Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Upo sahihi kabisa. Lilinipata ndio kisa cha mimi kuwa mtumiaji mzuri wa ndom maana nilikumbana na sindano iitwayo Pam sijui ndivyo inavyoandikwa kisha dokta akaniuliza gono tunakutibu je ingekuwa ukimwi? Toka siku hiyo mimi na ndom tu nikiwa na mechi za nje ilikuwa 2006
Wewe utakua muhenga Kama Mimi. PAM Ni sindano za gono miaka ile ya 80s huko.
Siku zile hakuna vidonge vya gono.
Ni shusha suruali hala kesho Tena uje. Maumivu yake Sasa.
 
Karibu sana

Kuna guests nzuri Sunshine na nyingine jirani na Torokauje bei 20000Tsh safi kabisa .Kuku choma Torokauje watam balaa. ITM 1 km from mjini bank NMB na CRDB. Mpesa ulizia kwa Maziku hapo pia kuna Min supermarket
Vi grosari vya kutosha utakutana na Waarabu wa Dubai na WaEthiopia(wairaqw)...ni kamji katulivu hakuna Kufuatana fuatana bia 24hrs, wenyeji Wachangamfu sana, pombe kali jamii ya Viroba kwa wingi usishangae kukuta warembo wakipiga hayo makitu.

Mayai ya kienyeji sh 300 moko, kuku wa kienyeji kibao bei nafuu kabisa, mahindi ya kuchoma maharage mabichi msimu mzima, karoti bora barani Afrika kutoka Tumati

Nenda Mkuu hutajutia, kuna mrembo anaittwa Pasikii ana kigrosari mtaa wa Mchagaa mchoma nyama maarufu, ukimwona mpe salamu.

Ukifika huko usikose kutembelea mnada wa DIRIMU
 
Dongobesh pakali Sana tarehe 31 ya kila mwezi,ndo siku ya mnada pale dbesh,mkabala na stand Kuna duka la pembejeo za kilimo na mifugo,ulizia jamaa mmoja anaitwa John au ngosha,mwambie omukaya kasema unitunze,wenyeji wa hapo Ni wakarimu Sana hasa dada zetu,guest house unapata kulingana na hitaji lako,50000 unapata,2000 unapata pia,Kuna mzee mmoja anaitwa mzee ostaq yupo idara ya maji mwambie afande ngosha wa songea anakusalim Sana,ukajichunge Sana usimtafune mama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,sjawah kupata mchepuko Kama huu,anajua kuhudumia
 
Wakuu habari za mapumziko ya mwisho wa juma? Na kwaresima na Ramadhan zenu natumai zinakwenda swadakta.

Kwa uweza wa Mungu kesho nitakuwa safarini kuelekea Dongobesh wilayani Mbulu. Kwa yeyote mwenye uzoefu na mahali hapo anaweza shea humu mazuri na mabaya ya hapo.

Nitakuwa hapo kwa mwezi mmoja kikazi. Nawasilisha na ahsanteni sana.

Huko ndio asili nyumbani asili yangu, waarab kama wazungu nusu, kama waethiopia, kuwa makini sana ni warembo mno, ukikosea kuchukua mke au demu wa mtu ukirudi na roho yako au moyo wako omba Mungu, kuwa makini sana, fanya yaliyokupeleka, ukiona warembo sana angalia tu, maana kuna mtu nyuma yake, wanapiga hao watu, nakushauri tena, fanya yaliyokupeleka. Haya, naamini umenisikia
 
Halafu hawajui kukataa
 
Wakuu habari za mapumziko ya mwisho wa juma? Na kwaresima na Ramadhan zenu natumai zinakwenda swadakta.

Kwa uweza wa Mungu kesho nitakuwa safarini kuelekea Dongobesh wilayani Mbulu. Kwa yeyote mwenye uzoefu na mahali hapo anaweza shea humu mazuri na mabaya ya hapo.

Nitakuwa hapo kwa mwezi mmoja kikazi. Nawasilisha na ahsanteni sana.
Pitia njia ya Katesh, Mogitu mpaka Sechet (mashamba ya ngano) halafu uende Dongobesh. Madunga, Mang'ola, Dareda Mission, Basodesh, Mbulu, Karatu ni maeneo ya karibu. Unaweza kupitia pia Magugu-Mbuyu wa Mjerumani, Ziwa Manyara-Ukingo, mlima Magara mpaka Mbulu, Basodesh then Dongobesh. Unaweza kupitia Makuyuni Mto wa Mbu, Rotia, Karatu, Mbulu, Basodesh, Madunga then Dongobesh.

Karatu pia ipo karibu sana kwa bata za kiaina.

Maeneo yangu origin pendwa hayo ingawa kwa sasa napambana kimaisha katika mitaa ya Skid Row karibu na West Holiwoody (kambi popote).

Halafu usisahau kutembelea mashamba ya ngano ya Mulbadaw, Murijanda, Gidagamowd, Gawali,Basuto nk.

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom