Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Dongobesh pakali Sana tarehe 31 ya kila mwezi,ndo siku ya mnada pale dbesh,mkabala na stand Kuna duka la pembejeo za kilimo na mifugo,ulizia jamaa mmoja anaitwa John au ngosha,mwambie omukaya kasema unitunze,wenyeji wa hapo Ni wakarimu Sana hasa dada zetu,guest house unapata kulingana na hitaji lako,50000 unapata,2000 unapata pia,Kuna mzee mmoja anaitwa mzee ostaq yupo idara ya maji mwambie afande ngosha wa songea anakusalim Sana,ukajichunge Sana usimtafune mama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,sjawah kupata mchepuko Kama huu,anajua kuhudumia
Mkuu katika uongo basi wewe umekubuhu asee. Yani wewe ni muongo wakupindukia.

Ina maana Dongobesh mnada huwa ni kwenye miezi yenye tarehe 31 tu? Je yenye siku 28/29 na 30 huwa hakuna minada?
 
Mkuu si unaona jamaa anavyoshawishiwa mara abebe kondom mara ajiandae kwa watoto wazuri...huku si kushawishiwa akatende dhambi tu?
Nimeona mkuu. Biblia kwenye hiyo Mithali inatufundisha kutokukubali kushawishiwa na wenye dhambi.

Kwahiyo mtoa mada anatakiwa awe makini sana na ushauri anaopewa humu ndani.
 
Hivi anaye wadanganya mademu wa Kimbulu ni wepesi kama mnavyodhani ni nani?

Hiyo kanda yote wanawake wanaubinafsi kuliko mnavyodhani,wao na wamaasai ni jamii moja kitabia.

Watu wa hiyo kanda kuanzia Babati,Hydom,Mbulu,Karatu hadi mto wa Mbu na viunga vyake ni watu wabinafsi sana,sijui miaka ya hivi karibuni uenda ni kwasababu ya kuchangamana na watu wa mikoa tofauti hivyo huwapelekea utamaduni mpya,lakini miaka ya nyuma kumpata mwanamke wa Kiiraq(Mmbulu)shughuli yake haikuwa ya kitoto hata kidogo labda kama ulikuwa na nia ya kumuoa kabisa lakini si kumgonga tu!.

Wao walikuwa na utamaduni wa kuwakubali wanaume wa kabila lao tu lakini kama ulikuwa si wa kabila lao basi ulikuwa unaula wa chuya na ndivyo hata wamaasai walivyokuwa hapo awali,sema sikuhizi mambo yamebadilika sana kulingana na uchangamano wa watu na tamaduni.

Japo mambo yamebadirika lakini usitegemee utamtongomza Mmbulu kirahisi akakukubalia kama wewe si mmbulu,labda uende huko kwenye Ma-baa na Ma-pub ndiyo utawapata walioshindikana wanaye mkubali yeyote cha msingi uwe na hela yako tu!,lakini hawa wa mitaani utaula wa chuya.

Mmbulu unaweza kukuta ni pisi kali ya kwenda lakini ikawa inapelekewa moto na kachalii ka kawaida kabisa kasiko na chochote wala muonekano ila tu kwakuwa ni mmbulu mwenzie,wewe wa kuja unaweza kuwa na hela zako za kutosha,muonekano mzuri na bado nje umepaki Range na bado akakupotezea kwasababu wewe si kabila lake.

NB.
Nimepanda sana mlima Qwang hapo Mbulu.


Saitaa = Sayuu

Haidomaa = Haidorii


#Ukilala nayo hakikisha unaamka nayo.
Ilikuwa mwaka gani huo chief? Mie hao wa-Iraq nimewala hata sikumbuki idadi yao. Tena na kimasihara nimepiga sana huko.

Na kwa wakati tofauti jamaa watatu wa ki-Iraq walishawahi kuniomba nitembee na wake zao niwape mimba ili wapate mbegu yangu. Na kuna mmoja alikuwa rafiki yangu pia aliwahi kuniambia nitembee na dada ake nimzalishe.
 
Dongobesh
20220928_172402.jpg
20220726_182608.jpg
 
Back
Top Bottom