Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Kama ukifanikiwa kupata pisi kali itakayokushawishi nawe ukaridhia kwa moyo mmoja,,tombana nayo tu hakuna namna Muda/maisha hayarudi nyuma jitahidi kufurahia wakati ulio nao,,,na huko zipo za kumwagika!!ni juhudi zako tu za kula mema ya nchi na kulamba asali kadri uwezavyoo!!
Hivi huko minada ya kibiashara ipo
 
Hivi anaye wadanganya mademu wa Kimbulu ni wepesi kama mnavyodhani ni nani?

Hiyo kanda yote wanawake wanaubinafsi kuliko mnavyodhani,wao na wamaasai ni jamii moja kitabia.

Watu wa hiyo kanda kuanzia Babati,Hydom,Mbulu,Karatu hadi mto wa Mbu na viunga vyake ni watu wabinafsi sana,sijui miaka ya hivi karibuni uenda ni kwasababu ya kuchangamana na watu wa mikoa tofauti hivyo huwapelekea utamaduni mpya,lakini miaka ya nyuma kumpata mwanamke wa Kiiraq(Mmbulu)shughuli yake haikuwa ya kitoto hata kidogo labda kama ulikuwa na nia ya kumuoa kabisa lakini si kumgonga tu!.

Wao walikuwa na utamaduni wa kuwakubali wanaume wa kabila lao tu lakini kama ulikuwa si wa kabila lao basi ulikuwa unaula wa chuya na ndivyo hata wamaasai walivyokuwa hapo awali,sema sikuhizi mambo yamebadilika sana kulingana na uchangamano wa watu na tamaduni.

Japo mambo yamebadirika lakini usitegemee utamtongomza Mmbulu kirahisi akakukubalia kama wewe si mmbulu,labda uende huko kwenye Ma-baa na Ma-pub ndiyo utawapata walioshindikana wanaye mkubali yeyote cha msingi uwe na hela yako tu!,lakini hawa wa mitaani utaula wa chuya.

Mmbulu unaweza kukuta ni pisi kali ya kwenda lakini ikawa inapelekewa moto na kachalii ka kawaida kabisa kasiko na chochote wala muonekano ila tu kwakuwa ni mmbulu mwenzie,wewe wa kuja unaweza kuwa na hela zako za kutosha,muonekano mzuri na bado nje umepaki Range na bado akakupotezea kwasababu wewe si kabila lake.

NB.
Nimepanda sana mlima Qwang hapo Mbulu.


Saitaa = Sayuu

Haidomaa = Haidorii


#Ukilala nayo hakikisha unaamka nayo.
Hakika,ila mbulu kuna fursa gani
 
Hali ya hewa nzuri, kuna kaubaridi kidogo, kama umetoka sehemu ya joto andaa nguo nzito kidogo

Kuna matope mvua ikinyesha

Kimbulu ndio lugha kuu hata hospitali ukifika au masokoni, unaweza ukawa discussion wakidiscus kwa kimbulu

Wanapenda sana kusoma ,hasa biology na chemistry

Kwakipindi hiki asilimia kubwa watu wapo mashambani , wanalima sana mahindi na maharage,

Pale kwa upande wa siasa HATA WATOTO NA WANAWAKE wanafuatilia sana siasa ukifika kutana na mzee yeyote piga nae story za siasa utajua kweli kuna watu wanajua mambo

Muda wote hata mchana wanaume wanavaa shuka, huo ni mtoko kabisa, pia mara nyingi huvaa bukta zile za shule ya msingi zikiwa na viraka( SIO UMASIKINI) ila ni tamaduni ya jamii hiyo. Tena hivyo viraka vinashonwa na uzi kwakutumia mkono na vinabandikwa kwa nje ( INGAWA SIO WOTE WAPO HIVYO) Na huenda wakawa wanabadilika kutokana na majira

Nguruwe zinafugwa kwa wingi mno

Sio wapenda usafi. Kula yao ,vaa yao, sio watu wakujipenda sana

Miswaki mara nyingi huwa niya miti(SIO KWAMBA MADUKANI HAKUNA ILA NI MAZOEA) ingawa sio wote

Rangi ya udongo ni udongo mwekundu.

Usafiri upo ila mtapangwa kama magunia ya mchele, kama kuna watu wanajua kupanga watu kama viroba vya mizigo utawakuta huko, labda kama unausafiri wako binafsi

Kila mahali utasikia neno SAITA,SAYUU,BARAGAHE,DERO, SHIDIKAH kariri hayo maneno ni comon kwa dongobesh

Ahsante
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom