and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,226
- 39,713
Wakati unacheka kwa nguvu HUKUJAMBA?Nipo Karatu mwaka wa tatu sasa kikazi na nimecheka kwa nguvu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Wakati unacheka kwa nguvu HUKUJAMBA?Nipo Karatu mwaka wa tatu sasa kikazi na nimecheka kwa nguvu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Smart bar...Olympic B ...kile kipub jengo la Sisiemu.....The Winners ....tuwache utani Babati funga kazi...Hapa babati kwa kabila nakula kuku kienyeji choma kwa buku 8 tu. Mkoani kutamu sanaView attachment 2566842
Bashinet CoachKuna basi Lao moja linatembea taratibu sana unaweza kutumia masaa 4 japo sio mbali.
Apande tu hivi viland cruiser Yale mabasi ni tatizo lingineKuna basi Lao moja linatembea taratibu sana unaweza kutumia masaa 4 japo sio mbali.
Tupeni na fursa za biashara na sio stories za dudu tu ..vp fursa za huko zikoje kwa wageni ambao tunaweza kuja na kuwekeza au kuleta Mali za misumu
Bashinet Coach
[emoji23][emoji23][emoji23] pole kwake jamaaaJiandae kuondoka na gono sugu na kaswende new model.
Barabara ya kupita katesh, hydom,kutokea babati kwenda mpaka singida ni lami...ndio gari za kutokea moshi, tanga, arusha, manyara kwenda mwanza, zinapitia hapo
Tunasubiri mrejesho mkuuHabari za jioni wakuu?
Nimefika salama Babati kwa usafiri bora kabisa wa shabiby line. Nitalala hapa leo. Nimewasoma vya kutosha sasa wacha nikajionee mwenyewe.
Thnx members
Amina mtumishi wa Mungu10 Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, Wewe usikubali.
Mithali 1:10
Kuna watoto wakali sana huko ila tatizo bado wachafu, usafi kwao ni adui.Wanawake wa aina hii, nakutana nao Simiyu(Bariadi) nna week tatu sasa , lakini nakutana na mademu wabovu tu... bora nilipopata safari ya Kahama ndo nimekutana na pisi kali....
Ikimbieni zinaa wananguKuna watoto wakali sana huko ila tatizo bado wachafu, usafi kwao ni adui.
Ni vile siko dume ila wanawake wa huko ni warahisi sijaona nchi hii10 Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, Wewe usikubali.
Mithali 1:10
Hajasema hayo yeye ataka pahala pazuri kutembea kula kulala. Haya ya Papuchi hajayataka! Mwajuaje kama ni mpendwa hiyo habari! Watu mnaibuka na ubaya tuuhNakazia hii comment
Mama wanafaa kwa chakula cha macho...Ni vile siko dume ila wanawake wa huko ni warahisi sijaona nchi hii
La babati ni lile sugu,Kuna sehemu hana gono Tanzania
Haitoki Hanang hiyo baridi, bali ni milima ya Dareda na mwinuko kutoka Ziwa Manyara kupitia milima ya Magara kuelekea Mbulu.Kuna barid Kali inatoka mlima hanang
ivyo hawaogi jiandae kuzibua chemba la spenko Beba barakoa nyingi kuziba aruf Kali[emoji40][emoji40] na ndom kama zote
Yap. Hata nyapu za maana atazipata ama Haydom au Mbulu mjini kama ana hela weekend aende mpaka Karatu ndo utawapata wale professional wanaotega Mingo kabisaApande tu hivi viland cruiser Yale mabasi ni tatizo lingine
Nakuelewa sana tu hio kauli nimeshasikia kama wanne wanaisemaMama wanafaa kwa chakula cha macho...
Vinginevyo ni chakula bila chumvi...umenielewa?
Dongobesh Wana uhaba wa pisi hata viunga jirani vya Bashnet mpaka uzunguke sanaHaitoki Hanang hiyo baridi, bali ni milima ya Dareda na mwinuko kutoka Ziwa Manyara kupitia milima ya Magara kuelekea Mbulu.