpigia debe na hayo hua wanayafanya kwa maslahiyao na hata Trump mwenyewe hilo analijua kwa hiyo Trump hawezi kwenda kinyume na mabwana zake ambao ndio waliomrudisha madarakani.

Na ndio mana nikuambia kua Marekani🇺🇸 haina ujanja mbele ya Israel🇮🇱 kwa sababu Israe 🇮🇱 ina watu wazito kule America mpaaka ndani ya serikali yenyewe na wengine walishawahi kushika mpaka nafasi kubwakubwa serikalini, lakini America haina watu wazito ndani ya serikali ya Israel. Na Trump akitaka asiimalize vzr hii miaka yake iliyobaki madarakani, hebu na aende kunyume na matakwa ya wale mabwenyenye wa Kiyahudi kule America.

Kwanza ukitaka kuchunguza sana utagundua kua tangu mwanzo Trump hakua na nia kabisa ya kuishambulia Iran🇮🇷. Lakini aliingia tu vitani bila hata ya yy mwenyewe kupenda na ilikua ni kwa shinikizo tu la Wayahudi wenyewe na nikutokana na yale matamshi ya mara kwa mara ya viongozi wa Iran kua wanataka kuingamiza Israel. Maneno yale Wayahudi wenyewe hawakuyapuuza na ndio yaliyosababisha hv vita."
Screenshot_20260409_193937_Lite.jpg
 
Wayahudi mnawakuza sana.
Mkuu tukiondoa upande wetu wa ushabiki,huo ndo uhalisia..wayahudi waliopo USA ni wengi kiliko waliopo israeli...inasemekana ni zaidi ya mil 20.

Hao jamaa ndo wameshikilia maeneo mengi huko USA,kuanzia uchumi n.k.

Na wao inasemekana ndio huamua Raisi wa marekani awe nani,ndo maana hakuna Raisi wa marekani aliyewahi kwenda against na Israel bila kujali anatokea chama gani
 
Mkuu tukiondoa upande wetu wa ushabiki,huo ndo uhalisia..wayahudi waliopo USA ni wengi kiliko waliopo israeli...inasemekana ni zaidi ya mil 20.

Hao jamaa ndo wameshikilia maeneo mengi huko USA,kuanzia uchumi n.k.

Na wao inasemekana ndio huamua Raisi wa marekani awe nani,ndo maana hakuna Raisi wa marekani aliyewahi kwenda against na Israel bila kujali anatokea chama gani
Inasemekana! haijathibitishwa kuwa wao ndo wanaamua.
 
ndio mana nikuambia kua Marekani🇺🇸 haina ujanja mbele ya Israel🇮🇱 kwa sababu Israe 🇮🇱 ina watu wazito kule America mpaaka ndani ya serikali yenyewe na wengine walishawahi kushika mpaka nafasi kubwakubwa serikalini, lakini America haina watu wazito ndani ya serikali ya Israel
Mchambuzi uchwara ina maana hajui tofauti ya Israel na wayahudi?
 
nikutokana na yale matamshi ya mara kwa mara ya viongozi wa Iran kua wanataka kuingamiza Israel. Maneno yale Wayahudi wenyewe hawakuyapuuza na ndio yaliyosababisha hv vita."
Matamshi yalitolewa na nani na lini? Somalia imewahi sema itafuta Israel? Mbona Israel imeunga mkono somaliland kujitenga na Somalia... na inataka kuweka kambi ya jeshi ili kuwalinda in case Somalia ikitika kurejesha eneo lake. Na wao je walisema wataifuta Israel?

Huyu mchambuzi uchwara hajui hata Samson option ni mpango hatari wa kuzifuta nchi zote kubwa kwenye ulimwengu kwa nuclear warheads pale itakapotokea existential threat kwa Israel.
 
Back
Top Bottom