Skid Row Boy
JF-Expert Member
- Mar 15, 2023
- 290
- 404
Huko ni tofauti.Kuna exposure kutokana na uwepo wa international figures (foreigners/watalii).Hivi na Wilaya ya Karatu ipoje kwa ujumla wadau wa huko?
Huko ni tofauti.Kuna exposure kutokana na uwepo wa international figures (foreigners/watalii).Hivi na Wilaya ya Karatu ipoje kwa ujumla wadau wa huko?
SAITAA = MAMBOHali ya hewa nzuri, kuna kaubaridi kidogo, kama umetoka sehemu ya joto andaa nguo nzito kidogo
Kuna matope mvua ikinyesha
Kimbulu ndio lugha kuu hata hospitali ukifika au masokoni, unaweza ukawa discussion wakidiscus kwa kimbulu
Wanapenda sana kusoma ,hasa biology na chemistry
Kwakipindi hiki asilimia kubwa watu wapo mashambani , wanalima sana mahindi na maharage,
Pale kwa upande wa siasa HATA WATOTO NA WANAWAKE wanafuatilia sana siasa ukifika kutana na mzee yeyote piga nae story za siasa utajua kweli kuna watu wanajua mambo
Muda wote hata mchana wanaume wanavaa shuka, huo ni mtoko kabisa, pia mara nyingi huvaa bukta zile za shule ya msingi zikiwa na viraka( SIO UMASIKINI) ila ni tamaduni ya jamii hiyo. Tena hivyo viraka vinashonwa na uzi kwakutumia mkono na vinabandikwa kwa nje ( INGAWA SIO WOTE WAPO HIVYO) Na huenda wakawa wanabadilika kutokana na majira
Nguruwe zinafugwa kwa wingi mno
Sio wapenda usafi. Kula yao ,vaa yao, sio watu wakujipenda sana
Miswaki mara nyingi huwa niya miti(SIO KWAMBA MADUKANI HAKUNA ILA NI MAZOEA) ingawa sio wote
Rangi ya udongo ni udongo mwekundu.
Usafiri upo ila mtapangwa kama magunia ya mchele, kama kuna watu wanajua kupanga watu kama viroba vya mizigo utawakuta huko, labda kama unausafiri wako binafsi
Kila mahali utasikia neno SAITA,SAYUU,BARAGAHE,DERO, SHIDIKAH kariri hayo maneno ni comon kwa dongobesh
Ahsante
Kwanini MBWA UCHWARA?Hakika mkuu unawajua hao watu kipindi cha mbaazi imefunga ni uzinzi kwa kwenda mbele, mabomba ya maji ni ya ku pump , nguruwe wanachungwa kama mbuzi, kipindi cha mahindi mabichi ni mwendo wa mahindi ya kuchemsha , ukikuta mtu kajisaidia shamban choo chake ni mahindi matupu, watoto wadogo wanavalishwa mashati marefu bila bukta , kila boma limefuga mbwa uchwara, kuna pombe ya asili ya mtama inaitwa mangure, usafiri ni cruser na one 10 , kipnd cha ukame vumbi jekundu utalinywa , ukiomba utamu kwa watoto wa kimbulu utasikia daaah ww chukua tu ni sambi sako mwenyewe , mtu wa kuja wanakuita omooo, ata kama una umri mdgo utasalimiwa shkamoo na mtu wa miaka 60 cha msingi uwe umependeza tu , Watu wa huko ni wakarimu mno ukiishi nao vizuri mahindi na vyakula vingne utavipata bure kabsa .
Free town hotel, SG bar, Manyara bar(ya kiloko). Ni pazuri kiaina.Smart bar...Olympic B ...kile kipub jengo la Sisiemu.....The Winners ....tuwache utani Babati funga kazi...
