Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Hivi anaye wadanganya mademu wa Kimbulu ni wepesi kama mnavyodhani ni nani?

Hiyo kanda yote wanawake wanaubinafsi kuliko mnavyodhani,wao na wamaasai ni jamii moja kitabia.

Watu wa hiyo kanda kuanzia Babati,Hydom,Mbulu,Karatu hadi mto wa Mbu na viunga vyake ni watu wabinafsi sana,sijui miaka ya hivi karibuni uenda ni kwasababu ya kuchangamana na watu wa mikoa tofauti hivyo huwapelekea utamaduni mpya,lakini miaka ya nyuma kumpata mwanamke wa Kiiraq(Mmbulu)shughuli yake haikuwa ya kitoto hata kidogo labda kama ulikuwa na nia ya kumuoa kabisa lakini si kumgonga tu!.

Wao walikuwa na utamaduni wa kuwakubali wanaume wa kabila lao tu lakini kama ulikuwa si wa kabila lao basi ulikuwa unaula wa chuya na ndivyo hata wamaasai walivyokuwa hapo awali,sema sikuhizi mambo yamebadilika sana kulingana na uchangamano wa watu na tamaduni.

Japo mambo yamebadirika lakini usitegemee utamtongomza Mmbulu kirahisi akakukubalia kama wewe si mmbulu,labda uende huko kwenye Ma-baa na Ma-pub ndiyo utawapata walioshindikana wanaye mkubali yeyote cha msingi uwe na hela yako tu!,lakini hawa wa mitaani utaula wa chuya.

Mmbulu unaweza kukuta ni pisi kali ya kwenda lakini ikawa inapelekewa moto na kachalii ka kawaida kabisa kasiko na chochote wala muonekano ila tu kwakuwa ni mmbulu mwenzie,wewe wa kuja unaweza kuwa na hela zako za kutosha,muonekano mzuri na bado nje umepaki Range na bado akakupotezea kwasababu wewe si kabila lake.

NB.
Nimepanda sana mlima Qwang hapo Mbulu.

Saitaa = Sayuu

Haidomaa = Haidorii

#Ukilala nayo hakikisha unaamka nayo.
 
Yap. Hata nyapu za maana atazipata ama Haydom au Mbulu mjini kama ana hela weekend aende mpaka Karatu ndo utawapata wale professional wanaotega Mingo kabisa
Wale wa karatu anaweza akatoka na vitu vya ajabu ase
 
Hivi anaye wadanganya mademu wa Kimbulu ni wepesi kama mnavyodhani ni nani?

Hiyo kanda yote wanawake wanaubinafsi kuliko mnavyodhani,wao na wamaasai ni jamii moja kitabia.

Watu wa hiyo kanda kuanzia Babati,Hydom,Mbulu,Karatu hadi mto wa Mbu na viunga vyake ni watu wabinafsi sana,sijui miaka ya hivi karibuni uenda ni kwasababu ya kuchangamana na watu wa mikoa tofauti hivyo huwapelekea utamaduni mpya,lakini miaka ya nyuma kumpata mwanamke wa Kiiraq(Mmbulu)shughuli yake haikuwa ya kitoto hata kidogo labda kama ulikuwa na nia ya kumuoa kabisa lakini si kumgonga tu!.

Wao walikuwa na utamaduni wa kuwakubali wanaume wa kabila lao tu lakini kama ulikuwa si wa kabila lao basi ulikuwa unaula wa chuya na ndivyo hata wamaasai walivyokuwa hapo awali,sema sikuhizi mambo yamebadilika sana kulingana na uchangamano wa watu na tamaduni.

Japo mambo yamebadirika lakini usitegemee utamtongomza Mmbulu kirahisi akakukubalia kama wewe si mmbulu,labda uende huko kwenye Ma-baa na Ma-pub ndiyo utawapata walioshindikana wanaye mkubali yeyote cha msingi uwe na hela yako tu!,lakini hawa wa mitaani utaula wa chuya.

Mmbulu unaweza kukuta ni pisi kali ya kwenda lakini ikawa inapelekewa moto na kachalii ka kawaida kabisa kasiko na chochote wala muonekano ila tu kwakuwa ni mmbulu mwenzie,wewe wa kuja unaweza kuwa na hela zako za kutosha,muonekano mzuri na bado nje umepaki Range na bado akakupotezea kwasababu wewe si kabila lake.

NB.
Nimepanda sana mlima Qwang hapo Mbulu.
Hahahah ni mlima Guwang bhna sio Qwang

Na ulichokiongea kina ukweli sisi wazawa wa huko kupata Huduma ni rahisi sana kuliko nyie wageni
 
Unaona LC 70 series zinabeba abiria bongo.

Anatokea mjinga anakuambia kuendesha chombo ambacho hakibebi abiria kule kilikotengenezewa siyo ajira.

BTW:Hiyo Dongobesh ni kata? Na ni shughuli gani za kiuchumi zinazojenga mji ule nje ya kilimo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom