Safari ya Israel kua statehood

Safari ya Israel kua statehood

Abraham hakua mwisraeli. Hapa ndipo ugumu unapoanzia

Q. Una uhakika upi kua kizazi kile cha wakanaani bado kipo hata leo?.

Find the other side of the story.
Wakanaani walikwenda wapi aftermanth?.
Mpaka karne ya 19 na mwanzoni mwa 20, Ardhi haikua na MMiliki anayetambulikana popote.
Ndio Ibrahim hakuwa Muisrael lakini ahadi ya kupewa kizazi chake nchi ilianzia kwake , unapomzungumzia Israel maana yake ni Yakobo mjukuu wa Ibrahim , muhamiaji pale kaanan, suala la wakaanani kupotea hiyo haiondoi kuwa ndio wenye asili ya kaanan, wengine ni wahamiaji, hivi unakwama wapi
 
Ndio Ibrahim hakuwa Muisrael lakini ahadi ya kupewa kizazi chake nchi ilianzia kwake , unapomzungumzia Israel maana yake ni Yakobo mjukuu wa Ibrahim , muhamiaji pale kaanan, suala la wakaanani kupotea hiyo haiondoi kuwa ndio wenye asili ya kaanan, wengine ni wahamiaji, hivi unakwama wapi
Kuna vitu vingine unatakiwa ujiongeze wewe Mwenyewe.

Watu huama sehemu moja kwenda nyingine kwa nia ya kutafuta Maji, Chakula, na Usalama wake, mali na chakula cha mifugo yake,

Huku Afrika kuna makabila ya Nomads kama Maasai, kule Arabuni wanaitwa wabedui (Beduins). Wote hawa hamahama na wanyama wao

So Hii hata bila kuambia ni Mungu kamwelekeza Abrahamu kuhamia pale Kanaani, unaweza kujiongeza mwenyewe kua eneo hili lilikua lina sifa za mtu wengine kutamani kuhamia hapo na kuishi.

Ikumbukwe, Hata Israel alipohamia Misri, alipelekwa na sababu kama hizo. Hata angesema Mungu kamuagiza aende huko misri, isingeleta athari sana kwasababu factors nyingine zinatosha ku influence hatua gani ya kufuata. Nchi ina njaa ya kufa mtu. Unaishije sasa?. Lazima uhame.

Na Waliporudi wakitokea Egypt walikua wanarudi kwenye nchi walioambiwa ni ya Maziwa na Asali. Na walikuta watu wa huko wana maumbile makubwa, wako vizuri kuonyesha ni nchi yenyw Chakula cha kutosha.
Kwahiyo the whole point hapa ni Surviving.

There are Three Human basic needs.
1. Food
2. Shelter
3. Clothes
.
.
4. Sex


Additionally.
Ukisoma Legends utaona kua hata jamii ya Abraham walikua na Utamaduni wa kuua Mtoto wa Kwanza ili kumtoa Sadaka kwa Miungu.

Kitendo cha kutomuua Isaka ndio kilihitimisha rasmi vitendo vya mauaji ya uzao wa kwanza kwenye makabila yao. Lakini kimaandiko tunasoma ni Mungu aliingilia kati.

Kwasababu hizo, Tulihitaji Legends za wakanaani watakaosema Upande wa pili wa Shilingi na Baba yao Kanaan. Kuhusu Kuvamiwa na Abraham katika Ardhi yao.

Lakini mpaka tunakwenda Mitamboni wana wa Israel ndio warithi wa ardhi ya Kanaani hata leo.
 
Kwa maelezo yako tunakubaliana kuwa ni kweli wale waisrael ni wahamiaji , ila ndio washakuwa sehemu ya nchi ile kwa sababu muda mrefu umepita , ukweli utabaki pale kuwa wahindi wekundu ndio wenye Asili ya pale , lakini wengine ni wahamiaji , hili kwanza ulielewe mapema , kuondoka au kutoondoka hiyo ni habari nyingine wala haina uhusiano na UASILI wao
Basi nami naelewa hivyo so far natamani ISRAEL iendelee kugangamaa palepale na kwa misingi hiyo nao wanastahili kuwepo pale
 
Abraham hakua mwisraeli. Hapa ndipo ugumu unapoanzia

Q. Una uhakika upi kua kizazi kile cha wakanaani bado kipo hata leo?.

Find the other side of the story.
Wakanaani walikwenda wapi aftermanth?.
Mpaka karne ya 19 na mwanzoni mwa 20, Ardhi haikua na MMiliki anayetambulikana popote.
Tofautisha Kati ya wakanaani na waisrael kwanza
 
Kwa kweli ni zaidi ya upunguani
Ubaya ni mauaji kuasisiwa na kile kinachoitwa mafunuo ya Mungu, hii inakua ni kisasi siku zote , mtu anapanua mdomo wake akijitamba eti kapewa nchi na Mungu , huu ni upunguani
 
Mkuu una ugonjwa wa kusahau haraka, mtu wa kwanza kudai kuoteshwa ndoto na kuahidiwa kupewa nchi ni Ibrahim, kupitia yeye Ibrahim ndio mbeleni akapatikana Yakobo (Israel), sasa nakuuliza swali Ibrahim asili yake ni wapi ?
Asante ..dahh !!!
 
Kaka mbona unajitoa akili kiasi hicho ? Uhusiano wa Ibrahim na yakobo( Israel)
Ibrahim akamzaa Isaka kisha isaka akamzaa Yakobo (Israel) hivyo hawa wawili Ibrahim na Israel ni mtu na mjukuu wake, swali unaijua asili ya Ibrahim ambaye ni babu wake Israel? hii hiko wazi waisrael asili yao ni huko ambako babu yao Ibrahim alitokea wala sio hapa walipopavamia na kubadili jina la nchi ya watu kimabavu
Una hoja zenye mashiko sana mkuu
 
Well said ..kwani huyu jamaa asicho kielewa ni kipi hasa ..mbona hoja zipo opened kabisa hizi .....

