Safari ya Israel kua statehood

Safari ya Israel kua statehood

Kwani unadhani hawaelewi mkuu -- bali wana jitoa ufahamu tu .... ni ngumu sana kurudi nyuma na kuanza mwanzo mpya ....pale inapotokea ukabaini kwamba yale yote uliyo kuwa unaambiwa kuwa huu ndio ukweli " sio ukweli halisi ....

Bali ni ndoo iliyo beba uongo wenye rangi zinazo jaribu kuupaka uongo huo ili uvutie na kuonekana machoni pa watu kuwa ni Ukweli
Kweli kabisaa mkuu sijui kwanini wanaona tabu kuanza upya wakati ni mambo ya kawaida kabisaaa, kwa kweli elimu zao zimejaa mashaka makubwa
 
Kweli kabisaa mkuu sijui kwanini wanaona tabu kuanza upya wakati ni mambo ya kawaida kabisaaa, kwa kweli elimu zao zimejaa mashaka makubwa
Mimi nilishaamuaga kujitoa huko baada ya kuona uongo uliodhahiri kabisa ....

Yaani mtu ana amka asubuhi anadai kuwa mungu amemuagiza na watu wanamuamini ...ama kweli ujinga mzigo
 
Hapa tunaongelea asili. .na sio uraia ..kwani unapo ambiwa Barack obama ana asili ya kenya. Ni raia wa kenya !?..., kuwa raia wa nchi/taifa fulani halihitaji mtu/watu huyo/hao kuwa wazaliwa wataifa hilo ".... ndio maana waona Justin Bieber ni mmarekani as raia lakini ana asili ya canada ".... mfano huo pia una apply kwa Jacobo
1. Barack Obama ana Mama Mwamerika na Baba Mkenya. Na ni uzao wa Kwanza yaani First Generarion F1.

Mfano mwingine ni huu ---,Akon R&B singer raia wa marekani aliondoka senegal na kwenda marekani kani akiwa na umri wa miaka 7, baada ya hapo akalelewa na kukua marekani na kuwa raia wa nchi hiyo (USA),... Lakini sasa hivi ana watoto ambao alio wazaa marekani na wana wake tofauti toka nchini humo (USA) watoto hao wana mtambua baba yake akon kuwa ni babu yao " Baba yake Akon ana asili ya Senegal "

Swali lina kuja kwako sasa hawa watoto wa Akon watakuwa ni raia wa USA wenye asili ya wapi !!?

Watoto wa Akon, watakua na Asili Mbili ya America na Senegali.

Turudi Kwenye Case ya wana wa Israel. Kutoka Canaan na Mesopotamia hapana umbali wa Kitisha sana.

Kijiografia, Kanaani inahusisha Upande wa Kaskazini Magharibi wa Jordan, Lebanon, eneo lote la Israel,na maeneo ya magharibi ya Syria.
Kwa ufupi yanaitwa Phoenicia.

Mesopotamia.

Mesopotamia and Canaan were more closely related to each other kwa lugha, Miungu, na vitu vingi

Abraham, Isaac, Jacob ni idadi ya Vizazi 3 vimepita. Muda unatosha kabisa kumpa mtu Uraia, by Birth na By mababu zake waliozikwa hapo na mifupa yao.

Ni muda unatosha kutambua Asili ya MTU katika Eneo analoishi.
Wana wa Israel ambao ndio wana Nguruma leo.asili yao ni Pale Canaan.

Abraham alizaa watoto wengi na Mataifa Mengi sana. Wengine walichanganyika na wakanaani hivyo kufanya damu yake kusambaa na hivyo kumtumia kama msingi wa Asili ya Vitukuu vyake, inakua haina maana tena.

Maana katika vizazi Vitatu, lazima kuna waliochanganyika na wakanaani na kufanya ku trace asili ya uzao wake kua complicated.

Ila UZao wa Israel unaweza kuu trace kuanzia kwa Jacob ambaye ndiye Israel mwenyewe. Kutoka kwa watoto wake wa wakeze wawili na wale Concubines wawili. Aliozaa nao.
 
Kajifunze kiswahili mkuu URAIA na ASILI ni vitu viwili tofauti , kumbe ndio maana hatuelewani aisee, Mohammed Dewji ni RAIA wa Tanzania mwenye ASILI ya INDIA , huyu anaweza kuukana URAIA lakini hawezi kukana ASILI yake maana ata muonekano wake utamsuta
Wana wa Israel, na Jina "ISRA-EL" linaanza kutamkwa pale mji wa Kanaani.
Kabla ya hapo, haijasikika kamwe popote.
Sio huko Mesopotamia, Haran wala popote. zingatia hili unapoweka rekodi zako vizuri.

Ukipinga hili, basi tambua wote tuna asilimoja ya Adam na Eva. Wote tu Uzao wa kizazi cha Nuhu. Hizi ndio asili zetu.

Mpaka leo, Wana historia wanajaribu kuamini kua Abraham ni "Mkalediani" lakini bado hawana Uhakika na Asili yake 100 kwa 100.

Lakini Hakuna Shaka Wana wa Israel ni watoto wa Israel. Aliyeishi pale Kanaani.

Umekua ukidundadunda kama kitenesi mara waebrania, wayahudi.nk. sasa umehamia kwenye kuzaana. Ukweli upo Mezani. Taifa Jipya lilizaliwa pale Kanaani. Abrahamu atabaki kia Baba wa Mataifa mengi. Nimekuwekea sasa bisha tena.
 
Wewe kinachokutesa ni lugha adhwim ya kiswahili hakuna namna ya kukusaidia , nimeshakwambia Israel ni Yakobo ata angebadilishwa jina mara 1000 bado anabaki Israel ni Yakobo ambaye ni mtoto wa Isaka , Isaka ambaye baba yake ni Ibrahim , Ibrahim ambaye ni muhamiaji aliedai kupewa kibali cha kuhamia nchi ya watu kaanani na Mungu wake , wakati yeye ni wa Mesopotamia , sasa toka lini ukibadilishwa jina na ASILI yako inabadilika ? Nimeshakwambia ASILI huwezi kubadilisha ila URAIA unaweza badili, Israel yeye ni Mesopotamia kwa babu yake Ibrahim huko ndiko ASILI yake ilipo , ata kama ni RAIA wa nchi nyingine , ata MO DEWJI ni Mtanzania na ubunge tumempa lakini ASILI yake INDIA , kubadilishwa jina hakuna uhusiano na ASILI ya mtu, wewe jamaa unakwama wapi , kubadilishwa jina hakuna uhusiano wowote na Asili ya mtu
 
Unatafuta Asili ya Israeli au unatafuta Asili ya Abramu?.
 
Bado sijaona Jibu la swali uliloulizwa" ...umeambiwa kuwa Yacobo hana asili ya Israel ..bali ana asili ya Mesopotamia ambako ndio anapo toka babu yake Abraham ....so ulipaswa kutoa reference ambayo inapinga kuwa yacobo sio m-Mesopotamia...

Unataka kutuambia kuwa asili yako uliyo nayo inaanzia kwa baba yako na sio kwa babu yako" kwa hiyo jina la tatu mwenzetu haulitumii !?
Tafakari "Ibrahimu aiishi na kufua wapi"
Kisha chukua hatua
 
Lakini hata kama ni la marekani" ..marekani haipingi kuwa watu wa alaska wana asili ya urusi"..... hapa tunaongelea kuhusu chimbuko la mtu/watu ...acheni janja janja
OK labda uigeuze wewe,mada lengwa Ilikuwa Ni kuwanyanyapaa waisrael kwa Hoja zisizo na mashiko wala faida kudai eti waisrael hawastahili kuishi ISRAEL kwa kisingizio cha asili.
Huo Ni ujinga coz hata hao wayebusi wana asili yao ndiposa nimetolea mfano Alaska mbona sasa halalamiki US irudishe Alaska kwa Russia?

Hapa Tanzania kuna kipande cha ardhi kinamilikiwa na nchi nyingine Mtanzania akikatiza tu kipigo au hata kifo hakuna kelele zozote huenda Ni kwa sababu ni waarabu.

Marekani Alitaka pale kigamboni waarabu wote militia kelele.

Acha chuki kwa ISRAEL. Hakuna mwenye chuki, wivu na ubinafsi aliyefanikiwa.

Haizidi haipungui Nitajie wewe Mtanzania asili Ni yupi Alafu utuambie wewe Utarudi kwenu lini?
 
Wewe kinachokutesa ni lugha adhwim ya kiswahili hakuna namna ya kukusaidia , nimeshakwambia Israel ni Yakobo ata angebadilishwa jina mara 1000 bado anabaki Israel ni Yakobo ambaye ni mtoto wa Isaka , Isaka ambaye baba yake ni Ibrahim , Ibrahim ambaye ni muhamiaji aliedai kupewa kibali cha kuhamia nchi ya watu kaanani na Mungu wake , wakati yeye ni wa Mesopotamia , sasa toka lini ukibadilishwa jina na ASILI yako inabadilika ? Nimeshakwambia ASILI huwezi kubadilisha ila URAIA unaweza badili, Israel yeye ni Mesopotamia kwa babu yake Ibrahim huko ndiko ASILI yake ilipo , ata kama ni RAIA wa nchi nyingine , ata MO DEWJI ni Mtanzania na ubunge tumempa lakini ASILI yake INDIA , kubadilishwa jina hakuna uhusiano na ASILI ya mtu, wewe jamaa unakwama wapi , kubadilishwa jina hakuna uhusiano wowote na Asili ya mtu
Wabantu asili yao ni Kush. Je wote ni waethiopia?
 
Hizo ni chai tu ..... hata mimi nikiwa na nguvu ya mamlaka naweza kwenda iringa nikaiteka kisha nika chapisha maandiko yanayo dai kuwa mungu ndiye amenituma nifanye hivyo
Wewe umejuaje kuwa wakazi wa asili Ni yebsi, Amosi na hiti???
Kama ni Chai basi tukubalianea kuwa hata hao hapo juu ni Chai tu. Hivyo mwenye nguvu mpishe
 
Wote tunakubaliana huku kuwa Ishmael (Isumail) no mtoto wa Ibrahimu na Ndio cha Saudi Arabia na mataifa ya kiarabu leo vpi mbona hatusemi wamevamia???. Huko mbona hatumlaumu Ibrahimu acheki unafki .

Pale Ni ISRAEL na anastahili kuwa pale.

NIPO UPANDE WA ISRAEL.
 
Israel ni Uzao Mpya wenye jina Jipya "ISra -El."
Jina hili lilizaliwa Rasmi hapo KANAAN.

Inahitaji uzao wa Tatu 3rd Generatiom kurudi Nyuma ili kupata Uzao wa Abrahamu.

Pia Tujifunze kutenganisha kati ya Yakobo na Israel.
Hatuna Uzao wa Yakobo bali Wana wa Israeli.
Israel ni mission Mpya ama harakati mpya kabisa, Jacob is past tence.

Abraham ni uzao wa Kanaani.
Abramu ndio uzao wa Mesopotamia.
Vivyo hivyo, Sarai ni uzao wa Mesopotamia. Wakati Sarah ni Uzao wa Kanaani.

Hapa utaona Abrahamu na Mkewe wamekua Reborn. Na majina yao yakabadilishwa. Wamekula yamini.

WaMesopotamia, hawawajui WaIsraeli. Kule wanaonekana ni wageni kama wengine. Hawa WAISRA-EL walikua wanatahiriwa wanatolewa Magovi. Wamesopotamia Wanatofautiana sana na waIsraeli.

Nilieleza tangu mwanzo ukija na stori za kurudi nyuma kwa baba yake na Abramu kisha Tutaenda Mpaka kwa Shemu mtoto Nuhu na mwishowe tutafika kwa Adamu asili yake. Which is Pointless.
Tuanze kujua Waisrael wana asili ya Wapi. Jibu liko wazi. Sio kulazimisha kua sijui kizazi cha Tatu kilihamia. This is pointless.
Nasema ni pointless kwasababu hata huyo Kanaani kuna sehemu alianzia kabla ya kuishi hapo.

Naye ni sehemu ya uzao wa watoto wa Nuhu. Lazima alipotoka kwenye Safina kuna mahali alitoka akaenda hapo Kanaani. Alihama kama wengine.. Na inawezekana ku-trace kizazi chao na asili ya babu zake.
P1
 
1. Yakobo ndie Israel , huyu ni mtu mmoja hili la kwanza , atabaki kuwa mjukuu wa Ibrahim , ambaye ni muhamiaji alietengeneza uzao wake pale kaanani kwa muda mrefu,
2. Abraham ndie Ibrahim alibadilishwa jina tu , anabaki kuwa muhamiaji alietoka Mesopotamia , hili liko wazi kabisa
Mbona halalamiki juu ya Ishmael acha unafki wako
 
Mkuu tunaweka kumbukumbu sawa kuwa wale waitwao wayahudi asili yao sio pale panapoitwa Israel, bali asili yao ni Mesopotamia alikotoka babu yao Ibrahim, sasa kulisema hili kunahusiana nini na chuki mkuu !!!! hii ni Fact tu
Ishmael asili yake Ni wapi
 
Unapotosha.

Mohammadism na JudeoChristians ndio wanaoamini kua Ardhi ile wayahudi wamepewa na Mungu.

So It is otherway round.
MaRabbi wakiyahudi hawaamini, katika hili. Wanaamini Mungu hataki wawe na taifa tena. Kitendo cha wao kuweka taifa pale ni chukizo kwa Mungu wao.

Waisrael walikwenda pale kwasababu za kisiasa wakinuia kurudi kwenye asili yao. Wanatambua kua wao sio wa Mesopotamia bali hapo Kanaani.
UWONGO
 
Hapa tunaongelea asili. .na sio uraia ..kwani unapo ambiwa Barack obama ana asili ya kenya. Ni raia wa kenya !?..., kuwa raia wa nchi/taifa fulani halihitaji mtu/watu huyo/hao kuwa wazaliwa wataifa hilo ".... ndio maana waona Justin Bieber ni mmarekani as raia lakini ana asili ya canada ".... mfano huo pia una apply kwa Jacobo

Mfano mwingine ni huu ---,Akon R&B singer raia wa marekani aliondoka senegal na kwenda marekani kani akiwa na umri wa miaka 7,baada ya hapo akalelewa na kukua marekani na kuwa raia wa nchi hiyo (USA),... Lakini sasa hivi ana watoto ambao alio wazaa marekani na wana wake tofauti toka nchini humo (USA) watoto hao wana mtambua baba yake akon kuwa ni babu yao " Baba yake Akon ana asili ya Senegal "

Swali lina kuja kwako sasa hawa watoto wa Akon watakuwa ni raia wa USA wenye asili ya wapi !!?
Wewe asili yako Ni wapi mbona hujibu?
 
Back
Top Bottom