Safari ya Israel kua statehood

Safari ya Israel kua statehood

Unazungumzia wayahudi wap mkuu , ebu kuwa specific hawa walioambiwa wasioe ata wanawake wasio wayahudi , tena wakaambiwa wawaue wale wanaoabudu Mungu asiekuwa wa Ibrahim, sasa kwenye hali hii hiyo Co - exist inakuwepo wapi , Maana Mungu wako unamuona wa maana , lakini mimi Mungu wangu unamdharau, kiukweli hapa labda utumie mabavu vinginevyo hapakaliki
Kwa kweli "...Mungu wa imani yako sio mungu wa imani za watu wote .....hapo walioivamia kaanani hawa kutenda haki bali ni unyama
 
Ndio nakwambia hiyo CO -exist unayoisema inapatikana vipi ikiwa unatakiwa uwaue watu wasiomuamini Mungu wao wayahudi ? haya unakuja unaniua mimi,badae ndugu zangu wanalipiza kisasi , hapo hamuwezi kukaa kwa Amani , hakuna anaekataa mambo mazuri waliyofanya wayahudi lakini pia ni watu waliojaa ubaguzi kwa maelekezo ya Mungu wao toka zamani
Well said
 
Ndio Ibrahim hakuwa Muisrael lakini ahadi ya kupewa kizazi chake nchi ilianzia kwake , unapomzungumzia Israel maana yake ni Yakobo mjukuu wa Ibrahim , muhamiaji pale kaanan, suala la wakaanani kupotea hiyo haiondoi kuwa ndio wenye asili ya kaanan, wengine ni wahamiaji, hivi unakwama wapi
Haha ...una akili sana
 
Bado sijaona Jibu la swali uliloulizwa" ...umeambiwa kuwa Yacobo hana asili ya Israel ..bali ana asili ya Mesopotamia ambako ndio anapo toka babu yake Abraham ....so ulipaswa kutoa reference ambayo inapinga kuwa yacobo sio m-Mesopotamia...

Unataka kutuambia kuwa asili yako uliyo nayo inaanzia kwa baba yako na sio kwa babu yako" kwa hiyo jina la tatu mwenzetu haulitumii !?

Israel ni Uzao Mpya wenye jina Jipya "ISra -El."
Jina hili lilizaliwa Rasmi hapo KANAAN.

Inahitaji uzao wa Tatu 3rd Generatiom kurudi Nyuma ili kupata Uzao wa Abrahamu.

Pia Tujifunze kutenganisha kati ya Yakobo na Israel.
Hatuna Uzao wa Yakobo bali Wana wa Israeli.
Israel ni mission Mpya ama harakati mpya kabisa, Jacob is past tence.

Abraham ni uzao wa Kanaani.
Abramu ndio uzao wa Mesopotamia.
Vivyo hivyo, Sarai ni uzao wa Mesopotamia. Wakati Sarah ni Uzao wa Kanaani.

Hapa utaona Abrahamu na Mkewe wamekua Reborn. Na majina yao yakabadilishwa. Wamekula yamini.

WaMesopotamia, hawawajui WaIsraeli. Kule wanaonekana ni wageni kama wengine. Hawa WAISRA-EL walikua wanatahiriwa wanatolewa Magovi. Wamesopotamia Wanatofautiana sana na waIsraeli.

Nilieleza tangu mwanzo ukija na stori za kurudi nyuma kwa baba yake na Abramu kisha Tutaenda Mpaka kwa Shemu mtoto Nuhu na mwishowe tutafika kwa Adamu asili yake. Which is Pointless.
Tuanze kujua Waisrael wana asili ya Wapi. Jibu liko wazi. Sio kulazimisha kua sijui kizazi cha Tatu kilihamia. This is pointless.
Nasema ni pointless kwasababu hata huyo Kanaani kuna sehemu alianzia kabla ya kuishi hapo.

Naye ni sehemu ya uzao wa watoto wa Nuhu. Lazima alipotoka kwenye Safina kuna mahali alitoka akaenda hapo Kanaani. Alihama kama wengine.. Na inawezekana ku-trace kizazi chao na asili ya babu zake.
 
Mada nzuri sana. Hoja zote za kuipinga historia hii zinatoka kwa wale wasiowapenda Wayahudi, uzao wa Yakobo (Israeli) mwana wa Isaka mwana wa Ibrahimu (Abramu).
 
1. Yakobo ndie Israel , huyu ni mtu mmoja hili la kwanza , atabaki kuwa mjukuu wa Ibrahim , ambaye ni muhamiaji alietengeneza uzao wake pale kaanani kwa muda mrefu,
2. Abraham ndie Ibrahim alibadilishwa jina tu , anabaki kuwa muhamiaji alietoka Mesopotamia , hili liko wazi kabisa
 
Hizo ni chai tu ..... hata mimi nikiwa na nguvu ya mamlaka naweza kwenda iringa nikaiteka kisha nika chapisha maandiko yanayo dai kuwa mungu ndiye amenituma nifanye hivyo
Aaahaaahahahahahha hili ndio dai la wayahudi eti Mungu kawapa nchi hii ya ahadi, huku ni kuvimbiwa kabisaa maharage
 
Mada nzuri sana. Hoja zote za kuipinga historia hii zinatoka kwa wale wasiowapenda Wayahudi, uzao wa Yakobo (Israeli) mwana wa Isaka mwana wa Ibrahimu (Abramu).
Mkuu tunaweka kumbukumbu sawa kuwa wale waitwao wayahudi asili yao sio pale panapoitwa Israel, bali asili yao ni Mesopotamia alikotoka babu yao Ibrahim, sasa kulisema hili kunahusiana nini na chuki mkuu !!!! hii ni Fact tu
 
Well said ..kwani huyu jamaa asicho kielewa ni kipi hasa ..mbona hoja zipo opened kabisa hizi .....

Haya ndio matatizo ya kuweka udini mbele hata kwenye hoja ambazo zinahitaji akili tunduizi "Najua jamaa anaelewa but anajaribu kujitoa ufahamu tu ...kutokanq na imani aliyo mezeshwa
Ni tatizo kubwa mkuu hizi dini zimekuwa kama Jela kwa watu weusi,yaani ata kama unaleta hoja za wazi analazimisha hicho alichokaririshwa huko na viongozi wao wa kidini, hili ni tatizo kubwa ila tusichoke kuwaelimisha
 
Israel ni Uzao Mpya wenye jina Jipya "ISra -El."
Jina hili lilizaliwa Rasmi hapo KANAAN.

Inahitaji uzao wa Tatu 3rd Generatiom kurudi Nyuma ili kupata Uzao wa Abrahamu.

Pia Tujifunze kutenganisha kati ya Yakobo na Israel.
Hatuna Uzao wa Yakobo bali Wana wa Israeli.
Israel ni mission Mpya ama harakati mpya kabisa, Jacob is past tence.

Abraham ni uzao wa Kanaani.
Abramu ndio uzao wa Mesopotamia.
Vivyo hivyo, Sarai ni uzao wa Mesopotamia. Wakati Sarah ni Uzao wa Kanaani.

Hapa utaona Abrahamu na Mkewe wamekua Reborn. Na majina yao yakabadilishwa. Wamekula yamini.

WaMesopotamia, hawawajui WaIsraeli. Kule wanaonekana ni wageni kama wengine. Hawa WAISRA-EL walikua wanatahiriwa wanatolewa Magovi. Wamesopotamia Wanatofautiana sana na waIsraeli.

Nilieleza tangu mwanzo ukija na stori za kurudi nyuma kwa baba yake na Abramu kisha Tutaenda Mpaka kwa Shemu mtoto Nuhu na mwishowe tutafika kwa Adamu asili yake. Which is Pointless.
Tuanze kujua Waisrael wana asili ya Wapi. Jibu liko wazi. Sio kulazimisha kua sijui kizazi cha Tatu kilihamia. This is pointless.
Nasema ni pointless kwasababu hata huyo Kanaani kuna sehemu alianzia kabla ya kuishi hapo.

Naye ni sehemu ya uzao wa watoto wa Nuhu. Lazima alipotoka kwenye Safina kuna mahali alitoka akaenda hapo Kanaani. Alihama kama wengine.. Na inawezekana ku-trace kizazi chao na asili ya babu zake.
Bado haujajibu hoja ...zaidi zaidi naona una hubiri tu
 
Ni tatizo kubwa mkuu hizi dini zimekuwa kama Jela kwa watu weusi,yaani ata kama unaleta hoja za wazi analazimisha hicho alichokaririshwa huko na viongozi wao wa kidini, hili ni tatizo kubwa ila tusichoke kuwaelimisha
Yaani mpaka zinatia kinyaa
 
Aaahaaahahahahahha hili ndio dai la wayahudi eti Mungu kawapa nchi hii ya ahadi, huku ni kuvimbiwa kabisaa maharage
Unapotosha.

Mohammadism na JudeoChristians ndio wanaoamini kua Ardhi ile wayahudi wamepewa na Mungu.

So It is otherway round.
MaRabbi wakiyahudi hawaamini, katika hili. Wanaamini Mungu hataki wawe na taifa tena. Kitendo cha wao kuweka taifa pale ni chukizo kwa Mungu wao.

Waisrael walikwenda pale kwasababu za kisiasa wakinuia kurudi kwenye asili yao. Wanatambua kua wao sio wa Mesopotamia bali hapo Kanaani.
 
Yakobo hajaishi wala kuzaliwa Mesopotamia.
Hawezi kua raia wa sehemu isiyo nyumbani kwake.
Hapa tunaongelea asili. .na sio uraia ..kwani unapo ambiwa Barack obama ana asili ya kenya. Ni raia wa kenya !?..., kuwa raia wa nchi/taifa fulani halihitaji mtu/watu huyo/hao kuwa wazaliwa wataifa hilo ".... ndio maana waona Justin Bieber ni mmarekani as raia lakini ana asili ya canada ".... mfano huo pia una apply kwa Jacobo

Mfano mwingine ni huu ---,Akon R&B singer raia wa marekani aliondoka senegal na kwenda marekani kani akiwa na umri wa miaka 7,baada ya hapo akalelewa na kukua marekani na kuwa raia wa nchi hiyo (USA),... Lakini sasa hivi ana watoto ambao alio wazaa marekani na wana wake tofauti toka nchini humo (USA) watoto hao wana mtambua baba yake akon kuwa ni babu yao " Baba yake Akon ana asili ya Senegal "

Swali lina kuja kwako sasa hawa watoto wa Akon watakuwa ni raia wa USA wenye asili ya wapi !!?
 
Mkuu sasa nafikiri una ugonjwa wa kusahau kabisa, Ibrahim alitoka Mesopotamia baada ya kuonyeshwa na kuamriwa na huyo Mungu wake kuwa atawapa nchi yeye Ibrahim na UZAO WAKE, alipokuja kwenye hiyo nchi akawakuta wenyeji wakaanani pale , huyo Israel( yakobo) ni uzao wa yule yule Ibrahim aliedai kupewa nchi ya Wakaanani na Mungu , hivyo ni muendelezo wa Israel kudai kile alichopewa babu yao Ibrahim, wala hakuna Dai jipya na hoja yao ni ile ile ya Ibrahim kuwa Mungu ametupa nchi hii ya ahadi hivyo ni mali yetu, kuna maandiko mengi juu ya ubabe wa kuwaua na kuwaangamiza wenyeji wa maeneo yale ili wao ndio wachukue nchi
 
Hapa tunaongelea asili. .na sio uraia ..kwani unapo ambiwa Barack obama ana asili ya kenya. Ni raia wa kenya !?..., kuwa raia wa nchi/taifa fulani halihitaji mtu/watu huyo/hao kuwa wazaliwa wataifa hilo ".... ndio maana waona Justin Bieber ni mmarekani as raia lakini ana asili ya canada ".... mfano huo pia una apply kwa Jacobo

Mfano mwingine ni huu ---,Akon R&B singer raia wa marekani aliondoka senegal na kwenda marekani kani akiwa na umri wa miaka 7,baada ya hapo akalelewa na kukua marekani na kuwa raia wa nchi hiyo (USA),... Lakini sasa hivi ana watoto ambao alio wazaa marekani na wana wake tofauti toka nchini humo (USA) watoto hao wana mtambua baba yake akon kuwa ni babu yao " Baba yake Akon ana asili ya Senegal "

Swali lina kuja kwako sasa hawa watoto wa Akon watakuwa ni raia wa USA wenye asili ya wapi !!?
Umeandika kiutu uzima kabisa , ata sisi wangoni ni Watanzania lakini ASILI yetu ni South Africa, inahitaji ujitoe akili kukataa ukweli uliopo wazi
 
Yakobo hajaishi wala kuzaliwa Mesopotamia.
Hawezi kua raia wa sehemu isiyo nyumbani kwake.
Kajifunze kiswahili mkuu URAIA na ASILI ni vitu viwili tofauti , kumbe ndio maana hatuelewani aisee, Mohammed Dewji ni RAIA wa Tanzania mwenye ASILI ya INDIA , huyu anaweza kuukana URAIA lakini hawezi kukana ASILI yake maana ata muonekano wake utamsuta
 
Umeandika kiutu uzima kabisa , ata sisi wangoni ni Watanzania lakini ASILI yetu ni South Africa, inahitaji ujitoe akili kukataa ukweli uliopo wazi
Kwani unadhani hawaelewi mkuu -- bali wana jitoa ufahamu tu .... ni ngumu sana kurudi nyuma na kuanza mwanzo mpya ki-imani....haswa pale inapotokea ukabaini kwamba yale yote uliyo kuwa unaambiwa kuwa huu ndio ukweli " sio ukweli halisi ....

Bali ni ndoo iliyo beba uongo wenye rangi zinazo jaribu kuupaka uongo huo ili uvutie na kuonekana machoni pa watu kuwa ni Ukweli
 
Back
Top Bottom