Haya ndio matatizo ya kuweka udini mbele hata kwenye hoja ambazo zinahitaji akili tunduizi "Najua jamaa anaelewa but anajaribu kujitoa ufahamu tu ...kutokanq na imani aliyo mezeshwa
Huyu nae kweli hamna kitu kabisaa , unaambiwa masuala ya asili unazungumza Ishmael , JIBU ni rahisi ndio ISHMAEL na ISAKA wote ni Waebrania kwa sababu baba yao Ibrahim alikuwa ni Muebrania, sio alijitenga alidai kuoteshwa na Mungu wake akatoka nchi yake ya ASILI yaani Mesopotamia akaenda nchi ya watu Kaanan, akazaa huko watoto akapata na wajukuu ( wakina Yakobo) sasa unakataa nini ukiambiwa Yakobo chimbuko lake ni Mesopotamia huko alikotoka babu yake Ibrahim,
Note: Kaanani ni jina la mtu alieanza kuishi hapo , hivyo hao wakina Ibrahim walipokuja walikuta Uzao wa Kanaan unaishi hapo , hivyo hao ni wahamiaji wa Mda mrefu tu hapo Israel, wala hawana asili ya hapo , ata kama Ishmael alikuja kuzaa Waarabu bado aiondoi kuwa Asili yake ni Mesopotamia , ni Kama black America ata wafanyaje asili yao ni Africa, mayahudi ASILI yao ni Mesopotamia
 
Sasa bado unazidi Kuchanja mbuga zamu hii unaingia kwenye Msitu sio kichaka tena.

Kama Mungu wa Abrahamu alimwotesha Abrahamu.

Na tunajua kabisa huko Kanaan kulikua na Miungu ya Wakanaani na ndio sababu moja wapo Abraham hakupenda mwanae wa Pekee asioe Mkanaani.

Je kwanini Isiwe, Kinachopelekea Kukosekana kwa amani ni Miungu ya Wakanaani inafanya Vita na Mungu wa Abrahamu?

Miungu ya Wakanaani ndio inayojaribu kuzuia mpango wa Mungu wa Abrahamu wa kuwapa makazi, uzao wake mteule.

Maana inaonyesha hii miungu ni Halisi kabisa na ndio inayoshindana.

Kama ni ardhi, wamenyang'anywa mataifa mengi sana.

Na Vipi kuhusu Egypt, Algeria, Libya, mbona miungu ya waafrika haiendi kudai Ardhi yetu Irudishwe kwetu?.

Kwanini miungu ya nchi hizi zote inashirikiana na Miungu ya wakanaani kufanya vita na Mungu wa Abrahamu peke yake?
Bado sijaona Jibu la swali uliloulizwa" ...umeambiwa kuwa Yacobo hana asili ya Israel ..bali ana asili ya Mesopotamia ambako ndio anapo toka babu yake Abraham ....so ulipaswa kutoa reference ambayo inapinga kuwa yacobo sio m-Mesopotamia...

Unataka kutuambia kuwa asili yako uliyo nayo inaanzia kwa baba yako na sio kwa babu yako" kwa hiyo jina la tatu mwenzetu haulitumii !?
 
Suala la Kaanani kuwa na Miungu mingine linahusika vip na ASILI ? hizo ni taratibu zao walizojipangia kuishi nazo , Wakaanani ndio wenye nchi ya Kaanani , wamisri ndio wenye nchi ya Misri, Suala la kufanya vita na Mungu wa Ibrahim liko wazi, haiwezekani mtu atoke aje kwenye nchi yenu adai kuwa eti hii nchi ondokeni Mungu amenipa mimi halafu watu wakubali upuuzi huo, ni lazima vita ipiganwe , hivyo Ibrahim na uzao wake wote ni wahamiaji kutoka Mesopotamia walioamia Kaanani kwa madai eti Mungu kawapa nchi ile ambayo ilikuwa na wenyeji, wewe rukaruka lakini utaelewa tu
Hahaa kwahiyo hao kina Abraham na wanae/wajukuu zake ni wezi ...kwa namna moja tunaweza kuwaita ..wavunjifu wa amani !?
 
Naona unajitoa ufahamu sana, Kaanani ilikua nchi ya wakaanani kabla huyo unaemuita Israel hajazaliwa, hivyo Ibrahim alipokuja pale Kaanani alikuta watu pale ambao ni uzao wa kaanani hivi unakwama wapi wewe !! Suala la kuabudu masanamu hizo ni taratibu zao wala hazikuhusu,sasa kuabudu kwao masanamu ndio utumie kama kinga kupora nchi yao ? Ibrahim ni muamiaji kaanani , na uzao wote wa Ibrahim kwa maana ya Isaka ,Yakobo na watoto wake ni wahamiaji waliohodhi nchi ya wakaanani kwa hoja dhaifu eti wamepewa na Mungu
Haha
 
Lakini hata kama ni la marekani" ..marekani haipingi kuwa watu wa alaska wana asili ya urusi"..... hapa tunaongelea kuhusu chimbuko la mtu/watu ...acheni janja janja
Ndugu yangu leo Jimbo la Alaska Ni sehemu ya marekani au Urusi?
 
1. Kamtii Mungu wake akatoka nchi yake akaenda nchi ya watu
2. Sio kila mtu anamwamini huyo Mungu wa Ibrahim ili pia fahamu
3.Mwisho tunakubaliana kuwa ni kweli Ibrahim alikuwa muhamiaji Kaanani wala hana Asili ya pale
Haha
 
Back
Top Bottom