Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

-Chukua koti kwa sababu ni baridi
-Kama unatoka mbali na utafika babati jioni nashauri ulale babati asubuhi panda gari za kwenda huko zamani kama 2014 hivi kulikua na basi linaitwa manday sijui kama bado lipo
-Jiandae kupita milimani
-Jaindae kusalimiwa kiirak kila upitapo kwa sababu wanajua kila mtu ni muirak
-kua makini na mabinti manake wakiona mgeni watakuchekea lengo ni pesa zako
-ukiwa kiboeo dinda utarudi na kaswende na kisonono kwa mkeo


Kila la heri mkuu
Baridi ni kali huko jo inatandika
Uongo kwa % kubwa.
 
Back
Top Bottom