Noma sana!Hali ya hewa nzuri, kuna kaubaridi kidogo, kama umetoka sehemu ya joto andaa nguo nzito kidogo
Kuna matope mvua ikinyesha
Kimbulu ndio lugha kuu hata hospitali ukifika au masokoni, unaweza ukawa discussion wakidiscus kwa kimbulu
Wanapenda sana kusoma ,hasa biology na chemistry
Kwakipindi hiki asilimia kubwa watu wapo mashambani , wanalima sana mahindi na maharage,
Pale kwa upande wa siasa HATA WATOTO NA WANAWAKE wanafuatilia sana siasa ukifika kutana na mzee yeyote piga nae story za siasa utajua kweli kuna watu wanajua mambo
Muda wote hata mchana wanaume wanavaa shuka, huo ni mtoko kabisa, pia mara nyingi huvaa bukta zile za shule ya msingi zikiwa na viraka( SIO UMASIKINI) ila ni tamaduni ya jamii hiyo. Tena hivyo viraka vinashonwa na uzi kwakutumia mkono na vinabandikwa kwa nje ( INGAWA SIO WOTE WAPO HIVYO) Na huenda wakawa wanabadilika kutokana na majira
Nguruwe zinafugwa kwa wingi mno
Sio wapenda usafi. Kula yao ,vaa yao, sio watu wakujipenda sana
Miswaki mara nyingi huwa niya miti(SIO KWAMBA MADUKANI HAKUNA ILA NI MAZOEA) ingawa sio wote
Rangi ya udongo ni udongo mwekundu.
Usafiri upo ila mtapangwa kama magunia ya mchele, kama kuna watu wanajua kupanga watu kama viroba vya mizigo utawakuta huko, labda kama unausafiri wako binafsi
Kila mahali utasikia neno SAITA,SAYUU,BARAGAHE,DERO, SHIDIKAH kariri hayo maneno ni comon kwa dongobesh
Ahsante
Kupitia magara.Hiace na Costa au basi haziwezi kupita hapo, isipokuwa land cruiser mkonga ndio powerful.Apande tu hivi viland cruiser Yale mabasi ni tatizo lingine
100%Labda babati kidogo kumechangamka ila kwa mbulu ni zero
Wilaya iko mafichoni mzunguko wa pesa mdogo halafu watu ni wa kabila moja asilimia kubwa
La crome bus.Manday coach
Kwetu lami ipo kabla sijazaliwaKwenu kuna lami?
Weee, chura labda kwa wabibi Ila pisi hazina churaHukusema kama yapo au la!!Wembamba wa Reli hubeba mizigo mizito mno hutaamini.
Contena cha mtoto.
Wanaume uliwaonaje?Wagumu au rahisi. Ila wana nani kama miguu ya mtoto wa miaka 9. Karibu uinjoyNi vile siko dume ila wanawake wa huko ni warahisi sijaona nchi hii
Kiaina fulani upo sahihi kwa mbali.Mama wanafaa kwa chakula cha macho...
Vinginevyo ni chakula bila chumvi...umenielewa?
Haupo seriazi wewe. Kizazi hiki au kingine unazungumzia?Wengi hawana ANTENNA
Dar Es Salaam ~Babati (Manyara)Mwezi watano nina kazi kama ya wiki Babati na Siku tatu Mbulu, hasa Mbulu nilitaka kujua wana Lodge nzuri ? vip usafiri mzuri (Dar to Babati) ni wa mabasi gani.
Kizazi cha sasa au cha zamani? Umekariri wewe!!!Huo ukanda kuanzia Karatu-Mbulu-Babati-Singida-Kondoa ANTENNA adimu sana
Huko pia ipo. Tanzania ya sasa karibu sehemu zote zinameremeta.Kwetu lami ipo kabla sijazaliwa
Huo ukanda wote kiboko yao ni KARATU100%
Noma sana!Nani amesema mapesi imesaliwa Tanga?, Mapesi imesaliwa huku Hanang Katesh, Babati ndani ndani Gallapo huku kwa kina prepetua Geheri
Vyotee tuKizazi cha sasa au cha zamani? Umekariri wewe!!!