Skid Row Boy
JF-Expert Member
- Mar 15, 2023
- 290
- 404
Hahahaaa. Mlangira upo pande zipi?Napajua sana maeneo ya Nshamba, Kamachumu, Kanyigo n.k.
Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa. Mlangira upo pande zipi?Napajua sana maeneo ya Nshamba, Kamachumu, Kanyigo n.k.
Nipo Kaisho kwasasa jioni nakunywa bia Murongo alafu nafata bia za kiganda Kigagati [emoji1787]Hahahaaa. Mlangira upo pande zipi?Napajua sana maeneo ya Nshamba, Kamachumu, Kanyigo n.k.
Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Okay, Masbota? Nyigera waitu!!Nipo Kaisho kwasasa jioni nakunywa bia Murongo alafu nafata bia za kiganda Kigagati [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Naam...na halipotezi muda mbezi, njiani wala babati...Linaondoka saa 12 asubuhi?
Na hapo bado mkuu, kuna vijiji vingine vina majina hata kusomeka ni mtihani.Majina kama bangladesh kumbe hapa hapa kwa nyerere
Kama utalala Babati nikupe contact mtoto Jackline mhudumu wa hapo Kabila Ila andaa uchakavu 40,000 mpaka asubuh
Uongo kwa % kubwa.
Hear saying to hizo. Kuna kabila hawagawi? Unaweza kuwa huko na usiwapate. Hiyo ni kukaririshwa.
Nimekaa Lilac Hotel-Karatu kwa miezi 3 sijawahi kupata gwalay hata ya kufutia machozi.
We nenda ukafanye kilichokupeleka sio ngono.Mkuu papag hivi wanawake wa huko wanakeketwa Kama wakuria au umekuta visimbusi vimo?
Namimi nimepata safari ya huko.
Okay, wasiwasi ndio akili ya mtu. Kutokutafuta ngono kutoka kwa amaa na madesirii ni "uzembe na ufala". Unaujua huu msemo unaosema enyi nyie kizazi cha nyoka mliolaaniwa?Ulikua mzembe na fala
Una ligi za kitoto sanaKwahiyo dongo mnada ni January, March, May, July, August, October na December tu? Hii miezi mingine hamna mnada?
Una akili kweli wewe?
Elfu moja inaitwa K*MA.Tsh 1000 inaitwa ** moja, so ukiingia bar au hotel usishangae kuambiwa, 'bado nakudai ** moja baba'
Nimefika jana Mbulu, leo napiga kimeo changu mpaka saa saba,naamsha kwenda Karatu nikishamaliza hapo naenda Babati Jumamosi ,Jumatatu nageuka Dar.Kwa sasa tupo kipindi cha mvua Kali na baridi huu ukanda wa Arusha-Manyara,koti na blankets ni muhimu na haya matope unaweza ishia kukaa ndani after job
Nipo Mbulu mdaa huu.Ndani ya dongobesh View attachment 2568168
Resty Bura....Mfano wa muiraq ni huyu apaView attachment 2567652