Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Mkuu katika uongo basi wewe umekubuhu asee. Yani wewe ni muongo wakupindukia.

Ina maana Dongobesh mnada huwa ni kwenye miezi yenye tarehe 31 tu? Je yenye siku 28/29 na 30 huwa hakuna minada?
Kama hujui bora uulize au ukae kimya,mkoa wa manyara una utaratibu kila Kijiji kinahost mnada Mara moja kwa mwezi,kwa taarifa yako tarehe 4 Ni basoutu,tarehe 1 ngamu na tarehe 31,Sasa kwa kesi ya miezi ambayo Ina siku 28/29 Ni kusubir had next month,uongo wangu wapi ww Putin wa kongwa?
 
Mkuu nimeishi huo mkoa sana wala huniambii chochote kuanzia Mererani, Kiteto, Orkesmet, Mbulu, Babati, Hanang, Katesh na kokote kula.

Swali langu ilikuwa je ni miezi tu yenye tarehe 31 ndio kuna mnada?
 
Kama umeishi niambie taratbu ya minada ya mkoa huo,au Kama Kuna mwenyej wa dbesh humu atujibu hapa,uliza dongobesh mnada unakuwa lini!!! Halafu niambie wamejibu nn,hahahaaa
 
Kwahiyo dongo mnada ni January, March, May, July, August, October na December tu? Hii miezi mingine hamna mnada?

Una akili kweli wewe?
Wewe kama umekaa dongo hebu niambie,mnada wa dongo Ni tarehe ngapi kila mwez au Ni juma ngapi kila mwezi,naona unaniuliza maswali ambayo majib yake nimeyasema,hebu funga mjada wetu kwa sema mnada wa dongo Ni kila juma ngapi au kila tarehe ngapi,au hvyo tu???au unavyojua ww dbesh hakuna mnada??Kama upo Ni kila juma ngapi au kila tarehe ngapi hufanyika???
 
  • Iwapo ni mara ya kwanza kufika | Ni vyema ukaingia Dongobesh Asubuhi, badala ya Jioni.
  • Lala BABATI, then kesho yake chukua gari ya kwanza inayoenda Hydom na utashuka Dongobesh.
Mkuu waonekana Mwenyeji sana, Nina Kazi yangu huku imeniweka for 4 years now!
 
Back
Top Bottom