Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Hali ya hewa nzuri, kuna kaubaridi kidogo, kama umetoka sehemu ya joto andaa nguo nzito kidogo

Kuna matope mvua ikinyesha

Kimbulu ndio lugha kuu hata hospitali ukifika au masokoni, unaweza ukawa discussion wakidiscus kwa kimbulu

Wanapenda sana kusoma ,hasa biology na chemistry

Kwakipindi hiki asilimia kubwa watu wapo mashambani , wanalima sana mahindi na maharage,

Pale kwa upande wa siasa HATA WATOTO NA WANAWAKE wanafuatilia sana siasa ukifika kutana na mzee yeyote piga nae story za siasa utajua kweli kuna watu wanajua mambo

Muda wote hata mchana wanaume wanavaa shuka, huo ni mtoko kabisa, pia mara nyingi huvaa bukta zile za shule ya msingi zikiwa na viraka( SIO UMASIKINI) ila ni tamaduni ya jamii hiyo. Tena hivyo viraka vinashonwa na uzi kwakutumia mkono na vinabandikwa kwa nje ( INGAWA SIO WOTE WAPO HIVYO) Na huenda wakawa wanabadilika kutokana na majira

Nguruwe zinafugwa kwa wingi mno

Sio wapenda usafi. Kula yao ,vaa yao, sio watu wakujipenda sana

Miswaki mara nyingi huwa niya miti(SIO KWAMBA MADUKANI HAKUNA ILA NI MAZOEA) ingawa sio wote

Rangi ya udongo ni udongo mwekundu.

Usafiri upo ila mtapangwa kama magunia ya mchele, kama kuna watu wanajua kupanga watu kama viroba vya mizigo utawakuta huko, labda kama unausafiri wako binafsi

Kila mahali utasikia neno SAITA,SAYUU,BARAGAHE,DERO, SHIDIKAH kariri hayo maneno ni comon kwa dongobesh

Ahsante
JF WATU KAMA HAWA NDIO WA KUPEWA UMRI MREFU HUMU...
WENGINE OVYO KABISA...
 
New guest house in dongobesh
20230327_152705.jpg
 
Ilikuwa mwaka gani huo chief? Mie hao wa-Iraq nimewala hata sikumbuki idadi yao. Tena na kimasihara nimepiga sana huko.

Na kwa wakati tofauti jamaa watatu wa ki-Iraq walishawahi kuniomba nitembee na wake zao niwape mimba ili wapate mbegu yangu. Na kuna mmoja alikuwa rafiki yangu pia aliwahi kuniambia nitembee na dada ake nimzalishe.
Kijiji gani hicho
 
Back
Top Bottom